Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KPLC sasa ina customers 8.91m baada ya kuongeza 641,000 customers kwa mwaka moja. Tanesco bado hata haijafikisha customers 4m

Hehehe TANESCO only have 3M customers against KPLC with 8.9M. Alafu Bado wanashangaa mbona their connectivity rate is 30% while that of Kenya is above 70%.
 
KPLC sasa ina customers 8.91m baada ya kuongeza 641,000 customers kwa mwaka moja. Tanesco bado hata haijafikisha customers 4m

Screenshot_20220904-103918_1.jpg
 
Tunapinga tu tozo, ukweli zinaumiza lakini impact yake inaonekana. Siku zote mpinzani wako hawezi kukusupport anapoona unaelekea kuzuri kusiginwa lazima tu.

Uwekezaji wa hizi tozo kwenye Elimu, Afya, Maji vijijini, na barabara kupitia TARURA. Unatoa nafasi kwa serikali kuweza kuongeza ajira rasmi na zisizo rasmi, uboreshaji wa usafirishaji mazao kutoka mashambani mpaka masokoni.

Ni sehemu nyingi sana vijijini watoto wanatembea zaidi ya km 10+ kwenda na kurudi kufuata elimu. Wazazi wanajifungulia njiani kutokana na vituo vya afya kuwa mbali, na miundo mbinu mibovu.

Serikali haiwezi kumaliza investments za social amenities kwa mwaka mmoja wakati sisi wenyewe kila siku tunaongezeka.

Naamini kabisa katika madarasa 15,000 yalijengwa kwenye mwaka wa kwanza wa SSH kuna ndugu, wadogo zetu walipata ajira, hivyo katika vituo vya afya vilivyojengwa kwenye mwaka wa kwanza wa SSH kuna watanzania wenzetu wamepata ajira za kudumu.

Maendeleo yoyote yana maumivu hatuwezi kuona leo, kuondoa tozo kabisa tutarudi nyuma tena na tutazikumbuka tena tozo.

Ila kuonyesha inaguswa na kuheshimu tozo, serikali ipunguze na iondoe matumizi ya Magari ya kifahari kwa baadhi ya watumishi wake kabisa labda wale wa mikopo kama wabunge.
 
Line ya mwisho ndio ya muhimu zaidi,
Wapunguze matumizi ya starehe kama kufunga mkanda tufunge wote...wapunguze ile budget izo hela zinatosha kujenga hayo madarasa bana
 
Back
Top Bottom