Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa mantiki hiyo basi tuamini kwamba hakuna kitu SSH amefanya hadi Sasa, yote yanayofanyika hivi Sasa yalisainiwa na watangulizi wake, Sasa hii nyimbo ya mama anaupiga mwingi unatoka wapi?
Serikali ni mbio za vijiti shida Huwa pale watu wanapolazimisha Sifa ziende kwa mtu ambaye siye.Kuna Sifa ya kuanzisha japo na Sifa za kuendeleza jambo.SSH atapewa Sifa nyingi za kuendeleza Yale waliyoanzisha maana kuanza na kumaliza ni vitu viwili tofauti.Leo Uwanja Mkapa anapewa Sifa Mkapa lakini sehemu kubwa ulijengwa wakati kikwete lakini Mkapa alianzisha kikwete akamalizia.BRT atabaki kuheshinishwa JK japo Hadi Leo inaendelea kujengwa lakini yeye ndio mwanzilishi Tena kuchukua wazo Toka Brazil mwenyewe na kuleta na kutafuta fedha.
 
Meli vita za Ufaransa zatia nanga Dar kwenye mission maalumu 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221103-221526.png
    Screenshot_20221103-221526.png
    127.2 KB · Views: 9

Sio tuu China kapanua wigo wa soko la parachichi bali pia soyabeans..

Ikumbukwe kuna wawekezaji wakubwa wa China wako Mbeya wanafanya uwekezaji wa soya zaidi ya ekari 100 Chunya 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221103-223319.png
    Screenshot_20221103-223319.png
    236.8 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221103-223336.png
    Screenshot_20221103-223336.png
    97 KB · Views: 10
Matokeo ya Ziara ya Rais Samia China.

Soko la Samaki👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221104-063621.png
    Screenshot_20221104-063621.png
    286.4 KB · Views: 11
Serikali ni mbio za vijiti shida Huwa pale watu wanapolazimisha Sifa ziende kwa mtu ambaye siye.Kuna Sifa ya kuanzisha japo na Sifa za kuendeleza jambo.SSH atapewa Sifa nyingi za kuendeleza Yale waliyoanzisha maana kuanza na kumaliza ni vitu viwili tofauti.Leo Uwanja Mkapa anapewa Sifa Mkapa lakini sehemu kubwa ulijengwa wakati kikwete lakini Mkapa alianzisha kikwete akamalizia.BRT atabaki kuheshinishwa JK japo Hadi Leo inaendelea kujengwa lakini yeye ndio mwanzilishi Tena kuchukua wazo Toka Brazil mwenyewe na kuleta na kutafuta fedha.
Kwahiyo SSH tunampa sifa za kumalizia miradi ya JPM sio?. Hiyo maana yake ni kwamba miradi yote ilishaanzishwa na mtangulizi wake, muanzishaji ndiye aliyeanzisha wazo na sehemu kubwa kusaini mikataba ya utekelezaji wa miradi yenyewe, Iweje mmaliziaji wa miradi awe anazunguka Dunia kuliko muanzilishi?.
 
Matokeo ya Ziara ya Rais Samia China.

Soko la Samaki

Hapa dili ni mwanza kwenye mabondo kwahiyo mabondo ya magendo kwisha, na hapa dili ni mbeya na njombe kwenye parachichi Rais Samia awahi kuleta ndege ya mizigo sasa na hali ya hewa ya Tukuyu wahimizwe kilimo cha maua tusilale jamani wakati ndio huu
 
Hivi mabondo ndio Yale mapanki au?
 
Serikali ni mbio za vijiti shida Huwa pale watu wanapolazimisha Sifa ziende kwa mtu ambaye siye.Kuna Sifa ya kuanzisha japo na Sifa za kuendeleza jambo.SSH atapewa Sifa nyingi za kuendeleza Yale waliyoanzisha maana kuanza na kumaliza ni vitu viwili tofauti.Leo Uwanja Mkapa anapewa Sifa Mkapa lakini sehemu kubwa ulijengwa wakati kikwete lakini Mkapa alianzisha kikwete akamalizia.BRT atabaki kuheshinishwa JK japo Hadi Leo inaendelea kujengwa lakini yeye ndio mwanzilishi Tena kuchukua wazo Toka Brazil mwenyewe na kuleta na kutafuta fedha.

