Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
1666949496664.png
 
Kumbe huu mradi wa Dege Eco village ndio maana Magufuli aliupiga chini kumbe una madudu mengi aiseee daahhhhhhh

Umedanganya ungechunguza kwanza nimetumia SGR dirisha hazifunguki, na kuna AC., yaani watu wa guesswork tu hiyo train yenu ni ugly sana wacha kujiliwaza kwa porojo,
View attachment 2399504
View attachment 2399505
Huo mwamba hapo katikati ya dirisha ni nini kama sio ya kufungua dirisha? Ya Tz ni kioo full juu mpaka chibi hakuna frame katikati ya dirisha.
 
In this world hakuna any country ime achieve utopia, it is impossible, unrealistic and unattainable; yaani perfect security, health, zero poverty and sustainable prosperity for all people in a state! ., pengine paradise ya Mungu pekee.., China kuna ufukara na mashambani, bado wako na third world lifestyle in various places, hawajafikia standards za watu wa most European countries, despite the classy or futuristic looking cities and state of the art infrastructure zaidi ya Europe and America..,
Pengine ungesema Qatar, Kuwait na UAE., zinakaribia in terms ya standard of living ya watu wao., wako juu sana! almost zero poverty.., immigrants ndio hustlers kule. China nooo, bado.

View attachment 2400240
View attachment 2400241
View attachment 2400242
Hii ni real life ya wachina wa vijijini, japo kija vijiji vyao viko poa sana pia
 
In this world hakuna any country ime achieve utopia, it is impossible, unrealistic and unattainable; yaani perfect security, health, zero poverty and sustainable prosperity for all people in a state! ., pengine paradise ya Mungu pekee.., China kuna ufukara na mashambani, bado wako na third world lifestyle in various places, hawajafikia standards za watu wa most European countries, despite the classy or futuristic looking cities and state of the art infrastructure zaidi ya Europe and America..,
Pengine ungesema Qatar, Kuwait na UAE., zinakaribia in terms ya standard of living ya watu wao., wako juu sana! almost zero poverty.., immigrants ndio hustlers kule. China nooo, bado.

View attachment 2400240
View attachment 2400241
View attachment 2400242
Uchina bado sana, some areas za China are in worser condition than third world countries. Main stream social media is banned by Chinas government and one party state(just like CCM) so the outside world will never get to know what truly goes on inside China or a normal Chinese citizen life.
But i still give the Chinese communist party credit for lifting over 700m people out of poverty in less than 40 years. That is a fete never achieved any-where in the world since the beginning of recorded mankind history.
 
Kumbe huu mradi wa Dege Eco village ndio maana Magufuli aliupiga chini kumbe una madudu mengi aiseee daahhhhhhh

Magufuli hakukurupuka kuipiga chini miradi ya kifisadi kwenye hii mifuko ya kijamii Dr Dau alikua fisadi la hatari, miradi mingi sana alioiendesha ilikua na ufisadi wa kutisha ukianzia na daraja la Nyerere kigamboni
 
Kwani ikipigwa sgr si itajengwa mpya na TAZARA itabaki kama reli ya kati.
Nchi yetu ni kubwa sana hata sisi kama wananchi tunahitaji usafiri wa haraka.
Mimi kwa akili yangu ningepiga sgr pote
Ila ningeijenga kwa style hii
Ingetoka Arusha kwenda mbeya kupitia dodoma. Kwa maana nyingine majiji yote ya Tz yangeunganishwa na sgr.
Kwa hiyo mzigo Unaweza shukia Tanga ukaenda sehemu yoyote ya nchi au nje ya nchi, na watz wanasafiri kwa u rahisi.
Nani kakwambia CGR haiendi haraka? Ummefika Japan ukaona narrow gauge zao treni zinavyopita?

Wachina wanaenda kui-modernize yaani kui-electrify na kuifanya kuwa continous welded!
 
Uchina bado sana, some areas za China are in worser condition than third world countries. Main stream social media is banned by Chinas government and one party state(just like CCM) so the outside world will never get to know what truly goes on inside China or a normal Chinese citizen life.
But i still give the Chinese communist party credit for lifting over 700m people out of poverty in less than 40 years. That is a fete never achieved any-where in the world since the beginning of recorded mankind history.
Apa nakubaliana nawe
 
Nani kakwambia CGR haiendi haraka? Ummefika Japan ukaona narrow gauge zao treni zinavyopita?

Wachina wanaenda kui-modernize yaani kui-electrify na kuifanya kuwa continous welded!
Si hata reli ya kati tunge modernize kuliko kujenga mpya tukasave pesa, Si DRC Anatumia meter gauge
 
Uchina bado sana, some areas za China are in worser condition than third world countries. Main stream social media is banned by Chinas government and one party state(just like CCM) so the outside world will never get to know what truly goes on inside China or a normal Chinese citizen life.
But i still give the Chinese communist party credit for lifting over 700m people out of poverty in less than 40 years. That is a fete never achieved any-where in the world since the beginning of recorded mankind history.
Africa could have done the same kama tungekua united, Chinese population is more than Africa's and united as one people. Unfortunately for Africa, the global oligarchs and western governments are working against Africa's unity and also Africans themselves can't unite, kwanza nchi zenye akili za uoga uoga na kutojiamini kama Tanzania..., 😂 😂
 
Tunawajibu soon...kibaha-Morogoro 4lanes 160KMs
Bado hii yenu haijaanza, ata Kenya tunajenga 525km expressway from Nairobi - Mombasa + Rironi - Mau Summit dual carriage 243km. Zote ni mipango kwa vitabu kama hii yenu but Kenol - Marua (140Km) is like 75% complete. Kwa sasa, hii barabara haina mpizani East and Central Africa.
Untitled.png
Rironi Mau Summit Dual carraige.png
 
Back
Top Bottom