Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila pembe ya kenya failed state kuna njaa nashangaa sana unajificha kwenye kichaka cha ukame wa northern.
Tanzania pekee ndo sehemu mnaweza pata mahindi kwa bei nzuri kondoo wewe.
Abroad wapi mahindi ni cheap?
Tanzania inaongoza kwenye kilimo cha umwagiliaji ukanda huu.
Eti wenye mifugo ndo wanaumia utadhani hatuifahamu hiyo kenya.
Njaa inawalima hadi gatundu.
Hamna akili wavivu wazembe ninyi.
Kama tungekuwa wazembe hatungekuja TZ kulima Mahindi tukiwalipa Kodi walazi nyinyi🚮
Ni venye tu Kenya iko ukame tulikuwa tumetegemea mvua Sana na sasa hakunyeshi!!
Si Mungu tu alete mvua uone Wakenya wakilima pande zote!!we ain't lazy like you🇹🇿🚮
Kumbuka kwa cash crops pia hamtushindi!!!tuko ligi ya India👌
 
sasa niwe na qualifications za kuongea na watz🇹🇿🚮ata heri ninyamaze😂😂ama niongee na warwanda tunafanyaga nao biashara wako very sharp kuliko nyinyi🚮
Kuna kampuni ya kikenya yenye inamilikiwa na local kenyan yenye Iko na muscles za kushindana na kampuni kubwa za kitanzania zinazomilikiwa na watanzania.? tuanzie hapa kwanza
 
Kama tungekuwa wazembe hatungekuja TZ kulima Mahindi tukiwalipa Kodi walazi nyinyi
Ni venye tu Kenya iko ukame tulikuwa tumetegemea mvua Sana na sasa hakunyeshi!!
Si Mungu tu alete mvua uone Wakenya wakilima pande zote!!we ain't lazy like you
Kumbuka kwa cash crops pia hamtushindi!!!tuko ligi ya India

Labda kenya failed state kuna sehemu inaitwa Tanzania na ndiko mnapolima.
Karne ya 21 mnategemea mvua kulima!
Jengeni miradi ya umwagiliaji wazembe ninyi.
Ninyi hata Burundi wamewazidi.
Endelea kutoa meno nje maana ndio sifa pekee mnayojulikana nayo.

 
Mnaweza ona ni jinsi gani tunabishana na matahira mixer wehu humu ndani. Imagine kuitwa lazy with a country which depends on you kwa chakula Imagine kuitwa lazy na taifa which depends on food donations.. kuna namna nafkiri hawa jamaa tuwaache tu .. wenyewe wanajiita ni hard workers lakini hawawezi kujilisha 2022 hii, kilimo wanachotegemea ni maua na chai ambacho wanye mashamba yao ni wazungu huko kwao.

Hawawezi hata kuzoa taka walipotupa
 
  1. SGR Tanzania kuna TV 3 mwanzoni, katikati na mwishoni, kwenye garimoshi ya Kunyaland hamna TV!
  2. SGR Tanzania kuna armrest SGR Kunyaland hamna
  3. SGR Tanzania pia kila seat ina kameza cha kula kwa nyuma ukiacha meza katikati kwa seats zinazoangaliana na pia bottle hanger wakati SGR Kunyaland ina meza katikati tu!
  4. Madirisha ya coaches za SGR Tanzania yako wide, sealed (meaning ndani full kiyoyozi) na yana modern drop down window shades, SGR Kunyaland kuna pazia la kitambaa!
  5. SGR Tanzania ina first aid and safety kits enclosed in a shattered glass Kunyaland linyundo la safety kit linaning'inia wakati first aid kit haionekani!
  6. SGR Tanzania ina automatic transparent glass doors at both ends of the coaches wakati SGR Kunyaland ina manual metal door with window!

Ff7GZ7FWQAEyDlq


Ff7QFxSX0AEUudH


vs

Esy7ZkvWMAIYkwC


E_ASmmFWEAISTlC




MY TAKE
Wakunya wacheni kujidanganya! As far as amenities and comfortability are concerned, SGR Tanzania coaches beat by far SGR Kunyaland coaches!

Kwamba Kundustan SGR dirisha lina pazia linapepea kama kwenye Getho la msela Uswahilini?
 
ivi ndivyo mnajidanganya eti mkifunga border Kenya Ina filisikakwani ni Mara ya kwanza kufunga!!!
Alafu hao SADC kwani hujui jinsi wanatuongeaga mazuri ya Kenya??kuliko nyinyi kuuza bangi na ugaidi kwa Nchi za SADC!!

Najua pia SADC huomba sana Kenya iungane na SADCsababu sisi na biashara ni
Ebu jua kuwa mkifunga border mtajiumiza nyie wenyewe!!kwasababu mukulima hauziagi mazao yake kwa mkulima mwingine!!!
Sisi Kenya tunakuzaga Cash crops and Manufacturing kwa wingi,pia Banking sisi ni King of EAC
Siku hizi tunahamisha mabiashara upande wa North Kenya where markets are available na Kuna watu wengi sana
Mpaka Somalia enda uone jinsi pia companies zinamilikiwa na Wakenya!!!mpaka Somali Land!!
Safaricom,Equity na KCB pia tumepeleka huko North na naskia Safaricom inakuwa kwa Kasi Ethiopia
Nyinyi eti sasa Mnaona reli ya SADC ambayo itashughulikia Upande wa Tourism pekee eti ndio mkafunga baokwani hujiulizi na mlivyokaribia izo SADC countries mbona Nchi Kama Rwanda,DRC,Uganda na Burundi wanaipendelea Mombasa port sana???
Lazy heads!!
Hahahaha. Tanzania balance of trade within EAC is only $500M in favor of Tanzania, while that of SADC is over $1.3B. Hiyo inakuonyesha ni jinsi gani Tanzania hatutegemei soko la EAC.

