Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hata hizo nyaya za umeme unazoziona kwenye nguzo, mji ukimaliza ujenzi wake zote hizo zitapitishwa chini mana miundombinu yake tayari imeshatengenezwa underground ..so Dom utakua ni mji pekee EA ambao nguzo za umeme hazitaonekana anywhereUnderway kitu gani yet umepost complete project? Umeanza excuse after kushikwa makende?

.
