Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mwenye amepost Google images za Nairobi tena akachagua Eastlands - eneo la mtu wa kawaida na mkaona kutoka juu jinsi jiji lilivyopangika. Sasa wacha niwape za Dar mtoe maoni.
111.jpg


Hadi Estate za kitajiri planning ni ovyo
111.jpg

111.jpg
111.jpg
111.jpg


Kwa city planning mko zero.
 
View attachment 2373537

Nairobi in one picture, acha kukata map, ngoja nikuwekee full image, I've been mapping settlement pattern ya Nairobi for past 2 years, angalia kuanzia Airport hadi kasarani

View attachment 2373537



View attachment 2373545View attachment 2373555View attachment 2373560View attachment 2373545View attachment 2373555View attachment 2373560

This one picture ya Nairobi ngalia kiwango cha majengo ya slums za mabati, then angalia magorofa ya udongo, then tatufa appartment zenye wastani ambazo most Kenyans hawawezi kukaa...

Angalia huku chini kabisa kuna slum kubwa sawa but something very interesting, badala ya watu kujenga kwenda kwenye nafasi wameenda kulundikana in a single place
What a well planned city. 🙂
 
Mkijisauliza Sisi tunawakumbusha tu.. 👇View attachment 2372995View attachment 2372996View attachment 2372997View attachment 2373001View attachment 2373004View attachment 2373005.. Rhaenyra Targaryen. Hapo ni DAR mdogo angu, where lower middle class & uper middle class meet.. Rich class kidogo pia wapo humu
Mombasa ni kiboko tosha kwa Dar.., 🤣🤣🤣🤣🤣., yaani mnatiaga Huruma mnavyo jikaza kujikweza ilhali kwa sasa Tanzania yote ni uchi kabisa, hamfichi chochote wala hamdanganyi dunia😜😜🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mombasa ni kiboko tosha kwa Dar.., 🤣🤣🤣🤣🤣., yaani mnatiaga Huruma mnavyo jikaza kujikweza ilhali kwa sasa Tanzania yote ni uchi kabisa, hamfichi chochote wala hamdanganyi dunia😜😜🤣🤣🤣🤣🤣
Leta ile POSH yenu yenye vumbi kwa jina la Karen 🤣🤣🤣
 
Unajua siku moja kwenye mishe nakaingia zangu Kanairo, sasa nimechukua zangu taxi toka JKIA mpaka town (CBD) ambako niko nimebook hotel. Wakati tunaingia CBD tumepita chocho moja hivi chafuuu alafu kuna mahandaki barabarani na maji machafu, mpaka dereva akaanza kujistukia, akaanza kujiongelesha kwa aibu “yaani hii nchi huwezi kuamini hapa ni CBD” nikamwambia tulia Mzee baba, najua nimekuja Kenya, I can’t expect much…..😂😂
Unabisha kwamba ka Nairobi sio kachafu? The biggest slum in the world ilo wapi? Chokoraa hapa duniani wanapatikana wapi? Nijibu hayo mawili tu alafu nirudi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2961][emoji1787]
 
Unajua siku moja kwenye mishe nakaingia zangu Kanairo, sasa nimechukua zangu taxi toka JKIA mpaka town (CBD) ambako niko nimebook hotel. Wakati tunaingia CBD tumepita chocho moja hivi chafuuu alafu kuna mahandaki barabarani na maji machafu, mpaka dereva akaanza kujistukia, akaanza kujiongelesha kwa aibu “yaani hii nchi huwezi kuamini hapa ni CBD” nikamwambia tulia Mzee baba, najua nimekuja Kenya, I can’t expect much…..😂😂
Lishamba linajiliwaza, fukara halijatoka nje ya uswazi anakoishi, hadithi za vijiweni hizi, yaani wageni wengi wasio wa Kenya ama Watanzania wamefika na kishuhudia Kenya na Tanzania, kauli yao ni tosha, hawana mapendeleo ama uzalendo, ushahidi upo, wewe wivu, roho mbaya, chuki na uchawi ndio vinakusukuma, hauna lolote wewe, jipende mlivyo, kudhalilisha Kenya hakutafanya nyie mng'ae, ukweli unabakia pale pale, makazi fukara, yaani ushuzi unaotapakaa over 80% ya jiji la Dar bado uko pale pale., uchumi wenu ni ule ule hafifu ata sasa., mafukara wengi wa kutupwa ni wale wale na wengine wanaongezeka.., jipende mlivyo, usilazimishe fikra zako, kalilie kwa choo sio makosa ya Kenya kukua juu ya Tanzania 😜😜🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ningeshangaa sana kama hii spana isingemtoa Don wa Kibera mafichoni, hilo povu mpaka nimecheka……😅😅 na ukileta nyenyenye naongeza spana ya kulalia au nakukabidhi kwa Mwenyekiti wetu wa Kamati ya Roho Mbaya The best 007 apige msumari wa mwisho kwenye uchafu wa Kanairo😂😂
Lishanba linajiliwaza, fukara halijatoka nje ya uswazi anakoishi, hadithi za vijiweni hizi, yaani wageni wengi wasio wa Kenya ama Watanzania wamefuka na kishihudia Kenya na Tanzania, kauli yao ni tosha, hawana mapendeleo ama uzalendo, ushahidi upo, wewe wivu, roho mbaya, chuki na uchawi ndio vinakusukuma, hauna lolote wewe, jipende mlivyo, kudhalilisha Kenya hakutafanya nyie mng'ae, ukweli unabakia pale pale, makazi fukara, yaani ushuzi unaotapakaa over 80% ya jiji la Dar bado uko pale pale., uchumi wenu ni ule ule hafifu ata sasa., mafukara wengi wa kutupwa ni wale wale na wengine wanaongezeka.., jipende mlivyo, usilazimishe fikra zako, kalilie kwa choo sio makosa ya Kenya kukua juu ya Tanzania 😜😜🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unajua siku moja kwenye mishe nakaingia zangu Kanairo, sasa nimechukua zangu taxi toka JKIA mpaka town (CBD) ambako niko nimebook hotel. Wakati tunaingia CBD tumepita chocho moja hivi chafuuu alafu kuna mahandaki barabarani na maji machafu, mpaka dereva akaanza kujistukia, akaanza kujiongelesha kwa aibu “yaani hii nchi huwezi kuamini hapa ni CBD” nikamwambia tulia Mzee baba, najua nimekuja Kenya, I can’t expect much…..[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ningeshangaa sana kama hii spana isingemtoa Don wa Kibera mafichoni, hilo povu mpaka nimecheka……[emoji28][emoji28] na ukileta nyenyenye naongeza spana ya kulalia au nakukabidhi kwa Mwenyekiti wetu wa Kamati ya Roho Mbaya The best 007 apige msumari wa mwisho kwenye uchafu wa Kanairo[emoji23][emoji23]
Kaumia kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom