tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Hii k2 iliwauma sana
Hii k2 iliwauma sana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]Hii hapa Aboud Bus wanatutengenezea kutoka Kibera [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2372195View attachment 2372197View attachment 2372198View attachment 2372200
Wewe zuzu dar tu ina masoko ya kisasa kila wilaya,ukija mikoani kila mkoa kuna masoko mawili hadi matatu,labda useme kwenye hizo mall ndio mmetuzidi,ila elewa Tanzania priority iliyokuwepo ni kujenga vitu ambavyo hata raia wa hali ya chini anaweza kutumia,mfano kama BRT,masoko n.k,nyie kwa ulimbukeni wenu mmekoma na vitu ambavyo wakenya wengine hawana uwezo wa kuvitumia,kama express way kuna wakenya hawawezi kutumia hizo mall pia kina wakenya wataenda kupiga picha tu hapo na si kununuaUnajua maana ya filter kilaza.., ama umeona kitu kizuri unadhani ni filter.., Yaani Kenya iko na Masoko na malls, nyie mko na masoko na malls za maana chache mno..., lanes.
View attachment 2372196
Hii hapa Aboud Bus wanatutengenezea kutoka Kibera [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2372195View attachment 2372197View attachment 2372198View attachment 2372200
Hzo ni propaganda za wazungu na sio ukweliHili siliafiki Waarabu hawana utu!
Another boya..., hizo culverts, bridges, overpasses nchi gani iko na nyingi EAC tukijumuisha yote kwa pamoja? kwani ni apartments peke yake? hizo vitu unataja zinawachukua miaka na miaka kujenga, mngekua mnatumia cement kwa mpigo zingekua zina kamilika kwa wakati unao faa, usijilinganishe na Kenya boya, kilaza kwa ubora wake, mko na shabiki za kupumbavu sana😂😂😂😂😂.,Apartments zenu zote nchi nzima hazifiki hata nusu ya cement inayotumika kutengeneza sleepers, culverts, bridges, overpasses, viaducts, stations za kipande kimoja cha SGR Tanzania na vipande vinne vipo kwenye ujenzi
Hzo ni propaganda za wazungu na sio ukweli
Ona ignorance, unaandika usichokijua wala kufahamu, Kenya sio Tanzania, basic commodities in malls ni bei rahisi sana kuliko maduka ya mitaani, ndio maana malls zina flourish even in village towns na kwa ma estates, kwenu malls ni ya matajiri eti, yaani fukara kama wewe ku shop huko itakua ni achievement kubwa, washamba nyie😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.,Wewe zuzu dar tu ina masoko ya kisasa kila wilaya,ukija mikoani kila mkoa kuna masoko mawili hadi matatu,labda useme kwenye hizo mall ndio mmetuzidi,ila elewa Tanzania priority iliyokuwepo ni kujenga vitu ambavyo hata raia wa hali ya chini anaweza kutumia,mfano kama BRT,masoko n.k,nyie kwa ulimbukeni wenu mmekoma na vitu ambavyo wakenya wengine hawana uwezo wa kuvitumia,kama express way kuna wakenya hawawezi kutumia hizo mall pia kina wakenya wataenda kupiga picha tu hapo na si kununua
Posted long ago, ilikamilika, Uhuru launched it long ago!..,Don't know if its been posted before
T-Mall Overpass along Lang'ata Road U/C
View attachment 2371684
View attachment 2371686
View attachment 2371687
99% Complete
View attachment 2371691
View attachment 2371692
Ndio maana wanaingia SA kimagendo halafu wakiulizwa unatoka nchi gani wanasema Tanzania.