Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama sio Magu aliacha kashaiendeleza sana sera ya kuhamia Dodoma huyu angeshapiga chini huo mpango

Juzi alikua Dom, jana yupo Dar anatumia pesa nyingi mno kufanya huu upumbavu na hamna mwana harakati anaeliongelea hili 🙄🚮


Wanaharakati na wanasiasa huwa wansjitetea wenyewe.
Angalia hata katiba wanayotaka mambo mengi ni ya kuwa favour wao na si mwananchi wa kawaida.
 
We unaongea upuuzi gani wewe.? Mji mzima wa Dodoma uko U/C .je kajenga Sa100.?
Sasa anajenga nani? Mwendazake si kajengo awamu ya kwanza au? Sasa tuko awamu ya pili anajenga baba yako aliyeko kaburini Chato? Au aliacha pesa za kujengea?

Unakumbuka kwamba Mwendazake alizindua ujenzi hewa wa Ring Road ya Dodoma Ili kuwa fool mburula kama wewe?

Mwaka mzima ukapita hakuna hata mobilisation na Mwaka Jana ndipo uzinduzi rasmi ukafanyina na Rais Samia baada ya AfDB kutoa pesa,maigizo ya kipuuzi kama Haya alikuwa anayafanya Sana Mwendazake Ili aonekane anafanya Kazi..

Daraja la wami Miaka 5 mnashindwa kumaliza kwa sababu hamna pesa,ndani ya mwaka limeisha..

Lazima mkubali kwamba Rais wenu hakuwa na pesa na alikuwa anafanya maigizo mengi Sana ila wa Sasa huoni maigizo ni Kazi tuu ndio maana mwenzio anauliza pesa zinatoka wapi?

Nilikuwa nasema humu jukwaani.mara nyingi kwamba Mwendazake ameshindwa kuunganisha mikoa yote Kwa lami mnatoa mapovu na matusi,sasa ona Kazi hii hapa 👇
 

Attachments

  • IMG_20220917_125932_315.jpg
    IMG_20220917_125932_315.jpg
    1.2 MB · Views: 20
  • IMG_20220917_125942_512.jpg
    IMG_20220917_125942_512.jpg
    1 MB · Views: 18
  • IMG_20220918_130159_873.jpg
    IMG_20220918_130159_873.jpg
    830.5 KB · Views: 19
  • IMG_20220918_121950_104.jpg
    IMG_20220918_121950_104.jpg
    817 KB · Views: 19
  • IMG_20220929_122217_307.jpg
    IMG_20220929_122217_307.jpg
    1,000.7 KB · Views: 18
  • IMG_20220929_123114_351.jpg
    IMG_20220929_123114_351.jpg
    1 MB · Views: 22
Wanaharakati na wanasiasa huwa wansjitetea wenyewe.
Angalia hata katiba wanayotaka mambo mengi ni ya kuwa favour wao na si mwananchi wa kawaida.
Magu aliekua anaenda Chato kipindi chake cha likizo walimkalia kooni kichizi, huyu kifutu wao kazi kuteketeza kodi Dar Dom kila siku lakini wao kimya kama hawaoni kama ni ufisadi mkubwa wa mali ya umma
 
Mimi nataka ukusanye wachawi na warogi wote wa Tanzania, kamati kuu ya chuki na roho chafu, nawalambisha sakafu nyote kwa pamoja kwa kutumia ukweli, dawa Kali msiyo ipenda, nawanyorosha nikiwa pekee yangu, sitahitaji wenzangu maana Tanzania iko ilivyo, below par, ata mjaribu kupaka lipstick na kuficha matako yake, hayafichiki, mko hovyo kwa ukubwa wa nchi na wingi wa watu, ushamba ndio average wa taifa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23], hambadilishi chochote., Kwa hivyo niletee jamiiforums yote, niko na misuli ya kukabiliana na nyote combined. Ukweli kiboko yenu, kwa Kenya itabidi muingize porojo ama propaganda na uongo ili mjikombie na kujiliwaza, mlichoka zamani, kwa sasa mnatapatapa tu, mko wanyonge kweli[emoji123][emoji123][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787],
Haina haja ya kuleta wachawi we huna content unapanic bure Tu kunywa maji upunguze pressure nakuja kulipa hapa east Africa kuna mshamba kumzid mkenya?? Binafsi Mim mkenya yoyote hata awe vp kwangu namuona n comedian ushamba upo kwenye blood vessels
 
Haina haja ya kuleta wachawi we huna content unapanic bure Tu kunywa maji upunguze pressure nakuja kulipa hapa east Africa kuna mshamba kumzid mkenya?? Binafsi Mim mkenya yoyote hata awe vp kwangu namuona n comedian ushamba upo kwenye blood vessels
Hata sura zao zimekaa comedy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
but corridors in most hse plans are mostly deep in the interior, rarely will u find any window in the corridor..
please i beg u do research with other architects' plans, then get back to me, wht u will have learnt.. 🙏🏽
Kila mtu na anavyolendelea,mimi sitaki nyumba ya bila corridor ya kuingiza mwanga ndani.
 
Nilishawahi uliza swali hapa kwamba tungemchagua Magufuli 2015, halafu 2016 akafa je Tungekuwa na sgr, dodoma ingeendelezwa, daraja la wami, kigongo na pangani yangejengwa, ubungo interchange ingejengwa, bwawa la nyerere lingejengwa, barabara dar Kibaha ingejengwa njia 8.
Meli kwenye maziwa zingekarabatiwa na mpya kujengwa, ndege zingenunuliwa, miradi ya maji mfano Arusha iliwekwa bilioni 500.
Mahospitali, vituo vya afya, stendi za mabus, masoko nk.

Yule jamaa kafa akiwa bado na vitu vingi sana kichwani angetushangaza.
Bandari za mtwara, dar na Tanga zimepanuliwa, airports mbalimbali,

Kitu pekee nina uhakika kingekuwa kinajengwa ni bandari ya bagamoyo🤣🤣
Kweli kabisa, kwa mimi niliesafiri sanaa kipindi cha utawala wa mjomba niliona vingi mno kwa macho yangu mawili ..
 
Kweli kabisa, kwa mimi niliesafiri sanaa kipindi cha utawala wa mjomba niliona vingi mno kwa macho yangu mawili ..
Tangu kufa kwa Magu hatuoni tena barabara za mitaani zikijengwa wala miradi ya maana, zaidi ni miradi ile ile aliyoiacha na isitoshe speed imepungua kabisa, hawajui waanze lipi wamalize na lipi, vimiradi vidogovidogo kama flyover vinatumia miaka mitatu na havijamalizika mpk leo alafu mnawapa airtime kina Kivevele kuongea.
 
Kama sio Magu aliacha kashaiendeleza sana sera ya kuhamia Dodoma huyu angeshapiga chini huo mpango

Juzi alikua Dom, jana yupo Dar anatumia pesa nyingi mno kufanya huu upumbavu na hamna mwana harakati anaeliongelea hili [emoji849][emoji706]

Magu nae alikua anatumia muda mwingi Dar ilo nalo kitaalamu limekaaje
 
Back
Top Bottom