Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,949
- 35,001
kdf ni jeshi dhaifu,hamna jeshi paleChanzo cha hao rebels eti wanalinda ng'ombe zao, wakati mbongo anaswaga ng'ombe elfu 5 na fimbo tu
kdf ni jeshi dhaifu,hamna jeshi paleChanzo cha hao rebels eti wanalinda ng'ombe zao, wakati mbongo anaswaga ng'ombe elfu 5 na fimbo tu
sababu the bandits have no interests with those issues Bora wasiguzwe ama kuchokozwa!!!umeshai sikia pokots bandits wamelipuliwa na Alshaabab!!!So saivi wakati hamna tishio la kiuvamizi waendelee kudosha kdf mmoja mmoja tu? Na mbona wasiende kuua alshabab?
Wacha hasira 🤣🤣🤣 ground vitu ni different bro pitia hii 👇💩WWE!!!
Tulimwondolea Pokot wetu wwliokuwa wakiwaibia ngombe Uganda juzi,walijaribu kupiga hao bandits wakashindwa ikabidi sisi Wakenya tubembeleze pokot bandits!!
KENYA CAN KIDNAP ALL East Afrikan countries together!!!tunaweza mpaka kumlisha museveni mavi!!!!
Wenyewe wanajua pokot bandits ni wanoma 😂😂😂😂
Their naval special warfare
Sio kwa ubaya ila bado sana...hii ni village tu
Ukweli usemwe bhana 🤣🤣🤣Sio kwa ubaya ila bado sana...hii ni village tu
KVDA tower eldoret is 88metres tall. Washington has tens of buildings taller than 88 metres 😂😂 uwezi fananisha washington na kijiji cha dodoma. Sasa nionyeshe hizi nyumba kumi za gorofa 26 Dodoma 😂😂😂💉Show me a 26 storey building in Washington DC and I will show you 10 buildings over 26 floors in Dodoma.
Pokots are still Kenyans na usithani hao Wakenya wengine pia eti hajui Vita👌🔥🔥Wacha hasira 🤣🤣🤣 ground vitu ni different bro pitia hii 👇
Pokots are still Kenyans na usithani hao Wakenya wengine pia eti hajui Vita👌🔥🔥Wacha hasira 🤣🤣🤣 ground vitu ni different bro pitia hii 👇
We jamaa Mbona ni mpuuzi sana 🤣🤣, kazi ya jeshi la polisi ni nini kwa unavyojua Wewe.?Pokots are still Kenyans na usithani hao Wakenya wengine pia eti hajui Vita👌🔥🔥
Wacha ukame uzidi waanze kupeleka Ngombe Tanzania mjaribu kuwasimamisha🧐Jeshi lenu litageuzwa kichungi uliza Museveni wat Wafugaji wa Kenya waliwafanyia mpaka wakatuomba usaidizi tuwambembeleze wawache!!
17th October sio mbali, tunangoja kuona.ndo maana Muhoozi Kainerugaba kasema it will take 2 weeks kuchukua Nairobi!
You can't understand shit ju hamna IPOA. KDF haihusiki na vita vya ndani ya nchi unless it's treason. Nimewaambia musome kile KDF walifanyia SLDF, muwache ignorance ya kipumbavu.kdf ni jeshi dhaifu,hamna jeshi pale
Hii ni source kutoka Kenya, yaani jamaa anajua anachosemaNairobi inatamaniwa sana na madictator kama huyu kijana wa museveni [emoji23][emoji23] anajua hadi westlands na riverside ni patamu sana kuishiView attachment 2376285
Polisi ni KDF? Wapumbavu nyinyi.., 🤣🤣🤣🤣😂😂., wale bandits wa Pokot, wanaitwa sharp shooters, huwa snipers juu ya milima, kama wanaangusha polisi, na ku terrorize Ugandan Harders sembuse TPDF walio pigwa mapanga na child rebel soldiers wa DRC ina maana wa Pokot wanawez kufira Tanzania yoote kwa siku moja tu, hatuhitaji KDF to deal with nchi fukara na dhaifu kwa karibia Kila kitu🤣🤣😂😂😂😂Jambo la aibu kweli, jeshi linauwawa na wananchi wakora na serikali haina cha kufunya 🤣🤣..KDF ni jeshi dhaifu zaidi EA
Kwann msianze kudeal nao hao before mjageuzwa jivu na jwtz
If this is how you gauge war then Uganda can only take a day to capture tanzania?
Kenya ni USA?we ni mjinga taslimuDon't you know that what we call slums in Kenya turns out to be an upper middle-class neighborhoods in Tanzania?
Ni wivu, mtanzania kukubali ukweli ni uchungu mno, hawaamini, kwao progress ni mwendo wa kinyonga, few major projects wameanza na kukamilisha tukiwa hapa jamii forum, yaani vinahesabika, less than 3 I guess., So wanaumwa sana wakiona anything progressive from Kenya, lazima watafute propaganda ama porojo kupotosha, wivu ni mbaya man, these buffoons are sick🤣🤣🤣🤣🤣😂You must be sick to the bone how can you Denie something that has already started and is in going ???? When saying that he was at site inspecting them sometimes nyinyi hunishangaza