Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Iyo ni around 29Km...Nyie mji utakua makini sana...section ya Morocco hadi mwenge nafasi imeachwa ya kutosha tu hakutakua na usumbufu
30km 6 lanes mpaka 8 lanes halafu kuna watu walikua wanapigia kelele dual carriageway, Dar kwa sasa inaachana na duals

Ila kitakachotugharimu ni miti mizuri mikubwa iliovutia sana kwenye hizi barabara.
 
It's high time now tubadili jina la hili ziwa sababu tupo huru, nimependa view ya Mwanza tu

FdKEa4KWAAIeI2A.jpeg


 
Of course sio Swala geni duniani, lakini ni swala geni kwetu na pia hujaniambia umuhimu wake ni upi.

Moja ya malengo ya Nyerere kuhamisha capital somewhere else ni kujenga national identity ambayo haihusiani na colonial rule. Dar es Salaam ilikuwa capital ya wakoloni, Kwa hiyo Nyerere akaamua kuhamisha makao makuu ya nchi kwenda Dodoma kujenga identity ya taifa, hasa inayohusisha ujamaa.

Wakoloni waliigawa Dar es Salaam Mara tu walipoanza utawala. Msasani peninsula (Oyster Bay na Masaki) ilikuwa ni ya Europeans halafu Kariakoo ya waafrika weusi. Downtown ilijazwa na wahindi na waarabu. Na mpaka leo hizi demographics zinaonekana.

Dodoma ni mji mkuu wa serikali. Huo mji mwingine unaotengenezwa ni mji gani? Kwanini capital isiwe abstract? Ukiweka taasisi zote za serikali kwenye district ndogo unafanya zoning. Kwanza uta-weaken Dodoma Maana watu wengi watajaribu kusogea karibu na huo “mji wa serikali.” Pili unatengeneza class divide. Clearly watumishi pia watapata makazi kwenye hayo hayo maeneo ya “mji wa serikali” halafu wananchi wa “kawaida” wataendelea kuishi Dodoma. Pia social services zitakuwa directed mainly kwenye “mji wa serikali.” Hakuna sehemu yoyote Dodoma iliyopangiwa sophisticated infrastructure kama huo “mji wa serikali.” Paved roads, a planned tram system, underground electric cables, sewerage systems, street lighting etc

Kama taasisi zingechanganyikana kwenye maeneo yote ya mji wa Dodoma basi maendeleo yangeonekana mahali pote. Usisifie system inayotumika nchi nyingine bila kufahamu ni jinsi gani itakavyoathiri jamii yako!
Umedadavua vizuri sana,manake yasijekujirudia makosa kama ya Dar hapo ilo ni angalizo...watawajibika kusimamia maendeleo ya Dodoma kama Jiji na sio mji wa serikali pekeyake
 
It's high time now tubadili jina la hili ziwa sababu tupo huru, nimependa view ya Mwanza tu

View attachment 2363508


but infact jina lake tuliibadili sisi kitambo.. its called 'Lolwe' in kenyan dholuo.. wasukuma je?

infact nilisahau juzi kuwauliza hawa Sukuma couple kutoka mwanza, waliozuru sherehe flani iliokua nyumbani kwetu over the weekend.
but atleast walitufunza kuwa wazazi wangu 'babu na nyanya' wangeitwa 'babu na bibi' in tz 🤔🤔

20220918_162014.jpg
20220918_155114.jpg
 
Have you realized that you are writing nonsense? There's nothing like Political district and you will never find such a thing. Two Nairobi has both business district (Nairobi Central) and Financial district (Upperhill). Westlands is more of an entertainment district.
Haya with in our political capital city, kuna financial district inatengenezwa .. una lipi la kusema.? Wivu au.?
 
Back
Top Bottom