Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
0Naomba kuuliza politely.. kwa mikopo inayokopwa na miradi inayoanziwa au imeanzishwa/visioned na awamu ya sasa tokea March 2021, ni miradi gan inachochea kukua kwa uchumi au itafanya uchumi ikue kwa zaid ya 6%. Kuna karesearch nafanya kidogo.. ningependa kujua hio miradi yote pls