Hapa Africa, Tanzania ndiyo the biggest trade partner wa Kenya, lakini Kenya sio biggest trade partner wa Tanzania. Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani uchumi wa Kenya unavyoitegemea Tanzania.

Miaka ya 1970s tulipofunga mipanka, uchumi wa Kenya ulikua hautegemei Sana Tanzania, ulikua ni wakati wa "cold war", Kenya ilikua haifanyi biashara na nchi za kusini mwa Afrika, lakini hivi Sasa 70% soko la bidhaa za Kenya hapa Afrika lipo ktk nchi za SADC, bila Barbara za Tanzania, hizo bidhaa haziwezi kufika huko SADC, Tanzania tukifunga mpaka na kuwafukuza na kufunga makampuni yote ya Kenya, uchumi wa Kenya utasambaratika ndani ya miezi 6, huo ndio ukweli
 
kwani and we profit equal with your people imaginelazy minds!!
Na mkikataa Basi pia Kuna other countries too,pia DRC tumemeesha Mahindi in 1000s Hector's of Lands na wanafurahia sababu tunakuza uchumi wao tunalipa wenye shamba pia and tax!!!
Pia mkiringa na Shamba zenu pia sisi Kenya tuko na mashambatunaweza ita Egypt watufunze Canal irrigation!!!sababu highland zetu tumepanda Cash crops and we are thee best in Afrika!!!interms of Cash crops KE competes with big countries Like India and Brazil!!!
Hahahaha, hao DRC wenyewe hutegemea Tanzania kwa chakula, wacha kutapatapa, mara mnasema mnajipandia chakula Tanzania, mara DRC, mara mtaita Egyptians wawafundishe drops irrigation. Ina maana Hadi Sasa hamjui kufanya drops irrigations?, Kweli ninyi ni failed state
 
first thing we are not lazy ata watu wenu wanajua jinsi biashara na Kenyans ni hiviogopa!!!
Then sio sisi tumeleta ukame it's Climate change na Northern Kenya wanadepend in Pastoralism kulea mifugo na sai mifugo zao washakufa wengi sababu ya ukame!!
Sasa wamesema wanataka kuingilia kilimo na serikali itawasaidia
ebu imagine Kama Kenya tunacompete na Kina India interms of cash cash imagine tukibadilisha pastoralists wa Kenya wawe wakulima Kama tutashikikaga
Tz is a green country and lots of nutural resources yet hakuna Kitu munafanya ya maanalazy minds
Punguza kulalamika, Ukame wa Kenya hauzidi ule wa Egypt, mbona wao wamewekeza katika irrigation na hawana tatizo la njaa?, Ninyi ni wazembe sana
 
nimekuambia we only planted cash crops and kufuga mifugo onlywenye mifugo ndio wanaumia Sana kwa ukame!!mifugo yao imekufa
Alafu kwani ni sisi tumeleta ukame ama ni climate change???
Alafu mkikosa kutuuzia Mahindi tutanua kwengineeven more cheaper kwasababu uko abroad Mahindi ni chakula ya ngombe na farasina wanaweza penda Sana tununue Mexico!
Sasa kwanini msiende kununua hivi Sasa ili kuokoa maisha ya wakenya wanaoendelea kufa kwa njaa??.

Hii habari ya kulalamika climate change tangu 1963 mlipopata Uhuru wenu, ni dalili ya kushindwa kujitawala, ninyi mnapaswa muwe sehemu ya Tanzania tuwatawale ili tuwafundishe jinsi ya kuzalisha chakula kwa kufanya kilimo cha irrigation
 
Kama tungekuwa wazembe hatungekuja TZ kulima Mahindi tukiwalipa Kodi walazi nyinyi
Ni venye tu Kenya iko ukame tulikuwa tumetegemea mvua Sana na sasa hakunyeshi!!
Si Mungu tu alete mvua uone Wakenya wakilima pande zote!!we ain't lazy like you
Kumbuka kwa cash crops pia hamtushindi!!!tuko ligi ya India
Hawa kamwe hutosikia wakilalamika kuhusu Ukame, ninyi ni wazembe sana


Ona jinsi mlivyo wazembe
 
Kama tungekuwa wazembe hatungekuja TZ kulima Mahindi tukiwalipa Kodi walazi nyinyi🚮
Ni venye tu Kenya iko ukame tulikuwa tumetegemea mvua Sana na sasa hakunyeshi!!
Si Mungu tu alete mvua uone Wakenya wakilima pande zote!!we ain't lazy like you🇹🇿🚮
Kumbuka kwa cash crops pia hamtushindi!!!tuko ligi ya India👌
Mnakuja wapi kulima? 😂😂😂😂

Mbona Wakunya ni mataahira
Kitu nilichojifunza kwenu ni kutokubali ninyi ni hopeless na takataka

Ukifuatilia hii tweet utaona mlivyo hamna akili, kubalini kwanza ninyi ni fukara na wazembe kisha mtanasuka hapo, tatizo mmedanganywa na wanasiasa wenu ili kutake advantage of manipulating and looting

 
sasa niwe na qualifications za kuongea na watz🇹🇿🚮ata heri ninyamaze😂😂ama niongee na warwanda tunafanyaga nao biashara wako very sharp kuliko nyinyi🚮
Kwanini mnapendaga kujipendekeza kwenye nchi za mbali sana? 😂😂 Kwanini your sister country isiwe Somalia sudan Ethiopia Uganda huko kwanini mnapenda kujihusisha na nchi msioendana nazo? Utashangaa mnalazimisha uhusiano na DRC nchi ilio masafa mbali na ninyi

 
Back
Top Bottom