Mimi nawajua wakenya kadhaa ambao huko kwao kimatibabu wanaandikiwa waende india au kuja Tanzania kimatibabu,kuna m1 hadi chat zake watsap nnazo,alikuja TZ maana maradhi yake india bila malazi,chakula n.k tiba tu ilihitajika mln 40,alipokuja TZ mgonjwa wake alihitaji wiki 8 za mazoezi kabla ya surgery,tukamtafutia chumba magomeni mapipa akawa anaishi local,march mwaka akafanyiwa operesheni,yuko kwao msa na yuko poa na gharama zote za tiba na kuishi walitumia mln 8 na mgonjwa alikuja na watu wawili wa kumuangalizia,sometimes nawaangaliaga tu wakenya wa humu wanavyojitapa!