Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijasema ahead, it is comparable, zinaweza enda head to head.., and can beat Dar in several stuff na vice versa., ni ndugu na dada, Mwanza sio city bado, ni village town.., Dar is slimy(ushuzi) 80% ukiondoa CBD and few estates za maana, upana na urefu wake ni sprawling village type poor looking houses na panya routes..., ama unabisha, wewe lala tu, najua unaipenda Tanzania ata ukweli ni ngumu for you to swallow 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We unafkiri ni nini Mombasa is ahead of DAR.? Heb taja leo utoe kinyongo chako, huenda uko na point, toa leo kinyongo chako, taja hizo comparable sectors . 🤣🤣 Mana hiv ni Vichekesho vya kidunia, haya let's go .
 
Lazima tupige kelele cause Kenya is among the top five foreign countries that employs most Tanzanians. Soon Kenyans will employ more Tanzanians than your government.
Hii inatimia fast, the rate yenye Kenyan companies zina grow in Tz.., they will thank our aggressiveness.
 
We unafkiri ni nini Mombasa is ahead of DAR.? Heb taja leo utoe kinyongo chako, huenda uko na point, toa leo kinyongo chako, taja hizo comparable sectors . 🤣🤣 Mana hiv ni Vichekesho vya kidunia, haya let's go .
Mombasa port 35M tonnes a year, Dar port 16M tonnes a year. Niendelee ama niache tu?
 
Right now Kenya inatoshana na India in the number of created jobs in Tanzania. Remember Indians are always their mini god😂
.
images.png
 
We unafkiri ni nini Mombasa is ahead of DAR.? Heb taja leo utoe kinyongo chako, huenda uko na point, toa leo kinyongo chako, taja hizo comparable sectors . 🤣🤣 Mana hiv ni Vichekesho vya kidunia, haya let's go .
Wewe lala tu usijikaze kujiliwaza, hautalala vizuri.., mbona turudie rudie mambo, wewe ndio inakuuma kuona muji wa Kenya wa pili iko level moja na hiyo city yenyu moja., wacha kujitoa ufahamu, lala tafadhali.
 
Mombasa port 35M tonnes a year, Dar port 16M tonnes a year. Niendelee ama niache tu?
Hujaweka vehicle assembly plants.., vast residentials za kawaida zenye adabu kuliko za kawaida za dar.., up and running SGR.., etc., huyu wachana na yeye anajiliwaza, Dar na Mombasa can battle..., hiyo ndio inamuuma.
 
Wewe lala tu usijikaze kujiliwaza, hautalala vizuri.., mbona turudie rudie mambo, wewe ndio inakuuma kuona muji wa Kenya wa pili iko level moja na hiyo city yenyu moja., wacha kujitoa ufahamu, lala tafadhali.
Hapana usitufanye wapumbavu kila siku, toa leo kinyongo chako, ni wewe kila leo unaetaja taja Mombasa kuizidi DAR .. haya tueleze hapa, ni kwenye upande gani.? au na wewe ni mzee wa ports comparison.? 🤣🤣
 
Toa huo uduvi wako apa nyie ndio mnaongoza kwa watu wasio na kazi na njaa juu plus ujinga wa watu wa ulaya na marekani hao ndio wakunyani pekeee
Sasa umeandika nini? Ilikuwa tu lazimu unijibu?😂😂
 
Hujaweka vehicle assembly plants.., vast residentials za kawaida zenye adabu kuliko za kawaida za dar.., up and running SGR.., etc., huyu wachana na yeye anajiliwaza, Dar na Mombasa can battle..., hiyo ndio inamuuma.
Dar is nothing to Mombasa. Kwanza almost all Scania trucks that operate in Tanzania roads are assembled in Mombasa.
 
Back
Top Bottom