Kumbe wewe ni mpumbavu na ki-uhalisia wewe si Mtanzania na ulichokiandika hapo juu ni kielelezo tosha. Kwa taarifa tu, China-Tanzania relation ni swala lililokuwa likifundishwa shuleni hasa shule za msingi na relation hii imekuwa indoctrinated kwa Wachina na Watanzania toka wadogo, kwa masomo, nyimbo na matangazo ya kila aina.
Watanzania wengi wako positive na China na hata ukiangalia comments za Watanzania kwenye posts za Mawaziri, Wakurugenzi na Mabalozi wa China wakiongelea Samia visit utaona positive comments 100%.
Angalia post yangu ya kwanza baada ya kutangazwa hii kitu huko China na Foreign Affair minister wa China, niliretweet. Hakuna asiyejua ni aiana gani ya mapokezi Samia angekutana nayo na haijaanza na Samia, tangu Nyerere. In Africa, ni China-Tanzania husheherekea relation yao kila mwaka in China na in Tanzania. Mimi kama Watanzania wengine, ni Sinophilia.