Mifumo ipi?, Katiba ya Kenya zaidi ya kujibu matatizo ya "politicians" ni kitu gani imesaidia katika matatizo ya kiuchumi, kijamii na kiusalama?Hili linataka nyinyi wote muungane kwa pamoja kupigania haya mabadiliko. Safari ya kenya kupata katiba mpya na mifumo dhabiti haijakuwa rahisi na bado kuna changamoto tele
SA100 ajengewe sanamu kwa kurudisha kipindupindu tz na kuwezesha watz kufa 970 mpaka sasa ..pia naona majenereta yamerudi kkoo kwa kasi kubwaWafugaji wa Kisukuma waua wakulima wawili Kigoma.
Wee jamaa Africa mashariki nyie ndo mmejaa arabuni na ndo mnaongoza kwenye hizo jobs ulizo taja hapo punguza dharau waonee ndugu zako huruma.kiswahili in kenya is only reserved for HouseMaids, Watchmen, Cooks, MamaMboga, Bodaboda Riders, Barmaids, Malaya, Chokora na Watu wanao endesha baiskeli aina ya BlackMamba.. etc😂
talk kiswahili in a government or multinational office, utaonwa chini sana. respect itashuka na utaonwa kanakwamba wewe watchman ama driver ama cook🤔
kenyans are bad pipo🤔
We have bigger economy than Tanzania.Mifumo ipi?, Katiba ya Kenya zaidi ya kujibu matatizo ya "politicians" ni kitu gani imesaidia katika matatizo ya kiuchumi, kijamii na kiusalama?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
sasa mbona hawaendelezi kwao hebu leta picha za Bukoba town?Wahaya wako na pesa we jamaa, they can afford.. usiwachukulie poa kabisa, I've been living at Kiakarabwa for two good months and i also witnessed different kinda dvp that was going on..
Moja ya massive flagship mega project ya uhuru 🤣Shikamoo kunyaland 🙄🙄🙄🙄🙄kitu hakijaaza kufunya kazi🤨🤨🤨🤨🤨View attachment 2347150
Na kwnn bado mna njaa? Nitajie nchi moja yenye uchumi mkubwa alafu wananchi wake wanakufa njaa au serikali yake inapokea misaada ya chakula.We have bigger economy than Tanzania.
Tatizo jamaa ni wachafu sn pia sio civilized.
mbona useme ivo..Shikamoo kunyaland 🙄🙄🙄🙄🙄kitu hakijaaza kufunya kazi🤨🤨🤨🤨🤨View attachment 2347150
You have hopeless lives and deaths due to starvation than BurundiWe have bigger economy than Tanzania.


