tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Uchawi umeanza liniGhorofa ni zile tano kando ya barabara. Nyuma ya hizo ghorofa tano ni uswazi.
Uchawi umeanza liniGhorofa ni zile tano kando ya barabara. Nyuma ya hizo ghorofa tano ni uswazi.
I'd take things that never happened for 500.Unajua siku moja kwenye mishe nakaingia zangu Kanairo, sasa nimechukua zangu taxi toka JKIA mpaka town (CBD) ambako niko nimebook hotel. Wakati tunaingia CBD tumepita chocho moja hivi chafuuu alafu kuna mahandaki barabarani na maji machafu, mpaka dereva akaanza kujistukia, akaanza kujiongelesha kwa aibu “yaani hii nchi huwezi kuamini hapa ni CBD” nikamwambia tulia Mzee baba, najua nimekuja Kenya, I can’t expect much…..😂😂
Tuseme tu ukweli wamachinga walikuwa wanatuchafulia miji yetu na kuharibu mpangilio wa ujenzi. Angalia hapa palivyo pazuri [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]KumependezaView attachment 2374068
Wanasubiri PPP,Kuongezea hapo....Miradi ya kimkakati waendelee kuibuni,Mfano kuna fursa kubwa katika Sekta ya Utalii...Serikali bado inaweza kuwekeza kwenye hotels ikizikodisha ama basi ikawekeza zaidi kwenye infrastructures maeneo yenye fursa zaidi...
Nmeona leo Tunduma msururu wa malori 15Kms from border...hivi kweli suala la kutanua ile barabara ni la kungoja zaidi? Si afadhali hata Wakope hela watanue iyo barabara hadi Mbeya hata njia 6 ...border inahela ile wanakwama wapi
Hata mimi nina wasiwasi atageukwa na hawa hawa wanaosema anaupiga mwingi.Hatokuwa kwenye list ya kwenye karatas ya mpiga kura😀. Mda ukifika nitakukumbusha kwa kukuletea/kuiquote hii comment 🤣
HIi ata kisii inaichapa
umegonga ndipo! nairobae🤜🏽🤛🏽.. wacha nipige mstari juu ya alama______💥💥Ghorofa ni zile tano kando ya barabara. Nyuma ya hizo ghorofa tano ni uswazi.
Mimi nataka ukusanye wachawi na warogi wote wa Tanzania, kamati kuu ya chuki na roho chafu, nawalambisha sakafu nyote kwa pamoja kwa kutumia ukweli, dawa Kali msiyo ipenda, nawanyorosha nikiwa pekee yangu, sitahitaji wenzangu maana Tanzania iko ilivyo, below par, ata mjaribu kupaka lipstick na kuficha matako yake, hayafichiki, mko hovyo kwa ukubwa wa nchi na wingi wa watu, ushamba ndio average wa taifa🤣🤣🤣🤣😂😂😂, hambadilishi chochote., Kwa hivyo niletee jamiiforums yote, niko na misuli ya kukabiliana na nyote combined. Ukweli kiboko yenu, kwa Kenya itabidi muingize porojo ama propaganda na uongo ili mjikombie na kujiliwaza, mlichoka zamani, kwa sasa mnatapatapa tu, mko wanyonge kweli💪💪🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣,Ningeshangaa sana kama hii spana isingemtoa Don wa Kibera mafichoni, hilo povu mpaka nimecheka……😅😅 na ukileta nyenyenye naongeza spana ya kulalia au nakukabidhi kwa Mwenyekiti wetu wa Kamati ya Roho Mbaya The best 007 apige msumari wa mwisho kwenye uchafu wa Kanairo😂😂
Come think of it Dar is still just a shit hole, ilini bore zaidi when again I found out hata the brt si basi unaeza taka kupanda wanajazana ndani kama mambuzi just tell me with this kind of infrastructures huwa tunabishana nini nao?umegonga ndipo! nairobae🤜🏽🤛🏽.. wacha nipige mstari juu ya alama______💥💥 View attachment 2374274View attachment 2374279
Ruto karithi nchi iliofilisika, ina madeni 78% ya GDP, KRA kwa mwezi inatoa 60% kulipa madeni, 40% expenditures means mnahitaji mikopo zaidi ili kuendesha nchiView attachment 2374317
With this kind of headlines I believe in a span of just one year we going to draw a very clear mark between us and them, Ruto is more oriented in the common mwana nchi and not big shiny projects and with the common mwananchi empowered generally we going to have a very stable economy