Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
Kuna internet link? Nimejaribu ku-search mtandaoni sijaona kitu.Mradi unaitwa Sa100 housing project utatekelezwa Tz nzima lakini 50% Dar 20% DOM .. umetengewa bajeti kama 400+ billion
Kuna internet link? Nimejaribu ku-search mtandaoni sijaona kitu.Mradi unaitwa Sa100 housing project utatekelezwa Tz nzima lakini 50% Dar 20% DOM .. umetengewa bajeti kama 400+ billion
Check kwenye YouTube account ya NHC utaonaKuna internet link? Nimejaribu ku-search mtandaoni sijaona kitu.
i found nothing on that projectCheck kwenye YouTube account ya NHC utaona
No . Unachoeleza ni sahihi na ndio kinachofanyika Dom kwasasa.. kuna district mbili mpya zinajengwa ukiachana na ile old financial district yao. Ambapo all those districts ni separate .. for instance hii ndio new government City inajengwa hapa 👇Of course sio Swala geni duniani, lakini ni swala geni kwetu na pia hujaniambia umuhimu wake ni upi.
Moja ya malengo ya Nyerere kuhamisha capital somewhere else ni kujenga national identity ambayo haihusiani na colonial rule. Dar es Salaam ilikuwa capital ya wakoloni, Kwa hiyo Nyerere akaamua kuhamisha makao makuu ya nchi kwenda Dodoma kujenga identity ya taifa, hasa inayohusisha ujamaa.
Wakoloni waliigawa Dar es Salaam Mara tu walipoanza utawala. Msasani peninsula (Oyster Bay na Masaki) ilikuwa ni ya Europeans halafu Kariakoo ya waafrika weusi. Downtown ilijazwa na wahindi na waarabu. Na mpaka leo hizi demographics zinaonekana.
Dodoma ni mji mkuu wa serikali. Huo mji mwingine unaotengenezwa ni mji gani? Kwanini capital isiwe abstract? Ukiweka taasisi zote za serikali kwenye district ndogo unafanya zoning. Kwanza uta-weaken Dodoma Maana watu wengi watajaribu kusogea karibu na huo “mji wa serikali.” Pili unatengeneza class divide. Clearly watumishi pia watapata makazi kwenye hayo hayo maeneo ya “mji wa serikali” halafu wananchi wa “kawaida” wataendelea kuishi Dodoma. Pia social services zitakuwa directed mainly kwenye “mji wa serikali.” Hakuna sehemu yoyote Dodoma iliyopangiwa sophisticated infrastructure kama huo “mji wa serikali.” Paved roads, a planned tram system, underground electric cables, sewerage systems, street lighting etc
Kama taasisi zingechanganyikana kwenye maeneo yote ya mji wa Dodoma basi maendeleo yangeonekana mahali pote. Usisifie system inayotumika nchi nyingine bila kufahamu ni jinsi gani itakavyoathiri jamii yako!
Pitia hii 👇.i found nothing on that project
Sababu kuu ya kujenga districts mpya ni serikali kusema kuwa hawataki kuchangamana na hali duni ya Dodoma. Kwa hiyo ni Heri kutengeneza “picha mpya” mahali pengine. Kama wangekuwa wanaweza kuhamisha bunge pia wangejenga mahali pengine, but that would be controversial.No . Unachoeleza ni sahihi na ndio kinachofanyika Dom kwasasa.. kuna district mbili mpya zinajengwa ukiachana na ile old financial district yao. Ambapo all those districts ni separate .. for instance hii ndio new government City inajengwa hapa 👇View attachment 2363119hapo juu ni kwaajili ya ministries n.k.. halaf zile picha alizopost chongchung. Yaani hapa 👇View attachment 2363120View attachment 2363121View attachment 2363122View attachment 2363123hili eneo ndio mostly limewekezwa ofisini mingi za taasisi tofauti tofauti pamoja na aina nyingine ya uwekezaji kama vile, hotels, majengo ya biashara n.k .. na ni mbali pia kutoka hapa hadi ufike New government City
Hizi miundombinu ndani ya DODOMA zinafanywa kila mahali, fanya upate wasaa ukatembee ujionee mwenyewe kiongoziSababu kuu ya kujenga districts mpya ni serikali kusema kuwa hawataki kuchangamana na hali duni ya Dodoma. Kwa hiyo ni Heri kutengeneza “picha mpya” mahali pengine. Kama wangekuwa wanaweza kuhamisha bunge pia wangejenga mahali pengine, but that would be controversial.
Hizo infrastructures wanazojenga kwenye mji wa serikali zinastahili kumfikia kila mwananchi, si taasisi za serikali peke yake. Tayari tumeshaanza kutengeneza matabaka kwenye national capital, na ndio reflection ya mahali nchi ilipo na inapoelekea.
Pitia hii 👇.
Unataka kuniambia mitaa ya wananchi wa kawaida itafanana na mitaa ya “mji wa serikali?”Hizi miundombinu ndani ya DODOMA zinafanywa kila mahali, fanya upate wasaa ukatembee ujionee mwenyewe kiongozi
Sisemi kama mitaa ya kawaida itafanana na mji wa serikali but itapata barabara pamoja na huduma muhimu kama maji na umeme 👇Unataka kuniambia mitaa ya wananchi wa kawaida itafanana na mitaa ya “mji wa serikali?”
Basi kama mitaa ya kawaida haitafanana na mitaa ya “mji wa serikali” basi huoni tatizo hapo?Sisemi kama mitaa ya kawaida itafanana na mji wa serikali but itapata barabara pamoja na huduma muhimu kama maji na umeme 👇View attachment 2363126mfano hai 👆
Ulikuwa unatumia umeme wa mafuta, mitambo ya mafuta imezimwa wameunganisha gridi ya taifa ambayo haitumii mafutaKila siku mnajitoa rangi wenyewe. Mmekua mkiimba humu tangu 2014 eti Tanzania every village is connected to electricity, sahii mnasema mkoa mzima ndio umepata connection means Huu.
Kwanini Africa nzima ni Kenya pekee?.Kuwa kama mwenzio aliyemjibu. The reason Tanzanians don't protest is because you're weak and lack democracy, sio eti mko better.
Protesting over high food prices ni kitu cha kawaida hata kwa nchi zilizoendelea kama Marekani
![]()
When Americans Took to the Streets Over Inflation
In the 1960s and 1970s, spiraling prices for staples like meat and gasoline wreaked havoc on the U.S. economy, thanks to political and policy mistakes that offer a warning for today.www.wsj.com



Soma habari uelewe kama msomi na utofautishe kati ya National grid na isolated grid.Kila siku mnajitoa rangi wenyewe. Mmekua mkiimba humu tangu 2014 eti Tanzania every village is connected to electricity, sahii mnasema mkoa mzima ndio umepata connection means Huu.
wameipost youtube kwenye account cheki linki found nothing on that project
By amenities za mji wa serikali what do you mean..?Unataka kuniambia mitaa ya wananchi wa kawaida itafanana na mitaa ya “mji wa serikali?”
Soon tutapata heshima yetu watake wasitakeHili dude limeanza kazi hapo karibu na kwa mfugale, naona ni site Clearance.
View attachment 2363074








Tofauti ni kama usiku na mchana.Hiv wakenya mnajisikia mkisikia haya kuhusu BRT yetu
Phase 1 is currently operating
Phase 2 is over 50% done
Phase 3: construction has just begun
Phase 4: tender has already been advertised
Tunaenda kuwaacha mbali kama kwenye SGR