Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 2374317
With this kind of headlines I believe in a span of just one year we going to draw a very clear mark between us and them, Ruto is more oriented in the common mwana nchi and not big shiny projects and with the common mwananchi empowered generally we going to have a very stable economy
Kawasome wakenya wenzako huku walivyo kuwa disappointed na ruto, kikubwa ninachoona ni namna Kenya mlivyo dependants kwa imports, hamna mnachozalisha mnachotumia regularly zaidi ya majani ya chai, na ndio maana maisha yenu magumu sana

Ni sababu 90% ya mnachotumia kinatoka nje and you don't have total control over them, lazy bones

 
Mshahara wa mwezi mzima umekaliwa hapo 😅😅😅

Fd_RD9uWAAEQSWm.jpeg
 
Tuseme tu ukweli wamachinga walikuwa wanatuchafulia miji yetu na kuharibu mpangilio wa ujenzi. Angalia hapa palivyo pazuri [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Yaah wale miyeyusho sana unapangaje nyanya kwenye sehemu ya wapita kwa miguu?sema ndio ivyo mzee aliwalea sana
 
Hii serikali inatoa wapi pesa za kujenga longest SGR in Africa na Nyerere Dam na miradi mingine mikubwa ukanda huu na bado wana pesa za kuchezea kwenye huu mradi? Nani anawafinance?


Wewe ni taahira kweli kweli, unadhani Samia ni sawa na yule kiazi wenu?

Zinatoka huku 👇
 

Attachments

  • 20221001_231632.jpg
    20221001_231632.jpg
    258.9 KB · Views: 26
Watanzania, 2025 tutafute Rais mwingine.. huyu wa sasa hamna kitu, kafeli, ni kama vile hakuna Rais. Sioni watu/viongozi wakiajibika. Mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, viongozi wa taasisi za serikali na umma wengi wao wote wapo kimya. Kiufupi viongozi na wananchi hawana hata enthusiasm na uongozi wa sasa
Mda wa kupayuka kama hayawani ulishazikwa Chato..

Hatuwezi kurudi Misri never ever again..

Chuki zako ni non of our business bila shaka mshazibiwa upigaji huko Tanesco mlipokuwa mnafanya Kwa kutekeleza miradi direct bila wakandarasi,mnaongeza Bei za materials na kulipana maposho nje ya mfumo sasa mmekula kibano ndio mnaweweseka 😁😁😁 .

Kazi iendelee 👇
Watanzania, 2025 tutafute Rais mwingine.. huyu wa sasa hamna kitu, kafeli, ni kama vile hakuna Rais. Sioni watu/viongozi wakiajibika. Mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, viongozi wa taasisi za serikali na umma wengi wao wote wapo kimya. Kiufupi viongozi na wananchi hawana hata enthusiasm na uongozi wa sasa
 

Attachments

  • 20221001_231632.jpg
    20221001_231632.jpg
    258.9 KB · Views: 24
Samia suluhu housing scheme kuanza kurindima wiki ijayo 👇.

Miradi yote Hii ya NHC,yule kichaa aliua kabisa huku akitoa excuses za kijinga na zisizo na msingi..

Asingeingua Samia ,hii Nchi ingesha collapse as we speak na Kwa kuhofia mapinduzi angekuwa katili twice huku propaganda Zikiwa ndio wimbo na lawama kwa mabeberu, pumbavu.
 
Mi niliikataa hii appointment muda tu ilipotangazwa!


Cha ajabu ni nini? Waliokuwa Kinyume na Utawala wa Mwendazake ndio wameteuliwa sasa,even SSH was against Mwendazake..

Kukataa kwako ni hiari yako kwa sababu ulikuwa mnufaika wa Utawala dhalimu..

Rais anafanya Kazi na Watu anaoelewana nao na walio Royal kwake na sio vinginevyo..

Sio kazi ya Rais kuwafutahisha Sukuma gang,your time has past na ni historia.
 
am confused which among this two open-space arrangement carries the day..
am to present to some serious client this morning.. please help vet!..

hio cheddar nayo lazima!💸💵 .. ni ile hali ya kujituma.. 'niko les na maisha'🏃🏾‍♂️

View attachment 2374283View attachment 2374284
Plan B kwangu ndio iko poa ila inakuaje hakuna corridor yeyote inayoingiza mwaga kutokea dirishani moja kwa moja?
 
Mkinga EPZ-Tanga,zaidi ya sh.Bil.700 imezindukiwa..

Tatu City inaenda kuwa tembo mweupe 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220930-092921.png
    Screenshot_20220930-092921.png
    111.5 KB · Views: 23
Zanzibar blue economy is getting pace.

Zaidi ya Trilioni 2 zimewekezwa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220930-093111.png
    Screenshot_20220930-093111.png
    94.7 KB · Views: 26
Royal tour inazidi kukata mawimbi..

Sasa ni zamu ya Sweden 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220929-195100.png
    Screenshot_20220929-195100.png
    127.5 KB · Views: 23
Wanauliza pesa zinatoka wapi?

Diplomasia ya Uchumi inaleta pesa..Asante Sana EU 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220925-080311.png
    Screenshot_20220925-080311.png
    95.7 KB · Views: 24
Back
Top Bottom