Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaweza kunipa ratiba ya treni kwenye hizo Stations ulizoweka ? I mean, treni inapita muda gani na mara ngapi kwa siku na inahudumia watu wangapi? Kwa maana usikute ni majengo tu lkn hakuna mtu anayatumia wala hakuna treni inapita hapo, wanaita white elephant, kama ukiweza unaweza kuweka picha inayoonyesha abiria wakipanda na kushuka kwenye hizo stations?
 
Central Park

Screenshot_20220905-232413_1.jpg
Screenshot_20220905-232429_1.jpg
Screenshot_20220905-232249_1.jpg

Uhuru Park
Screenshot_20220905-232624_1.jpg
Screenshot_20220905-232557_1.jpg
 
Sio Bukoba! Sehemu ambayo haina activities na Wakulungwa hata chuo cha maana wameshindwa kujenga!
Vyuo walijenga vyote vikafungwa na serikali...

Google Jocuco na CARUMCO...

Hio kagera unayoidharau ni ya tisa kuchangia pato la taifa...na hakuna uwekezaji wowote wa maana wa serikali

JamiiForums1364313333.jpg

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Wahaya wako na pesa we jamaa, they can afford.. usiwachukulie poa kabisa, I've been living at Kiakarabwa for two good months and i also witnessed different kinda dvp that was going on..
Hata mimi namshangaa...wakati nyumba zote za NHC bukoba zimejaa watu...sasa sijui anatakaje..

Hata hio airport ya Bukoba ndo airport yenye abiria wengi zaidi ukiondoa airport za Cities..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Na kwnn bado mna njaa? Nitajie nchi moja yenye uchumi mkubwa alafu wananchi wake wanakufa njaa au serikali yake inapokea misaada ya chakula.
Sasa unataka kutuambia eti Tanzania yenye haina "njaa" are more developed with a bigger GDP kushinda nchi kama South Africa yenye bado inapambana na njaa kwa hizi akili zako za "Tanzania iko na GDP ya $150B?" ulikosea wapi kilaza? mbona siku zote umebakia kuwa boya? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1662446959749.png

1662446969407.png

1662447294121.png

1662447303285.png

1662447313325.png
 
sasa mbona hawaendelezi kwao hebu leta picha za Bukoba town?
Una uhakika na unachokisema?
Hiv ukitoa kilimanjaro kuna mkoa wenye makazi bora vijijini kama kagera?..

Kama upo utaje..

Bukoba town tatizo lake ni miundombinu ya umma kama stendi, soko, barabara nk
Lakini kwa makazi na real estate kwa ujumla iko vzr bila kusahau shule zilizotapakaa kila mahali

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hapo iko sawa kabisa, sio eti rais anapata kura zaidi ya 80%.., hapo kutakua na tatizo.., bado mko kwenye giza watani, na sioni mkitoka hivi karibuni kwa hizi fikra zenu uchwara.,
Cut point ni ipi ili isiwe tatizo?, Hiyo cut point imewekwa na nani na lini?. Hivi ulitegemea nchi ambayo hakuna vyama vyenye 'political ideologies" zenye kueleweka Kama Kenya kupata chama kimoja au viwili vyenye wingi wa kura?.

South Afrika, Mandela alipata zaidi ya 80% ya kura zote, unataka kusema Kenya ni "more democratic kuliko South Afrika, au kwa sababu South Afrika Kuna chama kimoja kinachokubalika zaidi kuliko Kenya.

DRC Kuna vyama zaidi ya 100 vya siasa, wakati USA Kuna vyama 2 ti vya siasa vyenye nguvu ambavyo hupata zaidi ya 90% ya kura zote, kwa akili yake ni kwamba DRC ni more democratic than USA, isn't?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
for a very long time now, about 25yrs now. kenya has been known to have somewht dirty and chaotic tribal politics, sometimes marred with post election violence like the case of 2007.
please just note tht all these were brought about by only ONE☝🏽 man, who seems to have bad omen🦉
and that's no other than Raila Amolo Odinga!, he is the main cause of political instability in this nation.
now tht his political carrier is over, sasa kenya tumepumzika.. expect kenya to be among the most peaceful countries in africa forever! and without any tribalism!
i still remember 1994, during moi's regime, kenya was dubbed as among the most peaceful countries in the continent!
we shall be returning there in due course, now tht Raila is not in the picture.
future defeated presidential candidates will be conceding defeat unlike odinga. their will be no need for filing petitions at supreme court.
u can take my overview to the bank. believe u me..

(am very sorry if anyone here may find my insights to be somehw offensive.. 🙏🏽 pole)

kama kaa moja inatoa moshi kwenye jiko lako, izoe utupe ili upate amani🤔
 
Cut point ni ipi ili isiwe tatizo?, Hiyo cut point imewekwa na nani na lini?. Hivi ulitegemea nchi ambayo hakuna chama vyeme vyenye 'political ideologies" zenye kueleweka Kama Kenya kupata chama kimoja au viwili vyenye wingi wa kura?.

South Afrika, Mandela alipata zaidi ya 80% ya kura zote, unataka kusema Kenya ni "more democratic kuliko South Afrika, au kwa sababu South Afrika Kuna chama kimoja kinachokubalika zaidi kuliko Kenya.

