Mko hovyo wacha kutetea ujinga kilaza.., people are arguing based on ideologies in developed democracies, and most parties have more or less same developmental ideologies thus support base automatically is likely to fall at 50/50.., nchi kama Rwanda might have a different case since they were coming from their darkest moment and their saviour was Paul Kagame, thus he is adored and poses a messianic kinda image to the Rwandese, thus for him garnering 90% of votes is understandable and explainable in their context, but as years go by and they move on and mature in democracy, political divide will eventually form, each having an ideology meaning well for the country and promising better, here individual citizens will weigh which they prefer, so kunakua na higher chances ya 50/50 0r 40/60 divide, Tanzania mko hovyo sana, nyie mmelishwa propaganda tokea mpate Uhuru na kukandamizwa hamuna sauti, tafadhali wacha ujinga wako, sio kila mara unatetea udhaifu wa Tanzania, huo ni upuzi. Kenya naamini wakati tulipata Uhuru, mzee Jomo Kenyatta was projected as a liberator, wakati huo uchaguzi ungeitishwa angepata 99%.., but as time moves on, watu wana erevuka, na sidhani angepata 90%.., Tanzania ni nchi ya kiaina kwa ujinga.,
Nimetoa mifano ya South Afrika na USA umekimbilia Rwanda, wewe ni chizi Sana. Kenya hakuna chama chochote chenye ideology, kila mwaka kunaibuka vyama vipya na kuunda makundi yenye mrengo wa ukabila na ukanda.
Nchi Kama South Africa, Ghana, Algeria, Angola, Sychelles, Mauritius, Tanzania, USA, China, German, Norway, Sweden, Japan, huko ndiko kwenye vyama vyenye kuimarika na vyenye ideologies zenye kueleweka.
Katika hizo nchi nilizokutajia, lazima utakuta Kuna chama kimoja au viwili tu ndio vyenye nguvu kutokana na ideologies zao, vyama hivyo ndio vinapata kura nyingi miaka yote, sio rahisi hata kidogo kuving'oa hivyo vyama kutokana na uimara wa hivyo vyama, katika nchi ambazo chama kimoja kina nguvu Sana Kama Germany, South Afrika, Tanzania, China, Angola, Sweden na Sychelles, hivyo vyama mara nyingi hupata zaidi ya 80% ya kura katika chaguzi nyingi, isipokua mara chache pale ambapo kunajitokeza upinzani mkubwa Kama mwaka 2015 ambapo CCM ilipata 54% na Chadema 38%, au Angola mwaka huu ambapo MPLA kimepata 62%, au huko Germany ambapo chama tawala kimekosa majority ya kuunda seeikari.
Ukiona nchi ambayo Haina "Dominant political parties Kama Kenya, kila mwaka Kuna chama kipya kinaingia madarakani na kuungwa mkono na watu bila hata kuwa na mizizi, hiyo nchi ni nchi ya hovyo, watu wake hawajitambui hawajui nini wanachagua.
Kenya mnachagua "personalities ' badala ya Ideologies, Kenya mliokua mnachagua Kati ya Rutto na Odiga, Tanzania huwa tunaichagia CCM na South Afrika wanachagua Democrat/Republican, UK wanachagua Labor/Conservative parties.
Ninyi wakenya hamjitambui kabisa katika politics, hebu tuambieni, ni ipi ideology ya chama cha UDA mlichokichagua?
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app