Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haters watakwambia hatuna Rais turudi Misri 😁😁😁😁..

Rudini na familia zenu
Taahira kweli wewe, Tanganyika yenye wakaazi million 60 inapata nyumba 5k unapagawa, wakati zanzibar yenye wakaazi million 2 imepewa nyumba 10k tena kwa mkopo wataolipa watanganyika ambao hawaruhusiwi hata kumiliki hatua 2 za ardhi zanzibar, mbona hamumuiti huyu bazaz wenu Mobutu?

Screenshot_20221002-094329.png
 
Cha ajabu ni nini? Waliokuwa Kinyume na Utawala wa Mwendazake ndio wameteuliwa sasa,even SSH was against Mwendazake..

Kukataa kwako ni hiari yako kwa sababu ulikuwa mnufaika wa Utawala dhalimu..

Rais anafanya Kazi na Watu anaoelewana nao na walio Royal kwake na sio vinginevyo..

Sio kazi ya Rais kuwafutahisha Sukuma gang,your time has past na ni historia.
"Rais anafanya Kazi na Watu anaoelewana nao na walio Royal kwake na sio vinginevyo.."

Give us a break for God's sake 😂😂😂😂
 
Taahira kweli wewe, Tanganyika yenye wakaazi million 60 inapata nyumba 5k unapagawa, wakati zanzibar yenye wakaazi million 2 imepewa nyumba 10k tena kwa mkopo wataolipa watanganyika ambao hawaruhusiwi hata kumiliki hatua 2 za ardhi zanzibar, mbona hamumuiti huyu bazaz wenu Mobutu?

View attachment 2374484
Msifike huko wakuu 😀.. kuwatuhumu marais kujenga makwao.. mim sion shida kbsa marais kujenga makwao.. huko kwao pia ni sehem ya Tanzania, hivyo ni maendeleo kwa Tanzania... mfano niliwah kusikia pemba kutajengwa airport mpya.. hio ni habari njema kwangu.. mana zanzbar itafunguka yote kwa kuwa na international airports mbili za kisasa.. hio ni habari nzuri.. nikisikia hata hela zitamwagwa huko kujenga barabara za lami, hospitals, schools, hizo ni habari njema pia kwangu. Mana Zanzbar ni Tanzania pia
 
Taahira kweli wewe, Tanganyika yenye wakaazi million 60 inapata nyumba 5k unapagawa, wakati zanzibar yenye wakaazi million 2 imepewa nyumba 10k tena kwa mkopo wataolipa watanganyika ambao hawaruhusiwi hata kumiliki hatua 2 za ardhi zanzibar, mbona hamumuiti huyu bazaz wenu Mobutu?

View attachment 2374484
Sio kupagawa tuu bali kupata hamasa zaidi..

Miaka 5 iliyopita hakuna nyumba hata 1 NHC wakijenga na real estate ilikufa..

Hapo ulipo bold kunapoashitia Zanzibar Wala usipate shida, Zanzibar ni sehemu ya Tzn kama ilivyokuwa Chato..

Kama una chuki zako vunja Muungano kama una hiyo jeuri maana Tanganyika ndio unalazimisha Muungano..

Mwisho chukua hizo nyumba 5,000 za NHC,jumlisha za Watumishi Housing jumlisha za TBA utakuta na zaidi ya hizo 10,000 zinazokujaza chuki wewe kima wa Mwendazake..

Sasa hivi mshukuru mnapata hata miradi ya kupost mitandaoni kutoka kila sekta maana mlikuaga mnashindia sgr na stand ya Mbezi..

Kazi inaendelea 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220930-112338.png
    Screenshot_20220930-112338.png
    81.8 KB · Views: 18
Plan B kwangu ndio iko poa ila inakuaje hakuna corridor yeyote inayoingiza mwaga kutokea dirishani moja kwa moja?
but corridors in most hse plans are mostly deep in the interior, rarely will u find any window in the corridor..
please i beg u do research with other architects' plans, then get back to me, wht u will have learnt.. 🙏🏽
 
Sio kupagawa tuu bali kupata hamasa zaidi..

Miaka 5 iliyopita hakuna nyumba hata 1 NHC wakijenga na real estate ilikufa..

Hapo ulipo bold kunapoashitia Zanzibar Wala usipate shida, Zanzibar ni sehemu ya Tzn kama ilivyokuwa Chato..

