Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Attachments

  • Screenshot_20220925-082915.png
    Screenshot_20220925-082915.png
    147.5 KB · Views: 10
Tuliwaambia watu wasubiri hapa BRT lanes zipite halafu wapost tena ile picha yao. ( BTW) ile Roundabout ya Kuelekea daraja la reli gerezani imefumuliwa yote , Zege la BRT limebakisha kidogo kuungana na Nyerere road na Msimbazi street. Halafu pale Chang’onge Flyover chini tayari limepigwa BRT zege la awamu ya tatu, Kule mfugale pia wameshatoa udongo wote wa kati pale.

View attachment 2392873
View attachment 2392881

View attachment 2392882
Kwa kweli, serikali ya CCM pamoja na madhaifu yake yote lakini kiafrika wanajitahidi sana kwenye suala la mipango, amini usiamini haya yote waliyapanga miaka 20 iliyopita.

Kingine wanauwezo wa kujisahihisha, mfano hili suala la dala dala ni serikali ya Nyerere ndiyo iliyolianzisha lakini mpaka kipindi cha kwanza cha Mkapa, ilishaonekana daladala zitakuja kuwa tatizo. Ndipo wakaja na mpango wa BRT. Hata suala la ujenzi holela Dar wanaweza kuwa na mpango wa kulishughulikia.
 
Haya majengo mawili ya TRC kwenye corner along sokoine road..ni ya kubomoa kuweka kitu chenye hadhi labda Railway Training Univeristy , TRC City Centre Hotel ..or something

Plus hizi Kota Za Polisi Pembeni nazo ni za kuweka Police Housing Scheme mpya hata 20 flrs towers ziwe 6 hapo pemebeni tho itaongeza wakazi wengi city centre ila patapendeza pakipata redevelopment .
 
Kweli Mkuu, Pale MGR na BRT kama hapajakaa vizuri.

Hapa MGR imekatiza eneo litakalokua na BRT lane .


View attachment 2392941

View attachment 2392950
Most likely years to come sa hizi kutakuwa na Traffic lights ...tho patahitaji flyover muda si mrefu..my bet hii barabara ya sokoine itahitaji elevated road mpya sijui kama nafasi ipo..ila haitatosha
 
Duh sijui ni Rais gn ataikamilisha hii barabara mana hakuna barabara imewahi kujengwa kwa muda mrefu hivi tangu dunia kuumbwa na haitatokea mpk kiyama. Waachane nayo.
Ni kwa sababu haiwapi pressure ..cause magari yanaweza kupitia Mpanda kuingia kigoma..tho ni mbali so hii ya kupitia direct ni muhimu hasa ukizingatia Kigoma inaenda kuwa na Zonal Hospital
 
Napita hii njia daily kwenye mishe zangu, aisee I can’t wait ikamilike. BRT 3 na 4 zitamaliza kabisa hii ligi na hawa jamaa, then 5 na 6 itatuweka levels zingine kabisa Afrika na wala hatutakuwa tunaongea na watu wanaoomba msaada wa chakula. Infact, miaka 5 ijayo miji yote mikubwa Tanzania itakuwa na level yake tofauti kabisa, hawa ndugu zetu watafute chawa wao wa kuwapambania sababu hawatagusa mahali, iwe ni angani, majini na ardhini hawatagusa mahala, na wala sisemi hivi sababu ya uzalendo wa battle huo ndio utakuwa ukweli.

Yajayo Yanaumiza Macho.
Hapo Mund you Kuna Plan ya kujenga Light Railway /Tram kuanzia 2030
.maana Dar is one of fastest Growing cities duniani
 
Ni kwa sababu haiwapi pressure ..cause magari yanaweza kupitia Mpanda kuingia kigoma..tho ni mbali so hii ya kupitia direct ni muhimu hasa ukizingatia Kigoma inaenda kuwa na Zonal Hospital
Mkuu angalia tena inaisha mwaka gani kwa mujibu wa tweet.
 
Na hiki Kipindupindu,Ruto atamlaumu uhuru Ili kuficha kushindwa kwake..

GDP country is falling apart 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221020-174153.png
    Screenshot_20221020-174153.png
    118.3 KB · Views: 12
Asante Sana WB Bank for appreciation kwa Tanzania Strong economy 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221021-071847.png
    Screenshot_20221021-071847.png
    54.2 KB · Views: 10
Expressway imeisha utawaonea wapi nchi nzima ka mradi kalikuwa kamoja tuu.
Wamesusa baada ya sindano za jana si mchezo, tumewapiga na ukamilisho wa miradi mipya kila pembe ya nchi, wakija watakutumia vijengo viwili vitatu vya bambuli ya Mombasa mji wenye nyumba nyingi za udongo alafu wamalizie na vimiradi vya mchina zen vi estate vya kitambo wakimalizia na vijineno vya kujifariji vya the biggest, the best, the most n.k
 
Tutawaonyesha namna ya kujenga park hawa wadogo zetu ,Msimbazi is loading....................! compliment of the city, Coco Beach itakapokuja mezani seriously, maana ufukwe upo tu.. sielewi!.
Nimepita coco wamepiga mabati pale palikuwa na hotel na zile bars zote zimepigwa nyundo, sijui what is loading pale.
 
Ni kwa sababu haiwapi pressure ..cause magari yanaweza kupitia Mpanda kuingia kigoma..tho ni mbali so hii ya kupitia direct ni muhimu hasa ukizingatia Kigoma inaenda kuwa na Zonal Hospital
Hata kama haiwapi pressure ndio ijengwe mpaka January 20235? 🤣
 
Back
Top Bottom