Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tactic itajenga Mwanza zaidi ya barabara zenye urefu wa kilometers 35 za aina hii, pia litajengwa soko la kisasa la samaki Mkuyuni kama la ferry Dar
View attachment 2392956

Streets nyingi za Mwanza zitakua na lami!
Wataujengea kingo na vivuko vya waenda kwa miguu mto mirongo, hii itabadili sana mandhari sababu huu mto unapita katikati ya mji.
Baada ya miaka 5 kutakuwa na Mabadiliko makubwa maana miradi mingi itakuwa imeisha.

Ikitokea upanuzi wa barabara ya Nyerere na Kenyatta ukafanyika, mji utapendeza sana.
 
Huku bongo barabara kila mkoa zipo na zinaendelea kujengwa, afu kule kenya barabara hata hazionekan zikijengwa, lkn eti wanasema wana barabara nyingi kuliko sis
Huwa nacheka sn wakianza kujilinganisha na Tz kwenye km of paved roads.
 
Kutana na miradi mikubwa in Mwanza which ar currently under way..
Busisi bridge 3.2 kmView attachment 2392790View attachment 23927912. Mwanza airport new terminal View attachment 2392792View attachment 2392800View attachment 23928023. Solo kuu la Mwanza View attachment 2392805View attachment 23928114 Nyegezi bus terminal View attachment 2392813View attachment 2392814View attachment 2392815View attachment 23928165.Nyamhongolo bus terminal View attachment 2392818View attachment 2392820View attachment 23928216. MV Victoria View attachment 23928257. SGR terminal View attachment 2392826View attachment 2392827View attachment 23928288. SGR VIADUCT . Oya Don YF nyie tafutaneni na UG mfungue battle yenu .. sisi sio size yenu kabisa..
Umewapasulia mayai ona walivyotepweta
 
Tuliwaambia watu wasubiri hapa BRT lanes zipite halafu wapost tena ile picha yao. ( BTW) ile Roundabout ya Kuelekea daraja la reli gerezani imefumuliwa yote , Zege la BRT limebakisha kidogo kuungana na Nyerere road na Msimbazi street. Halafu pale Chang’onge Flyover chini tayari limepigwa BRT zege la awamu ya tatu, Kule mfugale pia wameshatoa udongo wote wa kati pale.

View attachment 2392873
View attachment 2392881

View attachment 2392882
Hehehehe watanzania elimu imetusaidia sana, ila naona hii battle inakwenda kufa
 
Hapa tumeua
tapatalk_1874637919_512x384.jpg
tapatalk_-147596488_512x384.jpg
 
Tuliwaambia watu wasubiri hapa BRT lanes zipite halafu wapost tena ile picha yao. ( BTW) ile Roundabout ya Kuelekea daraja la reli gerezani imefumuliwa yote , Zege la BRT limebakisha kidogo kuungana na Nyerere road na Msimbazi street. Halafu pale Chang’onge Flyover chini tayari limepigwa BRT zege la awamu ya tatu, Kule mfugale pia wameshatoa udongo wote wa kati pale.

View attachment 2392873
View attachment 2392881

View attachment 2392882
Napita hii njia daily kwenye mishe zangu, aisee I can’t wait ikamilike. BRT 3 na 4 zitamaliza kabisa hii ligi na hawa jamaa, then 5 na 6 itatuweka levels zingine kabisa Afrika na wala hatutakuwa tunaongea na watu wanaoomba msaada wa chakula. Infact, miaka 5 ijayo miji yote mikubwa Tanzania itakuwa na level yake tofauti kabisa, hawa ndugu zetu watafute chawa wao wa kuwapambania sababu hawatagusa mahali, iwe ni angani, majini na ardhini hawatagusa mahala, na wala sisemi hivi sababu ya uzalendo wa battle huo ndio utakuwa ukweli.

Yajayo Yanaumiza Macho.
 
Hapa nmepita leo.. ni balaa mzee wangu.. Ila pale panapokatisha reli ya MGR kuelekea bandarani panahitaji flyover pale ili kuopusha muingiliano wa reli na BRT .. ila huu mradi ukiisha utabadilisha kabisa taswira ya DAR kwa upande ule wa stesheni kule, I bet TRC watavunja zile ofisi zao za zamani na kuweka mpya
Pale stesheni TRC watavunja ofisi. Tayari kwa upande wa Polisi Reli wameshaanza kuvunja.wamebakiza kwa mbele tu...nyuma kule kwenye bar wameshapiga chini.

Jengo la Dom liko tayari hivyo wanasepa mjini.

IMG-20221011-WA0003.jpg
 
Napita hii njia daily kwenye mishe zangu, aisee I can’t wait ikamilike. BRT 3 na 4 zitamaliza kabisa hii ligi na hawa jamaa, then 5 na 6 itatuweka levels zingine kabisa Afrika na wala hatutakuwa tunaongea na watu wanaoomba msaada wa chakula. Infact, miaka 5 ijayo miji yote mikubwa Tanzania itakuwa na level yake tofauti kabisa, hawa ndugu zetu watafute chawa wao wa kuwapambania sababu hawatagusa mahali, iwe ni angani, majini na ardhini hawatagusa mahala, na wala sisemi hivi sababu ya uzalendo wa battle huo ndio utakuwa ukweli.

Yajayo Yanaumiza Macho.
Oy kaka nimepita leo kule stesheni, nimejionea mwenyewe, ujenzi unaoendelea pale mpaka kule kwenye flyover mpya ya bandari (chini inapita reli ya MGR) sio poa kaka .. hii DAR inajengwa buana asikuongopee mtu, tukipiga pamoja na real estate 🤣🤣🤣 hii battle itaisha mapema sana, watakimbia
 
Huku bongo barabara kila mkoa zipo na zinaendelea kujengwa, afu kule kenya barabara hata hazionekan zikijengwa, lkn eti wanasema wana barabara nyingi kuliko sis

😂😂😂😂 Hakuna miradi mipya..

Mumeanza kukubari taratibu wazee wa Sukuma gang.

Niliwaambia yule taahira wenu aliumaliza miaka 5 hakuna kitu alifanya kwenye barabara..

Mikoa aliyoikuta haina lami aliondoka hakuna hata Mkoa mmja kakamilisha Kwa lami..

Nakuongezea sasa tunajenga kila Kona ya Nchi hii,pesa ipo hakuna futuhi Wala excuses za kujenga sgr na bwawa kama bwana yule,hii ni awamu ya 6 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221015-225314.png
    Screenshot_20221015-225314.png
    154.1 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221015-225020.png
    Screenshot_20221015-225020.png
    136.6 KB · Views: 11
Back
Top Bottom