Samia ameanzisha mradi gani ?
 
Kwahiyo SSH tunampa sifa za kumalizia miradi ya JPM sio?. Hiyo maana yake ni kwamba miradi yote ilishaanzishwa na mtangulizi wake, muanzishaji ndiye aliyeanzisha wazo na sehemu kubwa kusaini mikataba ya utekelezaji wa miradi yenyewe, Iweje mmaliziaji wa miradi awe anazunguka Dunia kuliko muanzilishi?.
Hapo umeandika Nini mkuu😄
 
Samia ameanzisha mradi gani ?
Unahitaji uanzishwaji wa mradi au muendelezo wa project.Hoja sio tu kuanzisha Project Bali ni kitu gani Muhimu kwa taifa.Ukizungumza ujenzi wa barabara ni suala muendelezo,ulitaka aache SGR,Hydropower,Busisi ili aanzishe kitu kipya au unafukiri Kuna fedha iliwekwa mahali ni ya kutumia tu.Tumsifu kwa kupambana kuendeleza miradi waliyoanzisha na yeye Akiwa Makamu wa Rais ni anaendeleza pale alipoishia mkuu wake.
 
Hivi mabondo ndio Yale mapanki au?

Hivi mabondo ndio Yale mapanki au?

Mapanki ni ile samaki reject ya kiwandani kwa mfano sangara akifika kiwandani hukatwa kichwa na sehemu ya mkia na miiba kutolewa hapo hufanyiwa process tayari kusafirishwa kwenda nje na hayo mapanki ndio wenzangu na mimi huyachukua na kwenda kubanika au kukausha na kuyauza mboga lakini kwa bei nafuu kama uliwahi kusikia minofu inaenda ulaya watanzania wanakula mapanki ndio hayo mfano wake ni
IMG_0767.jpg
 
Hivi mabondo ndio Yale mapanki au?

Mabondo ni utumbo wa nailoni ambao hupatikana kwenye sangara tu na inamatumizi mengi na inathamani sana muda mwingine kushinda sangara haya mabondo hutumika kama chakula cha thamani china hata kutengenezea supu, lakini hutengenezewa pia madawa, lakini pia hutumika kutengenezea kapeti za ndege na kubwa zaidi ukifanyiwa upasuaji ukashonewa nyuzi zile mnasema za kuozea humohumo yaani nyuzi ambazo hautoi ndio hutokana na mabondo na mfano wake ni
IMG_0766.jpg
 
Sasa linganisha gharama za kila safari na hivyo vilivyopatikana, na ujiulize je hiyo mikopo isingepatikana bila rais kusafiri?
1)Mkopo wa Tanzanite bridge ulipatikana bila rais kusafiri
2)Mkopo wa Flyover ya TAZARA rais hakusafiri
3)Mkopo wa Ubungo Flyover rais hakusafiri
4)Mkopo wa BRT awamu ya 2&3 rais hakusafiri
5)Mkopo wa uwanja wa ndege Msalato rais hakusafiri
6)Kutokana na servings za rais kutosafiri hovyo tumeweza kununua ndege na kufufua ATCL

Tuambia ni jambo gani (tangible) limetokana na safari za mama Kama sio nadharia na theories?
Man you very uninformed, kati ya vyote hivyo alichofanikisha JPM ni number 6 tu. Alafu pia sio kwamba kipindi cha JPM hakukuwa na safari za viongozi, VP na PM walikuwa busy kumuwakilisha Rais, JPM hakutaka kusafiri kwa sababu zake binafsi na sio zile propaganda tulikuwa tunapigwa. Enlight yourself.
 
Unahitaji uanzishwaji wa mradi au muendelezo wa project.Hoja sio tu kuanzisha Project Bali ni kitu gani Muhimu kwa taifa.Ukizungumza ujenzi wa barabara ni suala muendelezo,ulitaka aache SGR,Hydropower,Busisi ili aanzishe kitu kipya au unafukiri Kuna fedha iliwekwa mahali ni ya kutumia tu.Tumsifu kwa kupambana kuendeleza miradi waliyoanzisha na yeye Akiwa Makamu wa Rais ni anaendeleza pale alipoishia mkuu wake.
Mkuu kuwa mkweli, unawezaje kumsifia mtu anayemalizia kitu ambacho tayari kilianzishwa na kumpuuza muanzilishi mwenyewe?. Kama sio unafiki, mbona unasema miradi yote iliyofanyika kipindi cha Magufuli ni zao la Kikwete na Mkapa lakini husifii JPM kwa kuimalizia?.

Flyovers zote za Dar ni wazo la Magufuli, alianzisha mwenyewe na kutekeleza mwenyewe. Bwawa la Umeme la Nyerere ni wazo la Nyerere lakini utekelezaji wake(Master minder) ni JPM na umaliziaji wake ni SSH.

Meli mpya na ukarabati wa meli zote ziwa Victoria ni mawazo ya JPM na utekelezaji wake ni JPM by 80%

Kufufua ATCL ni wazo la JPM na utekelezaji wake ni JPM by 90%. Upanuzi wa Barbara ya Kimara Kibaha na daraja la Wami na ujenzi wa miradi ya kimkakati yakiwemo masoko na viwanja vya ndege na stand za mabusi ni JPM huyo mkuu.

Bado tunasubiri mama naye abuni miradi mipya wakati akiendelea kuimalizia hiyo aliyoikuta, bado nchi yetu ni changa Sana, Kuna maeneo mengi Sana yanahitaji kufanyiwa ubunifu, anachopaswa ni kutulia nchini na kubuni miradi ya maendeleo
 
Kwani hawajui? Ni roho mbaya tu zinawasumbua mkuu.
 
Kwanza ninakuhakikishia kwamba ninafuatilia Sana Mambo ya serikali kukuzidi wewe, pili ninaufahamu mkubwa wa nchi na Dunia kwa ujumla kukuzidi wewe.

Turudi katika mjadala, gharama ya rais kusafiri, ni zaidi ya mara mbili ya gharama endapo atasafiri VP, na ni mara 4 zaidi ya gharama za waziri mkuu anaposafiri

Anaposafiri rais wa nchi, hiyo ni presidential trip, wengine wote sio presidential trip
Kama unafuatilia mbona unauliza obvious questions..?
 
Wazazi wako ninawapa pole Sana, Kama umeoa basi familia yako Haina amani Wala furaha,.Ninakuhakikishia, kwa hizi tabia zako, Kama una watoto, nenda kapime DNA, lazima mke wako atazaa na watu wengine, hakuna binadamu mwenye akili timamu ataweza kuvumilia tabia za aina yako.
 
Wewe ni kichaa na ndio maana nakwambia sio Mtanzania. Swala la mabeberu ni somo darasani na ndio tulivyokua raised. Tunawapendaje??

Wewe sidhani akam wajua nini maana ya unafiki unao nituhumu. Samia sio kiongozi mzuri na sidhani akam atarudi 2025. Wewe sio Mtanzania huwezi kutuelewa. Releshen na westerners ziko vizuri ila sio nchi rafiki ni nchi wanafiki kama nyie Wakenya.
Wewe unamatatizo sio bure,kwahyo Tz ikiwa na mahusiano na China tu ndio inatosha?China yenyewe inafanya biashara na dunia nzima ndio mana wako hapo walipo..Achana na huu upumbavu wako kabisa, unafikiri kuwachukia West ndio kutasaidia nn? We kweli hamnazo
 
Back
Top Bottom