Sasa si umsaidie huyo mwekezaji baada ya kumfungia?..
Mbona vyuo vya serikali wanavisaidia?
Kufunga chuo sio solution kwa sababu mtu kuanzisha chuo kikuu kakusaidia kutoa huduma kwa wananchi lakin pia anaboost maendeleo ya eneo husika...
Nenda Bukoba angalia around vyuo hivyo vilivyofungwa mfano jocuco na CARUMCO uone uwekezaji wa hostels, majumba na stationeries...bila kusahau daladala na boda zilizokuwa zinaelekea huko...
Sasa ukifunga chuo si unapoteza ajira zote hizo...
TATIZO LA NCHI YETU TUNAONGOZWA NA WATU WENYE CHUKI, VISASI NA WANAOTUMIA TUMBO KUFIKIRI KAMA WEW
Sent from my SM-A032F using
JamiiForums mobile app