dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
ofcourse...Kwahyo kenya kuna cities ngapi mzee.?
mombasa👇🏽
even nakuru is a city, dude!👇🏽
ofcourse...Kwahyo kenya kuna cities ngapi mzee.?
hapo umegonga ndipo kabisa! bro 👍🏽🙏🏽 u're a good judge.Sijasema ahead, it is comparable, zinaweza enda head to head.., and can beat Dar in several stuff na vice versa., ni ndugu na dada, Mwanza sio city bado, ni village town.., Dar is slimy(ushuzi) 80% ukiondoa CBD and few estates za maana, upana na urefu wake ni sprawling village type poor looking houses na panya routes..., ama unabisha, wewe lala tu, najua unaipenda Tanzania ata ukweli ni ngumu for you to swallow 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
am still echoing this sentiments frm a tanzanian.. ukweli tz haiwezi shindana na kenya kwa chochote. huwa tu wanalazimisha mambo hawa watu, yaani 1+1=3!hebu watz tuwacheni ujinga hatuwezi shindana na kenya kwa chochote, tunawashinda kwenye mdomo tu. Tena na kiswahili chetu kibovu tusiojua kutofautisha R na L. Nchi ina kila kitu lakini watu wake ni wa hivyo haijawahi kutokea
Fool, hii screenshot haiongelei Tanzania!
Nchi za SADC zinaumia cape gauge (3 ft 6 in / 1,067 mm) badala ya MGR (1000mm).wapuuzi wengine eti wanasema TAZARA isiwe SGR kisa connecting rails from SADC countries zinatumia mgr, now what value of cargo did those worthless countries from SADC shipped via mgr to and from Dar port ?
TARARA ina mtejaa Mkuu mmoja, Zambia. With an upgrade to SGR tutaongeza ufanisi zaidi na kuhudumia masoko ya Malawi na DRC. Haya ni masoko makubwa sana,
Kutoka Kapir Mposhi hadi Lubumbashi its only 350km approx..
Sijui mnaijua hii kampuni.? 👇 View attachment 2400818View attachment 2400819View attachment 2400820nimeona imeingiza fleet moja ya buses hiyo hatari 💥💥 .
Alikua ni mtu na nusu yule jamaaMagufuli hakukurupuka kuipiga chini miradi ya kifisadi kwenye hii mifuko ya kijamii Dr Dau alikua fisadi la hatari, miradi mingi sana alioiendesha ilikua na ufisadi wa kutisha ukianzia na daraja la Nyerere kigamboni
On this please exclude Tanzania, we are not divided like other African countriesDifference ya Africa na these other countries ni different ethnicities and divided countries which are unique in many ways even culturally, hizi UAE, Russia, France, Saudi, Qatar, Kuwait, Singapore, USA etc in principle are more or less the same.., Arabic countries are defined by Islamic religion, which strongly informs their culture, thus they can easily agree to one thing as a whole. Singapore are one people, same characteristics like China and Korea; having strong cultural belief system, which partly informs their work culture, they are not divergent like Africa is, thus our basis or foundation is fractured, therefore can't easily hold a new ideology, we are likely to pull apart. The white man took advantage of it to even divide us further with borderlines separating countries and within the countries more borders to separate tribes so he can rule us, he left physically but ideologically he is holding Africa captive. Success is tied on principle than conduct. We need a paradigm shift in our mindset, an awakening to the reality of who we are as Africans beyond the limitations of our specific countries and ethnic backgrounds. A tall order, not easy.
Huu upuuzi wako ndio chanzo cha umasikini wenu, wewe unataka makampuni yaende kujenga uchimi wa nchi za jirani wakati bado Nyumbani hawajamaliza kazi?.Swali kwa watani wa south, camponies ngapi za Tanzania zinatamba nje ya nchi yao? hapa EAC na beyond.., and in what magnitude? ama ni zile juice za Azam pekee na Azam TV nimeiskia ila sijawai kuiona popote Kenya..., ata kwa business news!!..,
Hizi ndizo characteristics za GDP kubwa..., We rule East Africa!
In Tanzania...KCB has risen.,
View attachment 2400503
View attachment 2400504
In Uganda...,waganda nao wanashangaa na speed ya Equity Bank..,
View attachment 2400506
View attachment 2400507
In DRC Equity Bank imefungulia wawekezaji wa Kenya njia..., na pia inatengeneza faida sana
View attachment 2400508
View attachment 2400515
View attachment 2400514
Equity inatenga pesa kusaidia biashara za Africa!
View attachment 2400517
KCB wananunua bank kule DRC na branches zake zote..., Kenya inateka East Africa region!!
View attachment 2400509
In Ethiopia.., Safaricom wameingiza kichwa na miguu
View attachment 2400510
View attachment 2400511
View attachment 2400512
South Sudan pia hatujaiwacha nje..,
View attachment 2400524



Kenya na Tanzania ni nchi gani yenye ushawishi mkubwa hapa Africa na duniani?, Ni nchi gani yenye historia iliyotukuka hapa Africa?Mngekua mbali sana, mbona mko nyuma, hamuamini ata waafrika wenzenu, waoga nyie, hafifu, wavivu na wanyonge!, matunda yanaonekana, hautahitaji nabii yeyote akuambie, jiangalie mlivyo tokea Dar hadi vijijini..., na uchunguze pia nje ya nchi yenu ushawishi wenu pia ulivyo.., usijitekenye, be realistic stop defending what is not there, sio kila wakati unajibu kishabiki, reason.


