Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

cape town

Screenshot_20220920-190651_YouTube.jpg
Screenshot_20220920-190803_YouTube.jpg
Screenshot_20220920-190852_YouTube.jpg
Screenshot_20220920-191012_YouTube.jpg
Screenshot_20220920-191248_YouTube.jpg
Screenshot_20220920-191259_YouTube.jpg
Screenshot_20220920-191327_YouTube.jpg
Screenshot_20220920-191947_YouTube.jpg
Screenshot_20220920-192051_YouTube.jpg
 
Leo nimepita barabara ya mandela road kutoka tazara kwenda vetenary (kumfata client wetu wa tanesco..kiwandan)..
1. Mbele kidogo ya sokoni, kuna eneo kubwa kushoto limevunjwavunjwa na wamezungushia fensi ya mabati ya blue.. wanajenga nn pale? Na katika kuulizializia wadau wanasema eneo lote lile ni la Manji kalichukua eneo lake, lkn bado sijajua wanajenga nn

2. Wakat narudi kutoka vetenary kwenda tazara, upande wa tazara hukohuko nimeona yale mabango, yanayotoa taarifa kuwa brt phase 3 inaanza ujenzi

La muhimu, ni hilo eneo mbele ya sokon wanajenga nn pale? Mana ni eneo kubwa sana

Hili dude limeanza kazi hapo karibu na kwa mfugale, naona ni site Clearance.

IMG_1731.jpg
 
Hili dude limeanza kazi hapo karibu na kwa mfugale, naona ni site Clearance.

View attachment 2363074
Hiv wakenya mnajisikia mkisikia haya kuhusu BRT yetu
Phase 1 is currently operating
Phase 2 is over 50% done
Phase 3: construction has just begun
Phase 4: tender has already been advertised

Tunaenda kuwaacha mbali kama kwenye SGR
 
Kenya naomba mtaje team zenu nne za michezo tofauti ambazo zimefuzu world cup......... hahaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom