The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hapa ikikamilika BRT hapa patakaa Europe wallahi.
Broo ww huelewi tuu we achaa tuu watu wanapiga hela saivi we acha tuu mfano mdogo ni kwenye sensa iliyopita makarani walikua wanapaswa walipewe posho kwa kila kikao wanacho udhuria cha ajabu ni kwamba kuna makarani hawakulipwa na kama walilipwa walipewa nusu ya kile walichostahili kupewa sasa iyo hela yote imeenda mifukoni mwa watu wasiofaa aya mradi mwinginee wa upigaji ni zile pesa za mkopo kwa vijana na wakina mama akifuatilia kwa karibu asilimia kubwa ya mkopo wamepewa watu ambao wako uvccm au CCM kwa ufupi hayo ni baadhi ya mambo tuu ila yapo madudu kibao hususan kwenye haya mavikao na makongomanoKuna kitu kinaitwa budget, hauwezi kutumia pesa ambayo haujaiundia budget...na budget za vikao ama warsha hazitakiwi kuzidi budget za maendeleo...
Nakupa mfano mmoja..
Ofisini kwetu kwa mwaka tunabudget ya sh 120M .50% inaenda kwenye dawa na vifaa tiba, kuna 15%ya posho including vikao nk,kuna pesa ya matengenezo na matumizi mengine ya ofisi.
Kwa taarifa tu mi nafahamu wakuu wa idara wanne wameshaliwa vichwa ndani ya utawala wa huyu Pres, ukitaka kuliwa kichwa kirahisi we tumia fedha nje ya utaratibu tu..
Sasa nipe faida za raisi kutokusafiri nje chukulia mfano wa JPM na hasara za raisi kutoka...
Watu tunaitwa calls hatulipwi,tunafanya kazi overtime hatulipwi bahati mbaya sisi wenye night labda wale wanaopiga 8good hours hawawezi kujua haua mambo..Unafanya kazi resources chache na bado watu wanapiga kelele tu,baada sasa ya kuambiwa tuanze kulipwa ndio mnaona ni kitu kigeni au favor?kweli watz bado tupo gizani sana,Huu umaskini wetu ni wa hatari mno
Hauwezi kufanya kazi tu kuna wakati lazima mkasome vitu vipya ama mkutane kama viongozi muelekezane mambo ya muhimu...
Kulingana na hiyo picha sababu hamko kwa list ya wanaodefault loansToa ufafanuzi sitaki porojo
So unajisifu nchi yako ku default kisa SA, Egypt na Nigeria nazo zime default, nyie Wakenya ni lini mtapata akili? Jirani yako akiwa shoga basi na wewe kuwa shoga itakuwa poa tu si ndiyo?Kulingana na hiyo picha sababu hamko kwa list ya wanaodefault loans
Mkapa alipitisha tu kama raisi ila mambo mengi aliyafanya jpm akiwa kama waziri.Nadhani wewe unashida fulani,
Ameanzisha ama hakuanzisha iyo sisi haituhusu,Kazi ya serikali ni nn so far?
Haiwezekani tuko apa jukwaani bado tunasifia Sijui JPM ama SSH, ni suala la serikali kama serikali na ni muendelezo wa mambo tu hapa haya mambo yote yapo kwenye makaratasi tayari ...
Mfano....
Alieanzisha Tanroads ni mkapa lakini hakuweza kujenga barabara madaraja na viwanja vyote nchini kutokana na sababu mbalimbali sasa tutoke uko tujadili mambo ya msingi
tuusan, nchi lazima iwe na vipaumbele na kuvisimamia kwa nguvu zote. Enzi za Nyerere vipaumbele vilikua ni Elimu, Afya, kilimo na viwanda.Kuna kitu kinaitwa budget, hauwezi kutumia pesa ambayo haujaiundia budget...na budget za vikao ama warsha hazitakiwi kuzidi budget za maendeleo...
Nakupa mfano mmoja..
Ofisini kwetu kwa mwaka tunabudget ya sh 120M .50% inaenda kwenye dawa na vifaa tiba, kuna 15%ya posho including vikao nk,kuna pesa ya matengenezo na matumizi mengine ya ofisi.
Kwa taarifa tu mi nafahamu wakuu wa idara wanne wameshaliwa vichwa ndani ya utawala wa huyu Pres, ukitaka kuliwa kichwa kirahisi we tumia fedha nje ya utaratibu tu..
Sasa nipe faida za raisi kutokusafiri nje chukulia mfano wa JPM na hasara za raisi kutoka...
Watu tunaitwa calls hatulipwi,tunafanya kazi overtime hatulipwi bahati mbaya sisi wenye night labda wale wanaopiga 8good hours hawawezi kujua haua mambo..Unafanya kazi resources chache na bado watu wanapiga kelele tu,baada sasa ya kuambiwa tuanze kulipwa ndio mnaona ni kitu kigeni au favor?kweli watz bado tupo gizani sana,Huu umaskini wetu ni wa hatari mno
Hauwezi kufanya kazi tu kuna wakati lazima mkasome vitu vipya ama mkutane kama viongozi muelekezane mambo ya muhimu...