Swali kwa watani wa south, camponies ngapi za Tanzania zinatamba nje ya nchi yao? hapa EAC na beyond.., and in what magnitude? ama ni zile juice za Azam pekee na Azam TV nimeiskia ila sijawai kuiona popote Kenya..., ata kwa business news!!..,
Hizi ndizo characteristics za GDP kubwa..., We rule East Africa!
In Tanzania...KCB has risen.,
View attachment 2400503
View attachment 2400504
In Uganda...,waganda nao wanashangaa na speed ya Equity Bank..,
View attachment 2400506
View attachment 2400507
In DRC Equity Bank imefungulia wawekezaji wa Kenya njia..., na pia inatengeneza faida sana
View attachment 2400508
View attachment 2400515
View attachment 2400514
Equity inatenga pesa kusaidia biashara za Africa!
View attachment 2400517
KCB wananunua bank kule DRC na branches zake zote..., Kenya inateka East Africa region!!
View attachment 2400509
In Ethiopia.., Safaricom wameingiza kichwa na miguu
View attachment 2400510
View attachment 2400511
View attachment 2400512
South Sudan pia hatujaiwacha nje..,
View attachment 2400524
kwani mnabembelezwa even us KE could choose to be Islamic state!!🇹🇿🚮🚮kwanza inaonekana They will be so happy with KE!!👌watanunua pia mirugi ya KE kwa fujo!!!SADC vs EAC
The relationship within SADC is more cooperative and progressive
Vs
The relationship within EAC is confrotative and mistrust
leta evidence Zambia wanataka TAZARA iwe SGR, mama anaenda China Nov 2 kaa mkao wa kula TAZARA inaenda rehabilitated n modernized na Mchina si mjinga kujifunga na market ya Zambia pekee wakati Bagamoyo port ita-serve the whole of East and central Africa! BTW ni upumbavu wa hali ya juu kusema CGR haiwezi kuwa rehabilitated na kubeba mzigo mzito zaidi na treni kwenda speed ya juu! kwani South Africa wanabeba mizigo ya SADC na reli ya gauge ipi? Wacha kuwa short sighted!Zambia ndio Wana push Sana Sgr ijengwe ili kurahisisha usafiri wa mizigo kutoka dar.
africa.cgtn.com
Tunajilisha. Hizo mahindi zinatoka Tanzania are mainly farmed by Kenyans wenye wamekodi mashamba Tanzania.

Mbona imekuuma hivyo?kwani mnabembelezwa even us KE could choose to be Islamic state!!kwanza inaonekana They will be so happy with KE!!
watanunua pia mirugi ya KE kwa fujo!!!
Mkumbuke even tourism in Tanzania EAC ndio inaongoza!mpaka mazao yenu tunapandaga kwa shamba zenu na tunajiuziasjui SADC na pia ni wakulima na pia wako na gas Mozambique sjui mutawauzia Nini????
pia bangi SADC wanakuza!!!!
Mushai funga border and we didn't die!!kwanza our Economy became more resilient!!
Pia Mahindi Tunaweza nunua Egypt,Ethiopia,or Mexico!!or tupokee matunzo from Egypt jinsi ya kufanya canal irrigation in Arid Areas!!!
You ain't that special![]()



.


Mbuna imekuuma hivyo?.
Tanzania na nchi za Kusini mwa Africa ni ndugu wa mama mmoja, ndio sababu tunapendana, tunashirikiana na kusaidiana, hakuna chuki Wala wivu miongoni mwetu
Biashara kati ya Tanzania na SADC ni zaidi ya mara mbili ya biashara kati ya Tanzania na EAC. Tanzania tunapata faida ya $500M kwa mwaka EAC, wakati tunapata zaidi ya $1.3B SADC
Kwa jinsi Uchumi wa Kenya unavyoitegemea Tanzania kwa Sasa, tukiamua kufunga mipaka yetu, Uchumi wa Kenya utasambaratika ndani ya miezi 6 tu, kumbuka jinsi mlivyohangaika kuomba msamaha tulivyoifingia KQ kuja Tanzania enzi za Magufuli.



519 meters bridge, CCTV camera ndani, lights .. yo ni daraja modern sana hapa EA 👇. Wami bridge.. Teargass njoo uumie vizuri
ivi ndivyo mnajidanganya eti mkifunga border Kenya Ina filisika😂kwani ni Mara ya kwanza kufunga!!!Mbuna imekuuma hivyo?.
Tanzania na nchi za Kusini mwa Africa ni ndugu wa mama mmoja, ndio sababu tunapendana, tunashirikiana na kusaidiana, hakuna chuki Wala wivu miongoni mwetu
Biashara kati ya Tanzania na SADC ni zaidi ya mara mbili ya biashara kati ya Tanzania na EAC. Tanzania tunapata faida ya $500M kwa mwaka EAC, wakati tunapata zaidi ya $1.3B SADC
Kwa jinsi Uchumi wa Kenya unavyoitegemea Tanzania kwa Sasa, tukiamua kufunga mipaka yetu, Uchumi wa Kenya utasambaratika ndani ya miezi 6 tu, kumbuka jinsi mlivyohangaika kuomba msamaha tulivyoifingia KQ kuja Tanzania enzi za Magufuli.
Acha dharau mkuu.Na wewe kwa akili zako ulikuwa unawaamini hao matapeli? Tangu lini sgr ya ukweli ikajengwa kwa gharama cheap kama ya Bongo?
Expect more vituko huko tuendako,usije Kuta hata speed ikawa kama ya bus.