Malobabrian
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 254
- 298
Hizi mabus model za 1996 zinafanya Nini barabarani!!!
Na hizi ni buses za enzi za mfalme Herode lkn bado zipo Kenya zinapiga kazi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi mabus model za 1996 zinafanya Nini barabarani!!!
Huyu nimemkubali bro, shes [emoji91]Mtoto wa kiiraqw wakunya wamevurugwa nae
Jana nilipata nafasi ya kutembea huko status kwa sasa, wanajenga kambi ya kudumu ambayo baadae itabadilishwa matumizi baada ya mradi kukamilika kuhusiana na mradi wenyewe kbs wameanza na runway soon wataanza kufanya backfilling wamesha-excavate!!!.Hii ni kati ya massive project bonge la eneo! Siku ntashea picha!.Jah Bless!
Lakini wakisema kenya ikona the best airport security unapinga[emoji1787][emoji1787]
Hakuna kitu ka hiyoLakini wakisema kenya ikona the best airport security unapinga[emoji1787][emoji1787]
kama national id cards tunasubiri miaka kupewa, basi wategemee mamluki wasiolipia bima kutibiwa!View attachment 2344852
Tujitahidi jamani ukienda hospitali unaumwa Tumbo siku nyingine ubadilishe uwe na malaria tusije ongezewa tozo😂😂
Best na Ukunya wapi na wapi?Lakini wakisema kenya ikona the best airport security unapinga[emoji1787][emoji1787]
Safi, naona umepiga signature kuzuia wezi……[emoji28][emoji28]
Wako wengi sana hao,wanyaturu,warang na hao wairaqw ni jamii 1 wanapatika singida,dom na arusha,na sifa yao kubwa hao ngoja ninyamaze tu kaka 😂Huyu nimemkubali bro, shes [emoji91]
Huenda sisi watu wa mitandaoni ndio wezi wa nchi hii,ndio wapiga Dili wakubwa kuliko wachapa kazi,huenda huku ndiko ziliko familia za wapiga Dili.Ukija kwenye suala la kumpenda kiongozi au Kila sehemu Kuna factor yake.Huku kwetu Njombe vitu vitatu vinaweza mfanya kiongozi achukiwe Moja bei ya mbolea,bei ya mazao na miundo mbinu mibovu.Kiongozi anayeweka sawa hayo Njombe Huwa hawana nongwa naye.Sijawahi kuona rais aliechokwa kwa muda mfupi na wananchi kama huyu 😂😂😂 angalia interactions za tweet yake ilivyo finyu, huyu hata akitembea kwa mguu kariakoo hakuna ataejali
View attachment 2344746
Umenifrahisha watu wa mtandao...kule twitter wanaita kupiga spana...lakini wale wananchi wenyewe vijijini wako kawiada kama kuna maumivu basi wanauguliapole...ukifika muda wa kupiga kura sisi wa mtandao hatupigi kura...wale wananchi kama kawaida watapiga kura na kuchagua watu wao wale waleHuenda sisi watu wa mitandaoni ndio wezi wa nchi hii,ndio wapiga Dili wakubwa kuliko wachapa kazi,huenda huku ndiko ziliko familia za wapiga Dili.Ukija kwenye suala la kumpenda kiongozi au Kila sehemu Kuna factor yake.Huku kwetu Njombe vitu vitatu vinaweza mfanya kiongozi achukiwe Moja bei ya mbolea,bei ya mazao na miundo mbinu mibovu.Kiongozi anayeweka sawa hayo Njombe Huwa hawana nongwa naye.
Hadi umeweka sehemu za riverside eti ushuzi.... Wewe akili so timamu Wacha nikutumie picha za sehemu hiyo umecircle hiyo ndogo hapo kandoNgoja tuweke picha ya juu ili ukamuongopee babaako sio humu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 2343794View attachment 2343795
Tofouti ya dar na Nairobi inakuja when someone zooms In... Hiyo riveside drive ambayo ume circle ukiangalia maneno kwa ground this are the kind of apartments and offices that are there, they not high rise but they very decent compared to Tanzania shacks outside town so tell me huu ni ushuzi kivioi?Ngoja tuweke picha ya juu ili ukamuongopee babaako sio humu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 2343794View attachment 2343795