Hapa ikikamilika BRT hapa patakaa Europe wallahi.View attachment 2406599View attachment 2406600
Benki ya dunia huwa wanatoa Mikopo kwani huwa tunaenda kuwatembelea.Kwahiyo SSH tunampa sifa za kumalizia miradi ya JPM sio?. Hiyo maana yake ni kwamba miradi yote ilishaanzishwa na mtangulizi wake, muanzishaji ndiye aliyeanzisha wazo na sehemu kubwa kusaini mikataba ya utekelezaji wa miradi yenyewe, Iweje mmaliziaji wa miradi awe anazunguka Dunia kuliko muanzilishi?.
Umia pole pole mana hakuna uwezekano wa kupata electrifitried SGR wala BRT system huko kwenu kwa miaka 100 ijayo.That's one objectively ugly design.
Was the architect scribbling when high?
Nchi ya migomo.
Haya ndio mambo nilikua nataka kuyasikia.Broo ww huelewi tuu we achaa tuu watu wanapiga hela saivi we acha tuu mfano mdogo ni kwenye sensa iliyopita makarani walikua wanapaswa walipewe posho kwa kila kikao wanacho udhuria cha ajabu ni kwamba kuna makarani hawakulipwa na kama walilipwa walipewa nusu ya kile walichostahili kupewa sasa iyo hela yote imeenda mifukoni mwa watu wasiofaa aya mradi mwinginee wa upigaji ni zile pesa za mkopo kwa vijana na wakina mama akifuatilia kwa karibu asilimia kubwa ya mkopo wamepewa watu ambao wako uvccm au CCM kwa ufupi hayo ni baadhi ya mambo tuu ila yapo madudu kibao hususan kwenye haya mavikao na makongomano
Ndio maana hasa ya serikaliMkapa alipitisha tu kama raisi ila mambo mengi aliyafanya jpm akiwa kama waziri.
Mawaziri wa sasa hivi no ubunifu wanasubiri maelekezo Toka juu
Sijasahau kazi ya mwamba lahashatuusan, nchi lazima iwe na vipaumbele na kuvisimamia kwa nguvu zote. Enzi za Nyerere vipaumbele vilikua ni Elimu, Afya, kilimo na viwanda.
Kwa uwezo wa uchumi wetu wakati ule, hayo yalitosha Sana kukausha pesa ya taifa.
Nyerere alifanikiwa kujenga shule nyingi na kutoa Elimu na Afya Bure, wakulima walipewa pembejeo Bure au kwa malipo kidogo Sana, wakulima hawakukopwa mazao yao. Viwanda vilijengwa na kutapakaa nchi nzima.
Ktk kutimiza vipaumbele hivyo, baadhi ya maeneo yalidumaa kabisa, Barabara na reli vilidumaa, mishahara ya watumishi ilikua midogo Sana, bidhaa muhimu hazikupatikana madukani, zikiwemo nguo, sabuni, sukari na vinginevyo. Watumishi hawakulalamika Sana kwasababu Nyerere alikua alieleza nini anataka kuifanyia nchi.
Magufuli pia alikua na vipaumbele vyake, reli, Barabara, viwanda, Afya na Elimu na ujenzi wa meli na kufufua ATCL, nidhamu na uwajibikaji serikalini, kubana matumizi serikalini
Alikua akisema kwamba, hatoweza kuongeza mishahara hadi atakapokamilisha hiyo miradi, sote tuliona ni kiasi gani hii miradi ambayo watangulizi wake waliogopa hata kuigusa lakini yeye aliamua kuianza.
Kati ya Kikwete ambaye kila mwaka alikua akiongeza mishahara na kusafiri kila wiki lakini alishindwa hata kujenga daraja la Wami, na Magufuli ambaye alikua hasafiri Wala kuongeza mishahara lakini alifanikiwa kukusanya pesa ya kujenga
1)Bwawa la Nyerere $2.9B
2)Daraja la Kigongo busisi Tsh 700B
3)Ndege 11 za ATCL $700M
4)Upabuzi wa Barabara ya Kibaha $60M
5)Daraja la Wami
6)Mali ya MV Mwanza Tsh 90M
7)SGR Dar - Moro $1.9B
Hivi kweli unasahau haya yote eti kwasababu watumishi wa serikali wasiozidi 2M hawajaongezewa mishajara?.
Sasa ukiacha kuongeza mishahara, tena kwa asilimia ndogo ambayo bado haiwatoshi ninyi watumishi hebu tupe vipaumbele vya SSH, ukiacha hiyo miradi aliyoikuta.