Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani Dodoma Haina nyumba za kulinganisha na za Tatu City?😂😂😂 Unapiga kelele hapa na hata hiyo Dodoma yako hnaiezani na Tatu City 😂😂
Nimekupa hiyo ndio level yako n bado tatu City haiwezi tia pua, naanzaje kulinganisha DOM new CBD vs residential buildings? Are you crazy or something.? 🤣🤣
 
Nimekupa hiyo ndio level yako n bado tatu City haiwezi tia pua, naanzaje kulinganisha DOM new CBD vs residential buildings? Are you crazy or something.? 🤣🤣
Leta za Dodoma hapa, mbona unaogopa?😂😂
 
Open drainage 😂😂
Hapa uchukui point hata Moja 🤣🤣 umeona mlivyofanya hapa y
Tatu-City-1200x675.gif
then mkafunika 👇
Jan-2022-Site-Update-41.jpg
kwenye hii barabara ya mita 200 it's the same we are doing to all roads 51 km around the new city of DOM. All them roads I've posted are still underway..
 
Mtatoka kwa Fumba Town.? 🤣🤣🤣
Battle ilikuwa ya Dodoma na Tatu City. Umeona kama Dodoma haitoshi mboga sasa umeanza kuitisha usaidizi kutoka sehemu zingine😂😂😂
 
Hapa uchukui point hata Moja 🤣🤣 umeona mlivyofanya hapa yView attachment 2347997then mkafunika 👇View attachment 2347998kwenye hii barabara ya mita 200 it's the same we are doing to all roads 51 km around the new city of DOM. All them roads I've posted are still underway..
Tatu has closed drainage while Dodoma is proud to be the king of open drainage 😂
 
Ila wakenya Wana vituko sana 🤣🤣 this video shows the best of Tatu, but I've seen nothing to even give it a larger estate status.. nyumba zenye ni less than 50 and one school 🤣🤣👇. Yo Teargas ni nini kinawafanya muite huu ujinga city.?
 
Leta za Dodoma acha kelele 😂😂
 
Back
Top Bottom