Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You can't understand shit ju hamna IPOA. KDF haihusiki na vita vya ndani ya nchi unless it's treason. Nimewaambia musome kile KDF walifanyia SLDF, muwache ignorance ya kipumbavu.
😂😂😂😂 Kwahiyo rebels wamuue mpaka ruto fresh tu as long sio treason 😂😂😂
 
Mwambie kama batoto ba Congo banapiga jeshi lao kama mbwa koko, je Al Shabab? Ama Pokot warriors?.., hawa ni wanyonge kuruka,., 🤣🤣
Maliza hizo ghasia wenye jeshi lao wamejaza wanaume wana vitambi kama wanawake wana mimba. 🤣🤣🤣
 
Polisi ni KDF? Wapumbavu nyinyi.., 🤣🤣🤣🤣😂😂., wale bandits wa Pokot, wanaitwa sharp shooters, huwa snipers juu ya milima, kama wanaangusha polisi, na ku terrorize Ugandan Harders sembuse TPDF walio pigwa mapanga na child rebel soldiers wa DRC ina maana wa Pokot wanawez kufira Tanzania yoote kwa siku moja tu, hatuhitaji KDF to deal with nchi fukara na dhaifu kwa karibia Kila kitu🤣🤣😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 I die laughing how you totally gave up on them 🤣🤣
 
😂😂😂😂 Kwahiyo rebels wamuue mpaka ruto fresh tu as long sio treason 😂😂😂
Ebu compare security detail ya Ruto na ya huyo mama wenu wa Zanzibar. Utapata aibu.
 
as a general anajua weakness ya KDF!
Lakini ni tusi na dharau kubwa kwa Wakenya kwa wadhifa wake alionao hakutakiwa kusema hivyo hata kama ni utani,kauli yake inaonyesha kuna kitu kinaendelea na amejiandaa kwa hilo.

Nadhani ni wakati muafaka kwa Kenyans kwenda kushitaki UN na EU ,si ndio zao bana!![emoji2955][emoji2955][emoji2955]
 
Lakini ni tusi na dharau kubwa kwa Wakenya kwa wadhifa wake alionao hakutakiwa kusema hivyo hata kama ni utani,kauli yake inaonyesha kuna kitu kinaendelea na amejiandaa kwa hilo.

Nadhani ni wakati muafaka kwa Kenyans kwenda kushitaki UN na EU ,si ndio zao bana!![emoji2955][emoji2955][emoji2955]
aaawapi! wacha emotions!
 
Another keyboard warrior who thinks every read on the internet is true. 🤣🤣🤣 Si your favorites Ukraine ilikua imalize Ukraine in two weeks. 🤣🤣 Uganda waungane na nyinyi na hizo silaha zenu 131 then mkuje.
Wewe hujiulizi kwanini huyo mganda hanaga guts za kuitaja Tanzania? Naonaga akimock Kenya DRC Rwanda SA mpaka Italy lakini why not Tanzania!
 
🤣🤣🤣🤣 It's very funny 🤣🤣🤣.. kazi ya police ni kulinda usalama wa raia na mali zao, ikiwa police wanauwawa na vijana wa hovyo, na KDF ipo kimya, serikali ipo kimya then what does it mean.? Serikali na jeshi la kenyay ni dhaifu to the point kikundi cha vijana wa hovyo kinaua police and no consequences .. no wonder Muhoozi anasema anaeza invade NAIROBI in just 2 weeks if he wants to..🤣🤣🤣
Muhoozi anaelewa fika kdf anaweza kuwatia vidole kama anasajili NIDA 😂😂😂😂
 
Mbwa yeye aje ajalibu tu kidogo[emoji108]ata ni magaidi wa Mungiki ama Pokot tu watawafukuza,KDF wasiingilie!
Kenya is[emoji91][emoji91][emoji123]tumejaribiwa every time na hawawezi ask Somalia imebaki wafanye gorilla war! Ya kujificha na kutokea[emoji90]
Lakini shida ni nini, huoni haya matamshi yake ni dharau sana kwenu kama nchi yenye mipaka yake na inayojitegemea kwa uhuru wake?
 
Mmetukanwa sana ,amewadharau sana. Tafuteni chanzo cha yeye kusema hivyo, kupiga haiondoi ukubwa wa tusi alilowatukana.
The guy was joking. Why do you like to take things seriously?
 
Back
Top Bottom