Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuliwaambia watu wasubiri hapa BRT lanes zipite halafu wapost tena ile picha yao. ( BTW) ile Roundabout ya Kuelekea daraja la reli gerezani imefumuliwa yote , Zege la BRT limebakisha kidogo kuungana na Nyerere road na Msimbazi street. Halafu pale Chang’onge Flyover chini tayari limepigwa BRT zege la awamu ya tatu, Kule mfugale pia wameshatoa udongo wote wa kati pale.

View attachment 2392873
View attachment 2392881

View attachment 2392882
Kaka hii update ni ya maana sana. Appreciated!
 
Wakati wa mjomba Magu tulijipambanua sana kwenye uboreshaji wa huduma za kimahakama, kuanzia miundombinu n.k .. yo huwezi amini hizi ni mahakama tu za kikanda kigoma View attachment 2392852View attachment 2392853Temeke View attachment 2392855kituo cha utoaji haki DomView attachment 2392856.. duh wala siwezi maliza kupost mana hizi facilities zipo karibu nchi nzima na nyingi zinafanana.. JPM was a real deal
JPM was a man and a half...vitu alivyofyatua ndani ya miaka mi5 sio vya mchezo mchezo...so many things to remember him with...
 
Napita hii njia daily kwenye mishe zangu, aisee I can’t wait ikamilike. BRT 3 na 4 zitamaliza kabisa hii ligi na hawa jamaa, then 5 na 6 itatuweka levels zingine kabisa Afrika na wala hatutakuwa tunaongea na watu wanaoomba msaada wa chakula. Infact, miaka 5 ijayo miji yote mikubwa Tanzania itakuwa na level yake tofauti kabisa, hawa ndugu zetu watafute chawa wao wa kuwapambania sababu hawatagusa mahali, iwe ni angani, majini na ardhini hawatagusa mahala, na wala sisemi hivi sababu ya uzalendo wa battle huo ndio utakuwa ukweli.

Yajayo Yanaumiza Macho.
Enough Said Bro!🙏🏿
 
Wakati wa mjomba Magu tulijipambanua sana kwenye uboreshaji wa huduma za kimahakama, kuanzia miundombinu n.k .. yo huwezi amini hizi ni mahakama tu za kikanda 👇 kigoma View attachment 2392852View attachment 2392853Temeke 👇View attachment 2392855kituo cha utoaji haki DomView attachment 2392856.. duh wala siwezi maliza kupost mana hizi facilities zipo karibu nchi nzima na nyingi zinafanana.. JPM was a real deal
Acha uongo wewe sukuma gang..

Onyesha facilities kama hizo Songwe,Njombe au Rukwa..

Mnapendaga Sana kusifia yule mtu wenu failure kama mlivyokuwa mnadanganya kwenye barabara matokeo yake saizi mnaumbuka.
 
Oy kaka nimepita leo kule stesheni, nimejionea mwenyewe, ujenzi unaoendelea pale mpaka kule kwenye flyover mpya ya bandari (chini inapita reli ya MGR) sio poa kaka .. hii DAR inajengwa buana asikuongopee mtu, tukipiga pamoja na real estate 🤣🤣🤣 hii battle itaisha mapema sana, watakimbia
Tutawaonyesha namna ya kujenga park hawa wadogo zetu ,Msimbazi is loading....................! compliment of the city, Coco Beach itakapokuja mezani seriously, maana ufukwe upo tu.. sielewi!.
 
Acha uongo wewe sukuma gang..

Onyesha facilities kama hizo Songwe,Njombe au Rukwa..

Mnapendaga Sana kusifia yule mtu wenu failure kama mlivyokuwa mnadanganya kwenye barabara matokeo yake saizi mnaumbuka.
Njombe during Magufuli error so far.. soko 👇
thumb_3566_800x420_0_0_auto(0).jpg
IMG-20220810-WA0123.jpg
jengo la halmashauri 👇
3Jj3JE1__400x400.jpg
stendi 👇
thumb_513_1130x480_0_0_auto.jpg
barabara 👇
thumb_763_1130x480_0_0_auto.png
hata financial institutions zilijengwa kipindi cha utawala wa mjomba 👇
IMG_0982.JPG
NSSF👇
02(3).JPG
miradi mingine ya maendeleo 👇
1540544635-IMG_4213.JPG
... Hata Tz yenyewe huijui we maku.. tuliza tako hilo
 
Njombe during Magufuli error so far.. soko 👇View attachment 2393178View attachment 2393179jengo la halmashauri 👇View attachment 2393181stendi 👇View attachment 2393182barabara 👇View attachment 2393183hata financial institutions zilijengwa kipindi cha utawala wa mjomba 👇View attachment 2393184NSSF👇View attachment 2393185miradi mingine ya maendeleo 👇View attachment 2393186... Hata Tz yenyewe huijui we maku.. tuliza tako hilo
Nimekwambia niletee mahakama kwenye Mikoa niliyotaja wewe unaleta stand na majengo ya utawala ambayo yanajengwa kila mwaka na Serikali,hata sasa majengo mapya kibao yanajengwa zikiwemo stand..

Niletee mahakama kama zile uluzosema ziko.kila Mkoa ,mimi nataka Uniletee Njombe ,Songwe na Rukwa tuu..

Mwisho uachage ujinga basi,Hii ni Agreement Hotel sio Ofisi ya Nssf Njombe 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221020-231042.png
    Screenshot_20221020-231042.png
    268.4 KB · Views: 14
Mahakama njombe 👇View attachment 2393192we kondoo mnuka Mavi The Sunk Cost Fallacy. Leta pumbu hizo
Kwa hiyo kajengo mshenzi haka ndio inafanana na zile ulizoleta? Tena level ya Mkoa wakati Chato hapo kuna Jengo kubwa kabisa na ni kiwilaya tuu?

Rais mshenzi tuu aliyekuwa anapendelea kwao,hata hicho kistand Cha Njombe haliwezi fanana hata kidogo na Chato..

Mwisho Kila mwaka serikali inajenga majengo mapya ya Taasisi na ofisi zake Wala haihitaji kusifia saana vitu minor,tena awamu hii kama ni ujenzi wa kitaasisi za serikali ni upo kila mahala Tanzania..Juzi nilikuwa Songwe kuna ujenzi wa jengo kubwa kabisa jirani na Ofisi ya RC.

Baadhi ya Ujenzi unaoendelea,mfano hapa ni Mbeya kuna ujenzi wa,

TIA,
ADEM,
Ofisi ya DPP Mkoa👇
 

Attachments

  • IMG_20221016_062520_017.jpg
    IMG_20221016_062520_017.jpg
    755.3 KB · Views: 12
  • IMG_20221016_090013_638.jpg
    IMG_20221016_090013_638.jpg
    1.1 MB · Views: 14
  • IMG_20221016_085945_937.jpg
    IMG_20221016_085945_937.jpg
    1.1 MB · Views: 13
  • IMG_20221016_114645_696.jpg
    IMG_20221016_114645_696.jpg
    1.6 MB · Views: 13
  • IMG_20221016_115003_688.jpg
    IMG_20221016_115003_688.jpg
    1.1 MB · Views: 13
Unaliwa kweli we jamaa, hakuna mradi mpya w awamu ya sita hata mmoja
😆😆😆😆😆😆😆.

Hicho tuu kituo hapo ni mradi mpya ,jengo lilianza kujengwa 2021 na Sasa limeshakamilika,ni pesa za WB wewe huwezi jua haya mambo zaidi ya ushabiki..

Tofautisha awamu ya 5 na 6,awamu ya 6 ina pesa sio porojo.

Wodi mpya za Hospital ya Mkoa wa Mbeya chini ya Global fund 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221020-233348.png
    Screenshot_20221020-233348.png
    118.9 KB · Views: 13
  • IMG_20221016_070652_759.jpg
    IMG_20221016_070652_759.jpg
    1.1 MB · Views: 11
  • IMG_20221016_070731_210.jpg
    IMG_20221016_070731_210.jpg
    1 MB · Views: 10
Back
Top Bottom