Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huku bongo barabara kila mkoa zipo na zinaendelea kujengwa, afu kule kenya barabara hata hazionekan zikijengwa, lkn eti wanasema wana barabara nyingi kuliko sis
Wanasema tunajidai kujenga baarabara sijui kama iyo kauli ya kichovu uliipata juzi?

Barabara ambazo ujenzi unaendelea mpaka sasa ni 1800km
 
Kutana na miradi mikubwa in Mwanza which ar currently under way..
Busisi bridge 👇3.2 km
msemajimkuuwaserikali-20221016-0001.jpg
msemajimkuuwaserikali-20221016-0002.jpg
2. Mwanza airport new terminal 👇
0(0).jpg
EJbeDhgXsAE0MkA.jpg
sddefault(2).jpg
3. Solo kuu la Mwanza 👇
mqdefault.jpg
Screenshot_20221020-160819_1.jpg
4 Nyegezi bus terminal 👇
310837718_531760928774736_5166746244611109225_n.jpg
c808ed556d9d1421c4810576a76ad808.jpeg
FfRyG2JXEAIi8EL.jpg
PMO_9328-scaled.jpg
5.Nyamhongolo bus terminal 👇
FaRsI4rXgAIYkd3.jpg
FX9eCfwXEAEwGEJ.jpg
FaRdmqmWAAAiIFv.jpg
6. MV Victoria 👇
FfW_kLyXkAEZSbB.jpeg
7. SGR terminal 👇
_20221018_224058.JPG
_20221018_224219.JPG
_20221018_224409.JPG
8. SGR VIADUCT 👇
. Oya Don YF nyie tafutaneni na UG mfungue battle yenu .. sisi sio size yenu kabisa..
 
Kutana na miradi mikubwa in Mwanza which ar currently under way..
Busisi bridge 👇3.2 kmView attachment 2392790View attachment 23927912. Mwanza airport new terminal 👇View attachment 2392792View attachment 2392800View attachment 23928023. Solo kuu la Mwanza 👇View attachment 2392805View attachment 23928114 Nyegezi bus terminal 👇View attachment 2392813View attachment 2392814View attachment 2392815View attachment 23928165.Nyamhongolo bus terminal 👇View attachment 2392818View attachment 2392820View attachment 23928216. MV Victoria 👇View attachment 23928257. SGR terminal 👇View attachment 2392826View attachment 2392827View attachment 23928288. SGR VIADUCT 👇. Oya Don YF nyie tafutaneni na UG mfungue battle yenu .. sisi sio size yenu kabisa..

Dar, Dodoma na Mwanza yanaenda kuwa majiji ya Kisasa miaka ijayo kama yale ya Africa kusini, Johannesburg, Capetown na Durban.
Afu yote yatakuwa na SGR
 
Mimi sio mwehu kama mlivyo nyinyi, yaani hauamini!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ushamba ni mzigo.., kwa ushamba ulio nao wewe unaona hii ni sitting room with those machines? alafu sitting room inaitwa sebule sio sebure kilaza 😂 😂 😂 😂 😂😂😂😂😂
View attachment 2392041

Huu ni ukumbi wa disco ama?!
 
Wakati wa mjomba Magu tulijipambanua sana kwenye uboreshaji wa huduma za kimahakama, kuanzia miundombinu n.k .. yo huwezi amini hizi ni mahakama tu za kikanda 👇 kigoma
Na.2.jpg
FC4A116119-09-18(0).jpg
Temeke 👇
WhatsApp-Image-2021-09-03-at-2.15.40-PM-2.jpeg
kituo cha utoaji haki Dom
221-10-06.jpg
.. duh wala siwezi maliza kupost mana hizi facilities zipo karibu nchi nzima na nyingi zinafanana.. JPM was a real deal
 
Tuliwaambia watu wasubiri hapa BRT lanes zipite halafu wapost tena ile picha yao. ( BTW) ile Roundabout ya Kuelekea daraja la reli gerezani imefumuliwa yote , Zege la BRT limebakisha kidogo kuungana na Nyerere road na Msimbazi street. Halafu pale Chang’onge Flyover chini tayari limepigwa BRT zege la awamu ya tatu, Kule mfugale pia wameshatoa udongo wote wa kati pale.