Kama una chuki zako vunja Muungano kama una hiyo jeuri maana Tanganyika ndio unalazimisha Muungano..

Mwisho chukua hizo nyumba 5,000 za NHC,jumlisha za Watumishi Housing jumlisha za TBA utakuta na zaidi ya hizo 10,000 zinazokujaza chuki wewe kima wa Mwendazake..

Sasa hivi mshukuru mnapata hata miradi ya kupost mitandaoni kutoka kila sekta maana mlikuaga mnashindia sgr na stand ya Mbezi..

Kazi inaendelea 👇
Zile za magomeni na Dodoma zilianza ujenzi lini
 
Kama sio Magu aliacha kashaiendeleza sana sera ya kuhamia Dodoma huyu angeshapiga chini huo mpango

Juzi alikua Dom, jana yupo Dar anatumia pesa nyingi mno kufanya huu upumbavu na hamna mwana harakati anaeliongelea hili 🙄🚮

Sio kupagawa tuu bali kupata hamasa zaidi..

Miaka 5 iliyopita hakuna nyumba hata 1 NHC wakijenga na real estate ilikufa..

Hapo ulipo bold kunapoashitia Zanzibar Wala usipate shida, Zanzibar ni sehemu ya Tzn kama ilivyokuwa Chato..

Kama una chuki zako vunja Muungano kama una hiyo jeuri maana Tanganyika ndio unalazimisha Muungano..

Mwisho chukua hizo nyumba 5,000 za NHC,jumlisha za Watumishi Housing jumlisha za TBA utakuta na zaidi ya hizo 10,000 zinazokujaza chuki wewe kima wa Mwendazake..

Sasa hivi mshukuru mnapata hata miradi ya kupost mitandaoni kutoka kila sekta maana mlikuaga mnashindia sgr na stand ya Mbezi..

Kazi inaendelea 👇
Wacha kuongea vitu usivyovijua we kondoo mnuka Mavi..

Mradi wa NHC nyumba 1000
Mradi wa WATUMISHI HOUSING nyumba 3500 in Dom umetekelezwa kipindi gani.?
 
Wacha kuongea vitu usivyovijua we kondoo mnuka Mavi..

Mradi wa NHC nyumba 1000
Mradi wa WATUMISHI HOUSING nyumba 3500 in Dom umetekelezwa kipindi gani.?
Haya jumlisha 1000+3500 inalingana na 5000? Miaka 6 hakuna mlichokamikisha..

Samia anasukuma hiyo yote,mipya na husikii excuses za kipumbavu kama za yule Rais mjinga.

Chuki zimewatoa ufahamu nyie machoko wa Mwendazake..
 
Zile za magomeni na Dodoma zilianza ujenzi lini
Sasa wewe na ujinga wako vijumba vya Magomeni viko vingapi hivyo?

Ujue nyie mataahira wa Mwendazake huwa mna akili kisodoa Sana,vijumba havifiki hata 100 lakini makelele yamepigwa miaka 6 na vijumba hivyo vya Magomeni amemaliza Rais Samia..

Kimsingi huwa nauliza kwa miaka 6 mlifanikisha kipi hasa kilichokamilika? Stand ya Magufuli licha ya Mwendazake kuzindua haikukamilika na ujenzi unaendelea,hayo ndio madhara ya kuishi kwa propaganda..
 
Mimi nataka ukusanye wachawi na warogi wote wa Tanzania, kamati kuu ya chuki na roho chafu, nawalambisha sakafu nyote kwa pamoja kwa kutumia ukweli, dawa Kali msiyo ipenda, nawanyorosha nikiwa pekee yangu, sitahitaji wenzangu maana Tanzania iko ilivyo, below par, ata mjaribu kupaka lipstick na kuficha matako yake, hayafichiki, mko hovyo kwa ukubwa wa nchi na wingi wa watu, ushamba ndio average wa taifa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23], hambadilishi chochote., Kwa hivyo niletee jamiiforums yote, niko na misuli ya kukabiliana na nyote combined. Ukweli kiboko yenu, kwa Kenya itabidi muingize porojo ama propaganda na uongo ili mjikombie na kujiliwaza, mlichoka zamani, kwa sasa mnatapatapa tu, mko wanyonge kweli[emoji123][emoji123][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787],
Insha yote ni kwasababu jamaa kaongea ukweli alichokiona Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom