Bado official data haijatolewa.., but tunaeza fanya estimation tu from few available previous recent information [emoji116] [emoji116] , kuna mwezi moja KRA netted 202B (Tsh 3.9Trillion. kwa exchange rate ya 19.5) na kuna mwezi walitengeneza 143B (Tshs. 2.78Trillion), as shown below, sasa lets work na estimation assuming KRA collects 140B(Tshs. 2.7Trillion) kwa mwezi, yaani kiwango cha chini kabisa, wakifanya vibaya, the first quarter (miezi mitatu ya kwanza 2022/2023 financial year) itakua approximately Tsh. 8.1 Trillion, TRA naona wame collect Tsh. 5.9Trillion ambayo inakushangaza! Tanzania bado sana bana.., ila hii ni tentative, tungoje data kamili tutajua mbivu na mbichi, lazima itachapishwa.,
View attachment 2375913
View attachment 2375914