Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya majengo mawili ya TRC kwenye corner along sokoine road..ni ya kubomoa kuweka kitu chenye hadhi labda Railway Training Univeristy , TRC City Centre Hotel ..or something

Plus hizi Kota Za Polisi Pembeni nazo ni za kuweka Police Housing Scheme mpya hata 20 flrs towers ziwe 6 hapo pemebeni tho itaongeza wakazi wengi city centre ila patapendeza pakipata redevelopment .
Lile eneo la TRC Dodoma mjini wanapanga kujenga bonge moja la project kama Mlimani City
 
Mkuu kwanza
Njombe during Magufuli error so far.. soko 👇View attachment 2393178View attachment 2393179jengo la halmashauri 👇View attachment 2393181stendi 👇View attachment 2393182barabara 👇View attachment 2393183hata financial institutions zilijengwa kipindi cha utawala wa mjomba 👇View attachment 2393184NSSF👇View attachment 2393185miradi mingine ya maendeleo 👇View attachment 2393186... Hata Tz yenyewe huijui we maku.. tuliza tako hilo
mkuu Njombe hatuna sehemu inaitwa ITILIMA,Pia unapaswa kujua historia ya structure ulizoweka hapo.Hiyo stendi ilianza kujengwa 2013 na ilikuwa sambamba na mradi wa soko,ndio stendi na masoko ya mwanzo kabisa kupata ridhaa ya serikali kujengwa chini ya mkopo kutoka Worldbank.
 
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿


20221021_103254.jpg
 
Tofauti ya Wakenya na Watanzania inaonekana hapa, wao wanapost mali za watu binafsi (wazungu, wahindi, waarabu and Somalis) wachache, sisi tunapost mali za watanzania zitakazo wanufaisha watanzania

Wakenya hawana akili.
kua umesahau sisi Capitalist nyinyi Socialist.. !! aah??🤷🏽‍♂️ let tht sink in.. into your sub-conscience part of your small brain 🧠
 
Naona Kwenye ujenzi wa SGR kila baada ya km nyingi kuna minara inayofanana na ile ya simu mkandarasi anajenga pembeni ya reli.
Nitafurah kama itakuwa ni TTCL, kampuni ya serikal. Kama sio wao, TTCL watakuwa wajinga sana kuona hii fursa😅..
lkn itakuwa ni TTCL mana huwa wanatangaza products zao kwenye trains za TRC, yan wameambiana ndan kwa ndan kuwa tunahitaj huduma za internet za uhakika njia nzima ya SGR, hivyo TTCL wakashangamkia hii fursa haraka sana
 
Back
Top Bottom