DRC Kuna vyama zaidi ya 100 vya siasa, wakati USA Kuna vyama 2 ti vya siasa vyenye nguvu ambavyo hupata zaidi ya 90% ya kura zote, kwa akili yake ni kwamba DRC ni more democratic than USA, isn't?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mko hovyo wacha kutetea ujinga kilaza.., people are arguing based on ideologies in developed democracies, and most parties have more or less same developmental ideologies thus support base automatically is likely to fall at 50/50.., nchi kama Rwanda might have a different case since they were coming from their darkest moment and their saviour was Paul Kagame, thus he is adored and poses a messianic kinda image to the Rwandese, thus for him garnering 90% of votes is understandable and explainable in their context, but as years go by and they move on and mature in democracy, political divide will eventually form, each having an ideology meaning well for the country and promising better, here individual citizens will weigh which they prefer, so kunakua na higher chances ya 50/50 0r 40/60 divide, Tanzania mko hovyo sana, nyie mmelishwa propaganda tokea mpate Uhuru na kukandamizwa hamuna sauti, tafadhali wacha ujinga wako, sio kila mara unatetea udhaifu wa Tanzania, huo ni upuzi. Kenya naamini wakati tulipata Uhuru, mzee Jomo Kenyatta was projected as a liberator, wakati huo uchaguzi ungeitishwa angepata 99%.., but as time moves on, watu wana erevuka, na sidhani angepata 90%.., Tanzania ni nchi ya kiaina kwa ujinga.,
 
Reading through this thread najipata kustaajabu , both dar and Nairobi globally tuko so insignificant ,poor financial flows,poor planning ,poverty,illiteracy levels,slums,underage pregnancies,corruption ,poor health ,Yaani you name it ,it exists in both,miji ambayo majority wanaunga tu mama ntilie eti tunacompare , ingekuwa new York,Beijing,Shanghai ,Tokyo,Amsterdam ,Washington ,London cities ambazo their activities are so important ndizo zinakuwa compared ,sio vijiji Kama Nairobi au dar ,hamna exports za maana zinazotoka from both , mine is a point ,hii thread iwe intellectually driven offering solutions ,mwaposti barabara mijengo sijui GDP ,kwani mwala mijengo na GDP .
Hebu intellectualism na maturity in economic case studies
If tupo serious compare both cities to Beijing ,then mlete mrejesho hapa
 
Ungeanza wewe
 
for a very long time now, about 25yrs now. kenya has been known to have somewht dirty and chaotic tribal politics, sometimes marred with post election violence like the case of 2007.
please just note all these were brought about by only one☝🏽 man, who seems to have bad omen🦉
and that's no other than Raila Amolo Odinga!, he is the main cause of political instability in this nation.
now tht his political carrier is over, sasa kenya tumepumzika.. expect kenya to be among the most peaceful countries in africa forever!.
i still remember 1994, during moi's regime, kenya was dubbed to be among the most peaceful countries in africa!
we shall be returning there in due cause now tht Raila is not in the picture.
future defeated presidential candidates will be conceding defeat unlike odinga. their will be no need for filing petitions at supreme court.
u can take my overview to the bank. believe u me..

(am very sorry if i ll happen to offend anyone here.. 🙏🏽 pole)

kama makaa moja inatoa moshi kwa jiko lake, toa utupe ili upate amani🤔

Another biased analysis.., 2007 they stole his election, and Ruto was in the fore front fighting for him, we all watched how things played out, besides 2007/2008 PEV found me in Eldoret, I know what Kalenjins did of which Raila was not party to, he did not instruct their actions, I was there, witnessed the heinous acts carried out. I interacted with my Kale friends and learned of the propaganda they were led to believe by some of their elders, it was a dark moment, wacha zako bana, Raila won in 2007 dopchinski, people were angry at what Kibaki regime and mount Kenya mafia did, the violence in most areas was a reaction.
In the previous years and subsequent ones Raila and other like minds were fighting for democracy from the autocratic leadership ya Moi, who didn't tolerate dissent views, hence violence was experienced due to the excessive force Moi's regime used on those agitating for democracy. Moi the one u praise for peace even eliminated Dr. Robert Ouko through his 'hand' Nicolas Kipyator Biwott.
In 1994, and previous years Kenya had a false peace, like it is with Tanzania ya leo, Moi was revered and feared, ukicheza unapotea without a trace. My father worked closely with Nicolas Biwott, the total man dropped my dad home severally, so am talking from what I know. You are merely vilifying Raila without facts just because u don't like him or u didn't support him, maybe it might be u don't like Luos, I never know and I am not a Luo either. Kindly study the political history of Kenya keenly, from Jomo kenyatta's regime, of course with a pinch of salt, coz u wont like what u will discover, instead of peddling rumors na hearsays.

For Raila, my opinion, his undoing and that of his father is in dishonoring authority, the reason presidency eluded them, Odinga senior disrespected Jomo in Kisumu by even stoning him, Kenyatta was furious, he didn't speak well of Jaramogi, then Raila Odinga disorganized a Ford Kenya meeting which was being chaired by his father, Jaramogi alikasirika deadly and here is where people believe Raila's curse came from.

Hope we are going to get real peace, sio ile false ya wakati wa dictator Moi, a peace which was instilled by fear. I believe ni systems zenye we as a country tume establish over time, is what has led us to where we are today not Ruto. Ruto rode on multiparty democracy which with majimbo system was fought for by Raila Odinga as much as u want to vilify him. Give respect where it is due.
 
Back
Top Bottom