Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijawahi kuona rais aliechokwa kwa muda mfupi na wananchi kama huyu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ angalia interactions za tweet yake ilivyo finyu, huyu hata akitembea kwa mguu kariakoo hakuna ataejali

Screenshot_20220903-203014.png
 
Sijawahi kuona rais aliechokwa kwa muda mfupi na wananchi kama huyu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ angalia interactions za tweet yake ilivyo finyu, huyu hata akitembea kwa mguu kariakoo hakuna ataejali

View attachment 2344746
Haters wa Samia mnahangaika Sana,Endelea kusubiria atembee Kariakoo..

Porojo na kujilisha upepo Wala havitabadikisha ukweli kwamba ndio Rais hadi 2030..

Kazi inaendelea ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220903-201618.png
    Screenshot_20220903-201618.png
    162.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220903-201709.png
    Screenshot_20220903-201709.png
    44.1 KB · Views: 8
Kazi nzuri Sana ya tozo hii hapa ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220903-202405.png
    Screenshot_20220903-202405.png
    92.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220903-202308.png
    Screenshot_20220903-202308.png
    108.5 KB · Views: 6
  • 20220903_202321.jpg
    20220903_202321.jpg
    81.9 KB · Views: 7
  • 20220903_202312.jpg
    20220903_202312.jpg
    101.9 KB · Views: 8
  • 20220903_202411.jpg
    20220903_202411.jpg
    100.9 KB · Views: 7
  • 20220903_202409.jpg
    20220903_202409.jpg
    84.1 KB · Views: 7
  • 20220903_202416.jpg
    20220903_202416.jpg
    78.6 KB · Views: 6
Hii miji ya CHINA classy yake ni out of this world, kuanzia usafi, green and every single aspect.. This is Xia'n City๐Ÿ‘‡. Wala wengi wetu hatujui kama kuna mji China ni unaitwa Xia'n.. Teargas pitia hii mzee
 
Hii miji ya CHINA classy yake ni out of this world, kuanzia usafi, green and every single aspect.. This is Xia'n City. Wala wengi wetu hatujui kama kuna mji China ni unaitwa Xia'n.. Teargas pitia hii mzee
Huo mji ni wakisasa sana lakini swali la msingi Je unafursa gani kwa wageni?unaweza pata kibali cha kazi huko?tofauti na miji ya Western ni fursa kwa yoyote anaepambana..know the difference
 
Ebu zoom in hizo sehemu unaita ushuzi tuone kama zinafanana hivi๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ naona ume circle eastlands., na maeneo ya Uhuru Park eti Ushuzi.., weka kwa karibu tuone ushuzi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Neno "USHUZI" ni jina la kati na la mwisho la Dar is Slum.,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
View attachment 2343806
View attachment 2343797
View attachment 2343801
naona unafanya repeating decimal we jifurahishe
 
Back
Top Bottom