Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

endeleeni kungoja wenzenu wana ma-vyuo!

Yaani waache kufanya
Mbeya College of Health and Allied Sciences (MCHAS)
Mkwawa University College of Education (MUCE)
fully fledged institutions waje Bukoba!
Wameshapewa eneo lipo Kata ya Karabagaine kijiji cha Itahwa.
 
Sasa hapo wamekuja benchmarking au wamekuja kuhakikisha haki inatendeka? Huna akili.
Eti ku ensure haki inatendeka! 🤣🤣🤣 We bonzo Kenya is a sovereign state. Walikuja kujifunza from one of the best Judiciary in Africa.
 
Na ndiyo zinajenga electrifitried SGR pekee EA hata ukilia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
There's nothing like electrified SGR. Rail line can't be electrified.
 
Eti ku ensure haki inatendeka! [emoji1787][emoji1787][emoji1787] We bonzo Kenya is a sovereign state. Walikuja kujifunza from one of the best Judiciary in Africa.
Sasa unalia nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
There's nothing like electrified SGR. Rail line can't be electrified.
Kafie mbele [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuliwaambia haya ma rangi rangi yatachubuka tu mana nchi yenyewe ina watu wasio wastaarabu wakabisha, haya endeleeni kuongopa na picha za uzinduzi but hali halisi iko hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_272806227_245x504.jpg
 
Pelekeni malalamiko twitter [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapo iko sawa kabisa, sio eti rais anapata kura zaidi ya 80%.., hapo kutakua na tatizo.., bado mko kwenye giza watani, na sioni mkitoka hivi karibuni kwa hizi fikra zenu uchwara.,
Watanzania tupo vizuri sana kwenye kuchagua viongozi ila wahuni mafisadi ndiyo yanakwamisha. tatizo siyo asilimia ..kama kiongozi ni mzuri kwanini tusimpe asilimia 100%...tatizo wakenya mnachagua mafisadi walio wazi kabisa
 
Amen.[emoji120][emoji120][emoji120]
Mjifunze kujitegemea pia sio majigambo tu mmesoma halafu hamna chuo cha maana hata kimoja huko Bukoba yaani the whole of Kagera! Na si msubiri mpaka serikali ije iwafanyie! hata mikoa mingine inaweza kutaka pia hizi treatment mnazopewa! Mnatia aibu aisee mkumbuke mna one of the most fertile lands in the region! Ndo maana sioni miradi ya NHC kama italipa huko!
 
Endelea kuamini hivyo kwasababu umeona ni imani kwa unachokiamini. Mimi ni mtazania sina ukabila ila sipendezwi na mtu kunyanyaswa au kubaguliwa kwasababu zisizokuwa na mbele wala nyuma.
Kwahiyo nyie mliopewa modern airport ambayo ipo underutilized mpaka mida hii na pia Rusumo hydropower project mnadai mnabaguliwa! Unajua makusanyo ya mkoa wa Njombe kwa Taifa? Na wao wasemeje?
 
Back
Top Bottom