Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna mbwa ilikua inasema rail ya SGR aiwezi kubeba container mbili kwenye wagon moja hahahahaaa
Yule ni kichaa, mimi huwa wananiambia ni mrefu sana lakini nikikaa juu ya rail bado naonekana kama mbilikimo, mtu akiangalia pictures za SGR yetu anaweza kuchukulia poa sana ila ukipay a visit, trust me ni world's class mega project
 
By amenities za mji wa serikali what do you mean..?

I think Dodoma imejitahidi kugawanyika

Kuna sehemu kuna ministries ndo huko magufuli city

Bunge liko mjini kabisa tofauti na ministries zilipo

Plus judicary nayo iko sehemu tofauti..

Kwa huu mgawanyo itafanya services ziwe sehemu tofauti

Plus sehemu nying (sio zote) ila majority mji umepangwa na unapigwa lami mtaani..ingawa hawako fast sana ..ila viwanja vimepimwa
Nimepita kwenye website yao na hii ni snapshot ya “mji wa serikali”

A4623AB5-5735-4D43-948C-54CC30C8FCAD.jpeg
1F986728-1ECB-49F5-8A1F-977D4160AA8D.jpeg
69233C56-401B-4756-81A9-AC5B964831A1.jpeg


The level of infrastructural sophistication and planning is clearly not exhibited anywhere else in Dodoma. For the first time ninaona emphasis ya sewerage systems, wastewater treatment as well as parks kwenye eneo Jipya linalojengwa, except eneo hili halitahudumia wananchi wa kawaida Bali viongozi wa serikali na watumishi.

Amenities kama hizi hutaweza kuziona kwenye mitaa ya wananchi wa kawaida. Na pia huu “mji wa serikali” Uko mbali kidogo na “city center” ya Dodoma. Kwa hiyo hata in terms of connectivity bado kuna tatizo, meaning a typical citizen CANNOT access these amenities. Haya maendeleo sio INCLUSIVE. Tunafurahia picha ya mji “modern” wa serikali lakini picha halisi iko nje ya huu mji. Picha halisi ambayo tunaiona kwenye maeneo Mengi ni miundombinu mibovu, water and power rationing, a lack of sewerage and sanitation etc.
 
Hivi kuna faida gani ya kuwa na “mji wa serikali” ndani ya mji ambao tayari ni national capital?

Au ni kwanini taasisi zote za serikali Zikae kwenye district moja?
Zipo district mbili zenye taasisi za serikali, 1 ni ile ya mtumba inabeba ofisi kubwa kama wizara, AG, etc na nyingine 2 ni hii iliopo Medeli inayobeba idara na taasisi za serikali kama NHIF, OSHA, TAKUKURU, uhamiaji, WCIF, etc ofisi kubwa ya serikali iliopo hapa ni ofisi ya waziri mkuu na makao makuu ya judiciary.
 
Zipo district mbili zenye taasisi za serikali, 1 ni ile ya mtumba inabeba ofisi kubwa kama wizara, AG, etc na nyingine 2 ni hii iliopo Medeli inayobeba idara na taasisi za serikali kama NHIF, OSHA, TAKUKURU, uhamiaji, WCIF, etc ofisi kubwa ya serikali iliopo hapa ni ofisi ya waziri mkuu na makao makuu ya judiciary.
Still problematic. Mfumo wa kuweka taasisi za serikali ziwe sehemu moja unatengeneza inequality ya maendeleo.
 
Still problematic. Mfumo wa kuweka taasisi za serikali ziwe sehemu moja unatengeneza inequality ya maendeleo.
Fikilia mtu akiwa anataka apite uhamiaji , Brela , tra na ofisi nyingine zikiwa scattered unapoteza mda mrefu sana , pia zikiwa pamoja ni rahisi watu wa usalama kumonitor. Japo hakuna kitu chenye faida kimakosa hasara
 
Ningependa Kuamini kuwa ‘yajayo yanafurahisha.’ Lakini kama hakuna “revolution” ya urban planning basi hali itazidi kuwa mabaya.

Hizo nyumba za kifahari zinazojengwa na watu binafsi kwenye maeneo ya nje ya mji ni makazi ya watu matajiri. Siwezi ku-imagine mtu asiye na pesa ajenge makazi huko kwasababu ili kwenda kazini atahitaji gari binafsi. Watu masikini hawana magari binafsi na wengi wanajishughulisha na kazi zilizopo karibu na katikati ya mji. Kwa hiyo, hawa watu wanaishi ndani na karibu ya city center, ambapo ndipo kuna informal settlements nyingi.

NHC wakianzisha projects kama unayosema wewe wanajenga kwenye outskirts (nje ya mji). Unategemea masikini wataenda kuishi mahali pasipo na ajira? Hakuna mass transit yenye efficiency ya kuwasafirisha (japo BRT inapanuliwa). Na Ndio Maana nasema kuwa upo umuhimu wa ku-transform current informal settlements.
Hapa itahitajika umakini mkubwa maana kuvunja ni lazima ila kuvunja na kujenga upya bila utaratibu mzuri itakua tatizo kubwa zaidi...
Na je izo fedha za kuboresha hayo makazi zinarudije? Naimani itahitajika fedha nyingi sana kufanya iyo kazi
 
Kenya naomba mtaje team zenu nne za michezo tofauti ambazo zimefuzu world cup......... hahaaaaaaaaa
Clubs qualifying for world cup? Were you born this stupid or you are just mutating to be one?
 
Fikilia mtu akiwa anataka apite uhamiaji , Brela , tra na ofisi nyingine zikiwa scattered unapoteza mda mrefu sana , pia zikiwa pamoja ni rahisi watu wa usalama kumonitor. Japo hakuna kitu chenye faida kimakosa hasara
Ndio umuhimu wake huo.

Kurahisisha upatikanaji wa huduma Kwa haraka sehemu moja.

Kama zilivyo One Stop Border post huko mipakani. Na One Stop Center pale TPA building. Mambo yote ya Cargo clearance yanapatikana pale.
 
Kwa miradi mipya ya NHC nyumba 2500 zote zitajengwa mjini, mitaa iliyotajwa ni Kinondoni, Magomeni na Kawe.. na tayari renda zilishapostiwa humu na bwana chongchung na utukelezaji wa hiyo miradi utaanza mwisho wa mwezi huu wa tisa
Maeneo yote yapo karibu na mjini yatamfaa mtu wa maisha ya kawaida na anayefanya kazi zake katikati ya mji.
 
Back
Top Bottom