Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na kwnn nyie huwa hamji huku, jibu ni kwamba hamuwezi kujisimamia cz you are a failed state.
I told you Tanzania is irrelevant to Kenya when it comes to your politics, observant in 2020 Tanzanian election were from Burundi. Yani of all the 54 African countries Burundi pekee ndio iliona ikuje huko?😂😂
 
Tatizo jamaa ni wachafu sn pia sio civilized.
Jamaa sio wastaarabu kabisa
20220728_150851.jpg
 
Hujanielewa.Ungenijibu kwanini Bugando haikujengwa Bukoba badala yake ikajengwa Mwanza ningeendelea na mjadala ila kwa kuwa umeamua kuhitimisha kwamba Wahaya wana majigambo, basi sawa, nature humfuata mtu. Huko huko walikojenga vyuo watawapeleka watoto wao kusoma.
Haijajengwa kwavile Mwanza Diocese ndiyo ilihusika kwenye mchakato na si Bukoba Diocese! Endeleeni kulala! Kwani unafikiri Cardinal Rugambwa ndiye mhusika mkuu? Ebu pitia Canon laws uone nani walishughulika na Bugando! Nyie watu wa Kagera huwa mna mentality ya kupewapewa elimu haiwasaidii!
 
There's no difference between your reasoning and that of a warthog.

Don't you have deaths in Tanzania?
Don't you have slums in Tanzania?
Don't you have unemployment in Tanzania?
Don't you have high inflation in Tanzania?
Don't you have crimes in Tanzania?
Don't you have corruption in Tanzania?
Don't you have terrorism in Tanzania?
Any country you can find all these, the problem is when these cross the accepted level by international standard like in Kenya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Havikukidhi vigezo! Unataka kusema vya Kagera tu? St Joseph college Pwani na St Francis college navyo vilifungwa! Ukweli ni hamna moyo wa maendeleo! Mnategemea kila kitu mletewe!
Vyuo vya Kagera tu ndio havikukidhi vigezo tu. Hicho chuo cha Askofu vipi mbona hakikudhi vigezo hata kabla hakijajengwa?

Walipimaje vigezo kwamba haviwezi kukidhi, kwingine.Kwani wananchi ndio wanatoa ithibati? Majengo mangapi sasa hivi ni makazi ya popo ambayo yalipigwa stop baada ya kujengwa ili yawe vyuo?

Kama ni vigezo kwanini wanaacha mtu anatafuta pesa, anapewa kibali cha ujenzi, akikaribia kumaliza anaambiwa haruhusiwi kuendelea na ujenzi. Ingekuwa ni wewe utakuwa na jeuri ya kuitunishia serikali misuli.

Tujadili kama watu wazima na siyo wapambe wa serikali kwa kuwa tunalipwa au tumepewa ahadi fulani fulani hivi hadi tunajitoa ufahamu na kupoteza lengo.
 
Ushahidi?
EAC hua na election observers wake drawn from each country expect the country that holds elections. Then kuna organisation mingi za elections observers based in Kenya kwa mfano Elog. Nimekuambia usiwe mjinga though elections zenu hua scam tu ndip maana huna intel.
 
Havikukidhi vigezo! Unataka kusema vya Kagera tu? St Joseph college Pwani na St Francis college navyo vilifungwa! Ukweli ni hamna moyo wa maendeleo! Mnategemea kila kitu mletewe!
Kwa comment zako..unaonekana una chuki na watu wa Bukoba...
Sasa kama watu wanaanzisha vyuo vikuu na serikali inavifunga huoni kama serikali inakatisha tamaa uwekezaji wa watu binafsi? Kwa nini serikali isisaidie hivyo vyuo vitimize vigezo!!

Sasa sijui unataka maendeleo gani yawepo Bukoba? Kwamba watu binafsi wajenge stendi za umma? Ni wap tz hii watu wamejenga stendi za umma..au watu wa bukoba hawalipi kodi..

Wew una jambo lako na Bukoba sio bure..sijui hata kwenu ni wap maana Tz nzima ukiondoa Dar miji mingine yote inafanana...

Meanwhile Bukoba..
images.jpg
images%20(2).jpg

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Vyuo vya Kagera tu ndio havikukidhi vigezo tu. Hicho chuo cha Askofu vipi mbona hakikudhi vigezo hata kabla hakijajengwa?

Walipimaje vigezo kwamba haviwezi kukidhi, kwingine.Kwani wananchi ndio wanatoa ithibati? Majengo mangapi sasa hivi ni makazi ya popo ambayo yalipigwa stop baada ya kujengwa ili yawe vyuo?

Kama ni vigezo kwanini wanaacha mtu anatafuta pesa, anapewa kibali cha ujenzi, akikaribia kumaliza anaambiwa haruhusiwi kuendelea na ujenzi. Ingekuwa ni wewe utakuwa na jeuri ya kuitunishia serikali misuli.

Tujadili kama watu wazima na siyo wapambe wa serikali kwa kuwa tunalipwa au tumepewa ahadi fulani fulani hivi hadi tunajitoa ufahamu na kupoteza lengo.
wacha upuuzi kaulize wahusika kuwa chuo kuna standards zake zikiwa maabara, wakufunzi n.k.! Pita huku utajua!
 
Haijajengwa kwavile Mwanza Diocese ndiyo ilihusika kwenye mchakato na si Bukoba Diocese! Endeleeni kulala! Kwani unafikiri Cardinal Rugambwa ndiye mhusika mkuu? Ebu pitia Canon laws uone nani walishughulika na Bugando! Nyie watu wa Kagera huwa mna mentality ya kupewapewa elimu haiwasaidii!
[emoji846][emoji846][emoji846] wala siyo Kagera yote target ni Wahaya mzee. Ila kama kusoma wamesoma hiyo ipo. Kwanini Rugambwa sekondari hakikuwa chuo sasa nayo nisome wapi?
 
Vyuo vya Kagera tu ndio havikukidhi vigezo tu. Hicho chuo cha Askofu vipi mbona hakikudhi vigezo hata kabla hakijajengwa?

Walipimaje vigezo kwamba haviwezi kukidhi, kwingine.Kwani wananchi ndio wanatoa ithibati? Majengo mangapi sasa hivi ni makazi ya popo ambayo yalipigwa stop baada ya kujengwa ili yawe vyuo?

Kama ni vigezo kwanini wanaacha mtu anatafuta pesa, anapewa kibali cha ujenzi, akikaribia kumaliza anaambiwa haruhusiwi kuendelea na ujenzi. Ingekuwa ni wewe utakuwa na jeuri ya kuitunishia serikali misuli.

Tujadili kama watu wazima na siyo wapambe wa serikali kwa kuwa tunalipwa au tumepewa ahadi fulani fulani hivi hadi tunajitoa ufahamu na kupoteza lengo.
Achana kubishana na huyo poyoyo mwenye chuki zake na Bukoba...

Yaan mtu anachukia Bukoba as if alibakwa huko[emoji23]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
[emoji846][emoji846][emoji846] wala siyo Kagera yote target ni Wahaya mzee. Ila kama kusoma wamesoma hiyo ipo. Kwanini Rugambwa sekondari hakikuwa chuo sasa nayo nisome wapi?
Wacha maswali ya kijinga uliza Bukoba diocese!
 
wacha upuuzi kaulize wahusika kuwa chuo kuna standards zake zikiwa maabara, wakufunzi n.k.! Pita huku utajua!
Mimi siyo mpuuzi. Na usiwe na jaziba tujadili hoja. Kwanini sheria ziwe ni za vyuo vya Bukoba tu? Huko kwingine ziwe sawa Bukoba wanakosea wapi, miradi mingapi huwa inakosewa na wanasahihishwa na kuendelea, lakini kwa Wahaya iwe ni kufunga vyuo vyao?
 
Haya maswali ndio yenye mantiki. Katika swali la mjinga ndipo yalipo maarifa ya mwerevu.
Sasa unaniuliza swali la Rugambwa secondary inayomilikiwa na kanisa? Hivi unataka kusema Tanzania nzima hamna sehemu zina shule kama hizo na still wana vyuo? Wacheni kulala wenzenu wanawaacha mbali!
 
wacha upuuzi kaulize wahusika kuwa chuo kuna standards zake zikiwa maabara, wakufunzi n.k.! Pita huku utajua!
Sasa kwa nini waviruhusu vijengwe ilihali wanajua havijatimiza vigezo...

Sasa mtu kakusaidia kutoa huduma ya elimu, baada ya kumsaidia unamkataza..na nchi yako wala haijafanikiwa katika hio sekta...
Nadhani watu waliopo TCU watakuwa na akili kama zako za chuki dhidi ya baadhi ya maeneo ya nchi...yaan ni kama mzazi uchukie baadhi ya watoto wako wakati ni watoto wako...

Hebu jaribu kutumia akili sio wivu na chuki zako..

Back
Top Bottom