Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapana usitufanye wapumbavu kila siku, toa leo kinyongo chako, ni wewe kila leo unaetaja taja Mombasa kuizidi DAR .. haya tueleze hapa, ni kwenye upande gani.? au na wewe ni mzee wa ports comparison.? 🤣🤣
Kuzidi ama ku level?.., zinatoana vumbi., ila huwezi level Mwanza na Dar.., or Mwanza na Mombasa ni ukichaa ama kujitoa ufahamu wazi wazi.., nimeweka mengi ya Mombasa yenye Dar ilishindwa kujibu, naijiua Dar na hakuna ambaye angenidanganya..., ukijaribu janja janja naumbua tu.
 
Does Dar have Cruise Terminal?
 
Hujaweka vehicle assembly plants.., vast residentials za kawaida zenye adabu kuliko za kawaida za dar.., up and running SGR.., etc., huyu wachana na yeye anajiliwaza, Dar na Mombasa can battle..., hiyo ndio inamuuma.
You need to cut the long story short ishu ni uchumi wa mji mzima au uchangiaji wa pato la taifa, he ni mji gani uko na uchumi mkubwa.? Sasa hizo comparable sectors unataja ni zipi.? , mana tukizungumzia viwanda ndani ya DAR, hiyo ni kesi nyingine kabisa, itakubid uhusishe Kenya kama taifa ..
 
Dar is nothing to Mombasa. Kwanza almost all Scania trucks that operate in Tanzania roads are assembled in Mombasa.
Alafu anataja Mwanza sentensi moja na Mombasa, uwendazimu yenye iko Tz inaelekea kukua janga la taifa 🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣😂😂

Wacha nilale, I need sufficient rest.
 
Kuzidi ama ku level?.., zinatoana vumbi., ila huwezi level Mwanza na Dar.., or Mwanza na Mombasa ni ukichaa ama kujitoa ufahamu wazi wazi.., nimeweka mengi ya Mombasa yenye Dar ilishindwa kujibu, naijiua Dar na hakuna ambaye angenidanganya..., ukijaribu janja janja naumbua tu.
Skiliza kaka.. hii discussion wewe ndio uliileta, toa majibu, usikimbie kimbie haitakusaidia.. Hakuna chochote ambacho mombasa inaeza kuwa mbele ya DAR tofauti na Tani za mizigo bandarini. HAKUNA HATA KITU KIMOJA CHENYE MOMBASA ITAIPITA DAR ... na haitakaa itoKee
 
You need to cut the long story short ishu ni uchumi wa mji mzima au uchangiaji wa pato la taifa, he ni mji gani uko na uchumi mkubwa.? Sasa hizo comparable sectors unataja ni zipi.? , mana tukizungumzia viwanda ndani ya DAR, hiyo ni kesi nyingine kabisa, itakubid uhusishe Kenya kama taifa ..
Ona ujinga, na Kenya ndio bingwa wa viwanda East and central Africa, lala tu unachanganyikiwa zaidi, tuonge kesho Inshallah. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
 
Wakenya ni wazee wa dera jipya chupi la zamani
 
kuna mbuzi wawili awajajibu QN zangu nitawachinja hahhahahahhahahaa
 
Ona ujinga, na Kenya ndio bingwa wa viwanda East and central Africa, lala tu unachanganyikiwa zaidi, tuonge kesho Inshallah. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
We nae kichwa kikubwa ubongo wa mende BONGO LAND sio level yenu sasa kunyan's nyie ni windows XP sie ni windows 11 mmenipata nyie waganga njaa cjui
 
Ona ujinga, na Kenya ndio bingwa wa viwanda East and central Africa, lala tu unachanganyikiwa zaidi, tuonge kesho Inshallah. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
Waulize mbuzi wenzako wanaokujaga Tz watakupatia ushuhuda, njoo inbox nikupe namba ya mkenya mmoja boss kwenye kampuni ya UNILIVA ni mshkaji wangu, atakuelezea haya
 
Ona ujinga, na Kenya ndio bingwa wa viwanda East and central Africa, lala tu unachanganyikiwa zaidi, tuonge kesho Inshallah. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
We kichwa maji ulale mkusanje nguvu na mjichange mje tena mjini
 
Huoni aibu karne ya 21 bado mnasotea maji? Hamna battle wallahi, ni ile tunawaliwaza tu hawa mbwa.
si naskia TZ pia Kuna water rationing kwanza ile serious🥺alafu maji everywhere ni mtungi mkokoteni!!🇹🇿💥
 
Sijui mnaijua hii kampuni.? 👇
bluecoastz-20221028-0001.jpg
bluecoastz-20221028-0004.jpg
bluecoastz-20221028-0002.jpg
nimeona imeingiza fleet moja ya buses hiyo hatari 💥💥 .
 
Attachments

  • bluecoastz-20221028-0003.jpg
    bluecoastz-20221028-0003.jpg
    142.2 KB · Views: 6
hebu watz tuwacheni ujinga hatuwezi shindana na kenya kwa chochote, tunawashinda kwenye mdomo tu. Tena na kiswahili chetu kibovu tusiojua kutofautisha R na L. Nchi ina kila kitu lakini watu wake ni wa hivyo haijawahi kutokea
 
See how Kenya is raping East Africa. GDP ya karatasi hiyo😂😂.

Out of the top 20,
Kenyan Banks are 10
Ethiopian Banks are 5
Ugandan Banks are 2
Tanzanian banks 2
Rwanda 1

View attachment 2400669
hii post imenifunza kitu flani..

yaani venye south africa huwa ina dominate kwa african rankings kwenye kila kitu...

na ivo ivo ndivyo kenya inavyo ifuck eastern africa region kwa dominance ... 🤣🤣🤣 in each and every aspect

kisa... ukubwa wa gdp >$110b
images (1) (2).jpeg
 
Back
Top Bottom