Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hatari hiyo Dom inaenda kuvunja ukimyaThe capital city on the way so farView attachment 2347859View attachment 2347860.. umeona kiboko ya takataka zote EA hiyo Don YF. .? 30 buildings under construction. With 6-12 floors in each building. I see no comparison from your poor country
Ila inataka moyo kuvumilia 🤣🤣🤣.mji ata kiwango cha estate bado haijafika unaanika humu? eti capital city? nyambaff, potelea mbali dogo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.,


hawa wakenya kujenga ndiyo huwa hawajui kabisa yaani,Dom ni kiboko ya takataka zote EA, I can't wait to see it done ✅ ni mwakani tu hapo alafu . Mkenya atahama hii battleHatari hiyo Dom inaenda kuvunja ukimya
Usikimbie mzee wakenya wanakutegemea 🤣Nenda ukanywe juice baridi ya ukwaju ya Azam kwa bill yako, umechanganyikiwa leo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .,
have an evening of your choice.,bye for now.
Waambie kuwa upo live,kisha waende mwanza city center waone kama wataukuta huo uchafu
Wato wapo live location inabudi utulie ili upate dawa ya corona,,Domo domo gani na tuliwaambia mtuonyeshe industries in Dodoma mkakunja mikia?

wakenya mnazingua mlipo tupiku ni mapicha tu ya filter yasiyo na uhalisiaMwanza city center inawezekana ikawa kama sio ya kwanza basi ni ya pili kwa usafi TzWaambie kuwa upo live,kisha waende mwanza city center waone kama wataukuta huo uchafu
🤣🤣🤣 Kwahyo siku hiz watu wanataka kuona viwanda.? 🤣🤣 Watu wanaishi humo kwenye viwanda.?
With these kind of reasoning I'm not surprised to see Tanzania among the least developed countries in the world.🤣🤣🤣 Kwahyo siku hiz watu wanataka kuona viwanda.? 🤣🤣 Watu wanaishi humo kwenye viwanda.?
Mwanza linganisha na Kisii na sio Mombasa.Wato wapo live location inabudi utulie ili upate dawa ya corona,,
Nenda mwanza city center uone kama utakutana na uchafu kama huowakenya mnazingua mlipo tupiku ni mapicha tu ya filter yasiyo na uhalisia
Ukishindwa,kunyoosha mikono juu sio dhambi, usitake kutukana watu kwa kulazimisha upumbavu wako 🤣🤣 uliona wapi wakapima maendeleo ya miji kwa kuwa na viwanda.? Tena viwanda vyenyewe vitatu.? 🤣With these kind of reasoning I'm not surprised to see Tanzania among the least developed countries in the world.
Hata bangi pia ipo kwenye list ya madawa ya kulevyaMwanza linganisha na Kisii na sio Mombasa.
Kama hujui umuhimu wa viwanda kwa Dunia ya sasa basi hakuna tofauti kati yako na soja The best 007. Nyinyi wote ni coconut head.Ukishindwa,kunyoosha mikono juu sio dhambi, usitake kutukana watu kwa kulazimisha upumbavu wako 🤣🤣 uliona wapi wakapima maendeleo ya miji kwa kuwa na viwanda.? Tena viwanda vyenyewe vitatu.? 🤣