Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisumu City.
706326870.jpg
20220902_184330.jpg
390623215.jpg
20220902_184339.jpg
1662006829280.jpg
1662007413301.jpg
1662007516762.jpg
1662007425505.jpg
1662007042977.jpg
1662006954356.jpg
tapatalk_1661954920748.jpg
tapatalk_1661955175546.jpg
1653475952442.jpg
 
Kenya has one of the most transparent voting systems in the world Lakini sababu ya Wivu you will get tanzanians hating on it hehe! Jealous neighbors. Mtasema mchana usiku mtalala
 
Lakini NHC ndio inamiliki almost 60% ya majengo yote yaliyopo katika CBDs za almost kila mkoa mkubwa Tanzania, NHC ina potential kubwa sana ikipata Intel nzuri, maeneo mengi posh areas Tanzania yanamilikiwa na NHC na mengine yapo idle tu hayaendelezwi huku wananchi wakiamua kujijengea nyumba holela.

Kuna kipindi walivalue NHC wakakuta ndio real-estate dealer mkubwa Africa kieneo/milki.

Most of the Buildings they own in CBD and other towns and cities has been there since colonial times, walirithi tu na majority yanakaliwa na wahindi na wabongo wachache wenye connection, huwezi pata nyumba na kurent NHC, it’s almost impossible sababu kuna urasimu wa kufa mtu pale,
It was our expectations that in all towns kutakuwa na massive housing projects affordable to majority, for renting and buying , the move could’ve reduced the rate of informal and unplanned settlements that are growing at high rate in our towns and cities,
Unfortunately, hao wapumbavu wakijenga nyumba for sale that price they will tell you utaona ni heri ununue plot ujenge a house of your dream, na chenji itabaki..
Those modern skyscrapers in CBD aren’t owned by them, but pensions funds.
To me NHC is a wastage of time.
 
Mbona hivi majirani???? With devolution I believe most of our classrooms are modern unless mlete picha ya kitambo
20220903_075624.jpg
 
Sijui why high end residential areas za hazinanga lami😂
Nchi ya GDP hafifu inaonekana kwa ground kila eneo, hawa ni domo domo tu, everything is clearly seen 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom