Ningependa Kuamini kuwa ‘yajayo yanafurahisha.’ Lakini kama hakuna “revolution” ya urban planning basi hali itazidi kuwa mabaya.NHC wako na mradi wa Nyumba 2500 with in DAR, and this time around watawahusisha private sector kujenga hizo affordable houses .. kwahy tuwe wastahamilivu yajayo yanafurahisha
Hivi kuna faida gani ya kuwa na “mji wa serikali” ndani ya mji ambao tayari ni national capital?Jana nilipata wasaa wa kutembelea mji Mwingine wa serikali unaoabeba ofisi za kitaasisi na idara tofauti za serikali Dodoma
View attachment 2362868View attachment 2362869View attachment 2362870View attachment 2362871View attachment 2362872View attachment 2362873View attachment 2362874View attachment 2362875View attachment 2362876View attachment 2362877View attachment 2362878View attachment 2362879View attachment 2362880View attachment 2362881View attachment 2362882View attachment 2362883
Kuna mini grids na main grids..Kila siku mnajitoa rangi wenyewe. Mmekua mkiimba humu tangu 2014 eti Tanzania every village is connected to electricity, sahii mnasema mkoa mzima ndio umepata connection means Huu.
angalau upate nyumba za kuwahamishia before demolishing ...Ningependa Kuamini kuwa ‘yajayo yanafurahisha.’ Lakini kama hakuna “revolution” ya urban planning basi hali itazidi kuwa mabaya.
Hizo nyumba za kifahari zinazojengwa na watu binafsi kwenye maeneo ya nje ya mji ni makazi ya watu matajiri. Siwezi ku-imagine mtu asiye na pesa ajenge makazi huko kwasababu ili kwenda kazini atahitaji gari binafsi. Watu masikini hawana magari binafsi na wengi wanajishughulisha na kazi zilizopo karibu na katikati ya mji. Kwa hiyo, hawa watu wanaishi ndani na karibu ya city center, ambapo ndipo kuna informal settlements nyingi.
NHC wakianzisha projects kama unayosema wewe wanajenga kwenye outskirts (nje ya mji). Unategemea masikini wataenda kuishi mahali pasipo na ajira? Hakuna mass transit yenye efficiency ya kuwasafirisha (japo BRT inapanuliwa). Na Ndio Maana nasema kuwa upo umuhimu wa ku-transform current informal settlements.
Katika kitu ambacho TPA na Tz bado kwa ujumla tumelala ni Dar es Salaam port...hata kama tumetoka kuipanua bado ina capacity ya 25million tones ...last year ime serve 17mil tonnes..kwanini Tusijenge Container terminal mpya yenye berth hata 3 to 5 mpya za ku handle hata exta 10million tonnes..kuepukana na kufanya vitu kidogo kidogo..tuchague ..either hvyo au tuanze Bagamoyo Port..Mombasa is currently outmusucling us
Siku zinakuja kila mtu atakula alipo changa ngoja SGR ikwishe mtajua amju
wametaja kama ni za magari specific au pedestrian ?Hii phase in flyovers 5
Hapa Phase 6 ya BRT inapita itakuwaWakunya jiandaeni, WB lazima wapandishe upya real-estate value yetu juu zaidi


Now its a right time Mo na Yanga kuanza ujenzi wa stadium zao angalau 40k seats each ..its a big investement lakini ..cause stadiums take time kujilipaVISIT TANZANJA ...
msimu huu lazima tukiamshe..
Simba, Yanga na Azam..
i pray for them all to qualify to group stages
I like the fact thay, they have started using kiswahili whenever they post football contents about tanzanian clubs
Ni kweli. Kubomoa nyumba za watu bila kuwa na mahali pa kuwahifadhi ni ushetani.angalau upate nyumba za kuwahamishia before demolishing ...
a better plan would be kujenga nyumba pembeni kidogo ..kuwahamishia then demolish..which i think kwa kawe is a good start..it would have been better to involve them tho and make a good plan..haitakuwa ngumu sana kwa Tz Govt cause ya our lamd rules
Ndio ila tatizo atufiliri mbele kiasi tuwezeshe port za mikoa yote ya pwanu pia kupunguza mzigo dar apoPorts ni biashara nzuri tukaze boot ..ndo maana zile report kwamba Dar port alone kama contribute upto 5bn usd to gdp if improvedView attachment 2363107
Kila siku mnajitoa rangi wenyewe. Mmekua mkiimba humu tangu 2014 eti Tanzania every village is connected to electricity, sahii mnasema mkoa mzima ndio umepata connection means Huu.
Hapo kweli aiseh lazima vision iwe set na plan ziwe wazi na ziwe implelemted kwa local goverments zote ..kuhakikisha zones na planning inafanikiwa inabidi mindset zibadilishwe na serikali za mitaa kihakikisha mipango miji inatekelezqaNi kweli. Kubomoa nyumba za watu bila kuwa na mahali pa kuwahifadhi ni ushetani.
Lakini tatizo la urban planning linaanza na serikali yenyewe. Ili kuwa na makazi bora usitegemee serikali kuu kuweza ku-enforce laws au policies successfully. Local governments Ndio zinaweza kufanya hiyo kazi vizuri zaidi. Jinsi NGOs zinavyofanya kazi zenye mafanikio makubwa kuimarisha jamii na Ndivyo local residents nao wanaweza kushiriki katika urban planning. Kwa hiyo ni swala linalohitaji participation ya kila mtu.
Kwa miradi mipya ya NHC nyumba 2500 zote zitajengwa mjini, mitaa iliyotajwa ni Kinondoni, Magomeni na Kawe.. na tayari renda zilishapostiwa humu na bwana chongchung na utukelezaji wa hiyo miradi utaanza mwisho wa mwezi huu wa tisaNingependa Kuamini kuwa ‘yajayo yanafurahisha.’ Lakini kama hakuna “revolution” ya urban planning basi hali itazidi kuwa mabaya.
Hizo nyumba za kifahari zinazojengwa na watu binafsi kwenye maeneo ya nje ya mji ni makazi ya watu matajiri. Siwezi ku-imagine mtu asiye na pesa ajenge makazi huko kwasababu ili kwenda kazini atahitaji gari binafsi. Watu masikini hawana magari binafsi na wengi wanajishughulisha na kazi zilizopo karibu na katikati ya mji. Kwa hiyo, hawa watu wanaishi ndani na karibu ya city center, ambapo ndipo kuna informal settlements nyingi.
NHC wakianzisha projects kama unayosema wewe wanajenga kwenye outskirts (nje ya mji). Unategemea masikini wataenda kuishi mahali pasipo na ajira? Hakuna mass transit yenye kw efficiency ya kuwasafirisha (japo BRT inapanuliwa). Na Ndio Maana nasema kuwa upo umuhimu wa ku-transform current informal settlements.k
Hili suala la kuwa na ofisi nyingi za serikali kwenye district moja nadhani sio suala geni duniani na wala sio sisi wakwanza kufanya,.. nchi nyingi zilizo shit makao makuu yao kwenye miji mingine .. huwa wanatumia utaratibu huu huu tu, kwa mfano Abuja Nigeria, New Cairo Egypt, n.k .. sioni kama ni kitu kibayaHivi kuna faida gani ya kuwa na “mji wa serikali” ndani ya mji ambao tayari ni national capital?
Au ni kwanini taasisi zote za serikali Zikae kwenye district moja?
Mradi unaitwaje?Kwa miradi mipya ya NHC nyumba 2500 zote zitajengwa mjini, mitaa iliyotajwa ni Kinondoni, Magomeni na Kawe.. na tayari renda zilishapostiwa humu na bwana chongchung na utukelezaji wa hiyo miradi utaanza mwisho wa mwezi huu wa tisa
Mradi unaitwa Sa100 housing project utatekelezwa Tz nzima lakini 50% Dar 20% DOM .. umetengewa bajeti kama 400+ billionMradi unaitwaje?
Of course sio Swala geni duniani, lakini ni swala geni kwetu na pia hujaniambia umuhimu wake ni upi.Hili suala la kuwa na ofisi nyingi za serikali kwenye district moja nadhani sio suala geni duniani na wala sio sisi wakwanza kufanya,.. nchi nyingi zilizo shit makao makuu yao kwenye miji mingine .. huwa wanatumia utaratibu huu huu tu, kwa mfano Abuja Nigeria, New Cairo Egypt, n.k .. sioni kama ni kitu kibaya