IMG_2436.jpg

IMG_2436.jpg

IMG_2438.jpg
 
Hapa nmepita leo.. ni balaa mzee wangu.. Ila pale panapokatisha reli ya MGR kuelekea bandarani panahitaji flyover pale ili kuopusha muingiliano wa reli na BRT .. ila huu mradi ukiisha utabadilisha kabisa taswira ya DAR kwa upande ule wa stesheni kule, I bet TRC watavunja zile ofisi zao za zamani na kuweka mpya
 
Wakati wa mjomba Magu tulijipambanua sana kwenye uboreshaji wa huduma za kimahakama, kuanzia miundombinu n.k .. yo huwezi amini hizi ni mahakama tu za kikanda kigoma View attachment 2392852View attachment 2392853Temeke View attachment 2392855kituo cha utoaji haki DomView attachment 2392856.. duh wala siwezi maliza kupost mana hizi facilities zipo karibu nchi nzima na nyingi zinafanana.. JPM was a real deal
Mahakama zetu hazinamaamuzi kwenye baadhi ya case,kwa sasa tunahitaji mahakama ziwena maamuzi bila kuingiliwa na mhimili mwingine, hayo majengo mazuri pekee yake haitoshi
 
Kutana na miradi mikubwa in Mwanza which ar currently under way..
Busisi bridge 👇3.2 kmView attachment 2392790View attachment 23927912. Mwanza airport new terminal 👇View attachment 2392792View attachment 2392800View attachment 23928023. Solo kuu la Mwanza 👇View attachment 2392805View attachment 23928114 Nyegezi bus terminal 👇View attachment 2392813View attachment 2392814View attachment 2392815View attachment 23928165.Nyamhongolo bus terminal 👇View attachment 2392818View attachment 2392820View attachment 23928216. MV Victoria 👇View attachment 23928257. SGR terminal 👇View attachment 2392826View attachment 2392827View attachment 23928288. SGR VIADUCT 👇. Oya Don YF nyie tafutaneni na UG mfungue battle yenu .. sisi sio size yenu kabisa..

Kuna mradi wa Chanzo cha maji Butimba.
TIA na DIT Wameshaanza ujenzi wa campus zao za kisasa.
Kuna soko kubwa linajengwa maeneo ya kirumba na wameshafanya site clearance.

Kuna miradi kadhaa itaanza pia mingi ikiwa ni ya Tactic
 
Hapa nmepita leo.. ni balaa mzee wangu.. Ila pale panapokatisha reli ya MGR kuelekea bandarani panahitaji flyover pale ili kuopusha muingiliano wa reli na BRT .. ila huu mradi ukiisha utabadilisha kabisa taswira ya DAR kwa upande ule wa stesheni kule, I bet TRC watavunja zile ofisi zao za zamani na kuweka mpya

Kweli Mkuu, Pale MGR na BRT kama hapajakaa vizuri.

Hapa MGR imekatiza eneo litakalokua na BRT lane .

IMG_2422.jpg

IMG_2419.jpg
 
Kuna mradi wa Chanzo cha maji Butimba.
TIA na DIT Wameshaanza ujenzi wa campus zao za kisasa.
Kuna soko kubwa linajengwa maeneo ya kirumba na wameshafanya site clearance.

Kuna miradi kadhaa itaanza pia mingi ikiwa ni ya Tactic
Tactic itajenga Mwanza zaidi ya barabara zenye urefu wa kilometers 35 za aina hii, pia litajengwa soko la kisasa la samaki Mkuyuni kama la ferry Dar
FcmOwRXX0AAemRE.jpeg

Streets nyingi za Mwanza zitakua na lami!
 
Wakati wa mjomba Magu tulijipambanua sana kwenye uboreshaji wa huduma za kimahakama, kuanzia miundombinu n.k .. yo huwezi amini hizi ni mahakama tu za kikanda 👇 kigoma View attachment 2392852View attachment 2392853Temeke 👇View attachment 2392855kituo cha utoaji haki DomView attachment 2392856.. duh wala siwezi maliza kupost mana hizi facilities zipo karibu nchi nzima na nyingi zinafanana.. JPM was a real deal
Kitu kilichonifurahisha miradi yote hii imejengwa na kampuni za ujenzi za undani
 
Back
Top Bottom