Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Reading through this thread najipata kustaajabu , both dar and Nairobi globally tuko so insignificant ,poor financial flows,poor planning ,poverty,illiteracy levels,slums,underage pregnancies,corruption ,poor health ,Yaani you name it ,it exists in both,miji ambayo majority wanaunga tu mama ntilie eti tunacompare , ingekuwa new York,Beijing,Shanghai ,Tokyo,Amsterdam ,Washington ,London cities ambazo their activities are so important ndizo zinakuwa compared ,sio vijiji Kama Nairobi au dar ,hamna exports za maana zinazotoka from both , mine is a point ,hii thread iwe intellectually driven offering solutions ,mwaposti barabara mijengo sijui GDP ,kwani mwala mijengo na GDP .
Hebu intellectualism na maturity in economic case studies
If tupo serious compare both cities to Beijing ,then mlete mrejesho hapa
Nenda zako huko bwana! Hebu tuache na raha zetu!
 
Naona bidhaa nyingi imported sasa hivi tuna mbadala wake tena kwa ubora ule ule kama sio zaidi.
IMG_3888.jpg
 
Kwa hiyo link yako ume post humu, can u tick the boxes on the following [emoji116] highlighted points as far as Tanzania is concerned kiukweli?., in such a study, in the world of academia, u have to subject the findings to a test to verify what the report is claiming. So if I may ask u, which research tools do u think they used to "measure" democracy in Tanzania specifically?

Tanzania hapa mko below par.., thus I strongly rubbish this world population review report on democracy, they guessed tu, facts speak otherwise ukilinganisha na the [emoji116] criteria they use to determine a 'democracy' as indicated below...,
View attachment 2347515
Hahahaha, hata kuhusu njaa Kenya pia Wanadanganya?[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wakenya leo hebu tugusieni kuhusu mishahara yenu...serikali inawalipaje walimu,madaktari ,engineers nk,kuna jambo nataka kujifunza
 
Naenda zangu mimi, wacha niwaachie Bamburi Mtambo.., vs Dodoma.., [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Estate in Mombasa inanyonga Capital City ya Tanzania
View attachment 2347938
View attachment 2347934
View attachment 2347935
View attachment 2347937
Vipicha hivi hivi tangu mchana na bado vimepigwa make up ya nguvu ila ukweli wa Mombasa ni huu hapa, ghetto la kwenda [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220906-215350.jpg
tapatalk_-1687161812_245x504.jpg
tapatalk_-715564083_245x504.jpg
image_downloader_1662468829829.jpg
Screenshot_20220906-215530.jpg
Screenshot_20220906-215239.jpg
 
Vipicha hivi hivi tangu mchana na bado vimepigwa make up ya nguvu ila ukweli wa Mombasa ni huu hapa, ghetto la kwenda [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2348170View attachment 2348171View attachment 2348172View attachment 2348173View attachment 2348174View attachment 2348176
yani, nimepigwa na butwaa🙀🙉 hivi, at the very deep heart of dar cbd kumbe inakaa hivi🙀

Don YF, heb njoo ustajabu ya firaoni, ata si ya musa

Screenshot_20220906-222253_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom