Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The day this bonehead will be the President of Uganda,he will strike Kenya.👇👇

I hear some journalist from Kenya asked my father to ban me from Twitter? Is that some kind of joke?? I am an adult and NO ONE will ban me from anything!View attachment 2391741
Kumbe pia uko hapa mimi nilifikiri upo tuu kule kwenye lile jukwaa letu pendwa la SMO.
 
Kumbe pia uko hapa mimi nilifikiri upo tuu kule kwenye lile jukwaa letu pendwa la SMO.
😬😬😬 Yaani Mimi ni pro 🇷🇺,baada ya SMO kuanza nilihamia huko kwa mda, Nina mahaba na millitary news Sana mkuu, 🤣🤣, though mwanzoni nilitumia user name ya Ntaghacha. Mbona sikuoni kule SMO mkuu?
 
Jukwaa gn hilo mkuu tuje.
Ni jukwa la international kwenye vita ya Ukraine , nipo sana kule nafuatilia ndiyo maana nimeadimika.
 
😬😬😬 Yaani Mimi ni pro 🇷🇺,baada ya SMO kuanza nilihamia huko kwa mda, Nina mahaba na millitary news Sana mkuu, 🤣🤣, though mwanzoni nilitumia user name ya Ntaghacha. Mbona sikuoni kule SMO mkuu?
Nipo kule toka vita ianze ila niliamua kuwa msomaji tuu, kijiwe changu ni kule kwa sasa kwasababu matokeo ya ile vita yatatuathiri sana sisi na vizazi vyetu vijavyo.
 
Ni jukwa la international kwenye vita ya Ukraine , nipo sana kule nafuatilia ndiyo maana nimeadimika.
Huwa nashangaa umeadimika sn huku.
 
We utakua mchawi,pole
Wee endelea kuvaa kamisi
Screenshot_20221020-131200.jpg
 
Back
Top Bottom