Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Katika “Kupendezesha” miji ni vitu gani wanalenga kufanya?
Ni lugha ya kijinga hiyo inatumika ila kinachofanyika ni ujenzi wa barabara,masoko,madampo,stand za mabusi na baadhi ya miradi kadiri Halmashauri ilivyopendekeza mfano public gurdens na maghala au parking za malori..
 
Ports ni biashara nzuri tukaze boot ..ndo maana zile report kwamba Dar port alone kama contribute upto 5bn usd to gdp if improvedView attachment 2363107
Tani Mil.1 za mzigo kupita hapo Mtwara zitatoka wapi ikiwa serikali haifanyi mambo kimkakati?

Mikoa ya Kusini kuanzia Mtwara,Ruvuma na Njombe,Mbeya zina fursa nyingi hasa za Mazao ya kilimo na misitu ila hakuna barabara za ku tape hizo potentials..

Hapo bila hiyo coal,hiyo bandari ingeendelea kuwa tembo mweupe.
 
Sababu kuu ya kujenga districts mpya ni serikali kusema kuwa hawataki kuchangamana na hali duni ya Dodoma. Kwa hiyo ni Heri kutengeneza “picha mpya” mahali pengine. Kama wangekuwa wanaweza kuhamisha bunge pia wangejenga mahali pengine, but that would be controversial.

Hizo infrastructures wanazojenga kwenye mji wa serikali zinastahili kumfikia kila mwananchi, si taasisi za serikali peke yake. Tayari tumeshaanza kutengeneza matabaka kwenye national capital, na ndio reflection ya mahali nchi ilipo na inapoelekea.
Mji wa serikali ni Kwa ajili ya watu wa serikali na affiliates sio kwa ajili ya Wananzengo..

Matabaka hayakosekani popote pale Duniani na kwenye Mji wowote unaoujua wewe Huwa kuna maeneo ya watu wa hadhi tofauti..
 
Hapo kweli aiseh lazima vision iwe set na plan ziwe wazi na ziwe implelemted kwa local goverments zote ..kuhakikisha zones na planning inafanikiwa inabidi mindset zibadilishwe na serikali za mitaa kihakikisha mipango miji inatekelezqa
Nimewahi kupendekeza mara kadhaa kwamba Serikali iunde wakala independent kwa ajili ya land administration and town planning kama zilivyo Tarura,TanRoads nk.
 
Wakunya jiandaeni, WB lazima wapandishe upya real-estate value yetu juu zaidi


Huwa mnachekesha kweli. Yani render ya project moja with less than 8 structures ndio inawapa orgasm? Such projects are coming up in hundreds huku Nairobi. Example is this one in Mombasa road, construction has already started while ya kwenu hata bado hamjui itajengwa lini.

1663747712440.jpg
1663747722400.jpg
1663747727342.jpg
 
Do you know what a financial district is?
Hapo kwenye huo mji ni both financial and political shits zinajengwa hapo, lakini uwezekazaji mwingi zaidi katika hilo eneo ni uwekezaji wa kibiashara (that's the reason nimeita it's a new financial district) .. majengo ya ofisi tofauti tofauti za kibiashara, hotels n.k .. usije ukadhani sijui nnachokisema .. nafuatilia hadi uuzaji wa viwanja hapo kwenye hilo eneo
 
Hapo kwenye huo mji ni both financial and political shits zinajengwa hapo, lakini uwezekazaji mwingi zaidi katika hilo eneo ni uwekezaji wa kibiashara (that's the reason nimeita it's a new financial district) .. majengo ya ofisi tofauti tofauti za kibiashara, hotels n.k .. usije ukadhani sijui nnachokisema .. nafuatilia hadi uuzaji wa viwanja hapo kwenye hilo eneo
When will you stop being stupid? There's nothing like political centers and you also need to learn the meaning of financial center, Business Center, Military Center and Administration Center. Dodoma is just an administration center, nothing more.
 
Back
Top Bottom