Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niliwahi kusema hili, kwamba nyumba za chini hazitufai, kwa sababu watu binafsi hawawezi jenga basi nhc, tba watumishi housing nk ziwezeshwe ili sehemu kama tandale, vingunguti wachukue hayo maeneo wajenge maghorofa kwa style ya magomeni waliovunjiwa wanapewa apartments kadhaa zinazobaki wanauza au kupangisha.

Tutajikuta dar na pwani zimeungana ila kuna watu 10m hii ni matumizi mabaya ya ardhi.
Tukiendelea hivi vizazi vijavyo vitakuja kosa sehemu za kulima tuwe tunaagiza vyakula Toka nje.
Kuna nyumba zinajengwa Dom za low quality mimi huwa naona wagejenga maghorofa kama ya medeli, wamechukua eneo kubwa sehemu ambapo wangejenga maghorofa manne tu.
View attachment 2344161
Mara nyingi huwa tunaliongelea hili nadhani ni muda muafaka ushauri huu ukazingatiwa, hasa ardhi kuisha na kukosa sehemu ya kufanyia shughuli za uzalishaji kikiwepo kilimo.
 
Huenda sisi watu wa mitandaoni ndio wezi wa nchi hii,ndio wapiga Dili wakubwa kuliko wachapa kazi,huenda huku ndiko ziliko familia za wapiga Dili.Ukija kwenye suala la kumpenda kiongozi au Kila sehemu Kuna factor yake.Huku kwetu Njombe vitu vitatu vinaweza mfanya kiongozi achukiwe Moja bei ya mbolea,bei ya mazao na miundo mbinu mibovu.Kiongozi anayeweka sawa hayo Njombe Huwa hawana nongwa naye.
Unapoteza mda wako kuhangaika na haters wa SSH maana hutobadili walichojiaminisha..

Ni kama Mimi huwezi nibadili Mtizamo wangu Kuhusu Mwendazake kwamba alikuwa Rais mbaya kuwahi mpata bila kujalisha Maoni yenu..
 
Tanzania yetu ina watu wa ajabu, sasa huyu opportunity cost ameshindwa kuzielewa post zako.
Nikimkubali mimi pekee inatosha kwa sababu sojaomba msaada Kwa mtu na hayupo wa kubadili Mtizamo wangu..

So chuki zako Wala hazitabadili kitu,elewa Hivyo..

Kazi nzuri ya SSH kwenye mradi wa DART 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220904-105036.png
    Screenshot_20220904-105036.png
    116.9 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220903-201819.png
    Screenshot_20220903-201819.png
    217.3 KB · Views: 8
Diplomasia ya Uchumi na kufungua Nchi kunazidi kuleta tija 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220904-104928.png
    Screenshot_20220904-104928.png
    111.8 KB · Views: 9
Tunapinga tu tozo, ukweli zinaumiza lakini impact yake inaonekana. Siku zote mpinzani wako hawezi kukusupport anapoona unaelekea kuzuri kusiginwa lazima tu.

Uwekezaji wa hizi tozo kwenye Elimu, Afya, Maji vijijini, na barabara kupitia TARURA. Unatoa nafasi kwa serikali kuweza kuongeza ajira rasmi na zisizo rasmi, uboreshaji wa usafirishaji mazao kutoka mashambani mpaka masokoni.

Ni sehemu nyingi sana vijijini watoto wanatembea zaidi ya km 10+ kwenda na kurudi kufuata elimu. Wazazi wanajifungulia njiani kutokana na vituo vya afya kuwa mbali, na miundo mbinu mibovu.

Serikali haiwezi kumaliza investments za social amenities kwa mwaka mmoja wakati sisi wenyewe kila siku tunaongezeka.

Naamini kabisa katika madarasa 15,000 yalijengwa kwenye mwaka wa kwanza wa SSH kuna ndugu, wadogo zetu walipata ajira, hivyo katika vituo vya afya vilivyojengwa kwenye mwaka wa kwanza wa SSH kuna watanzania wenzetu wamepata ajira za kudumu.

Maendeleo yoyote yana maumivu hatuwezi kuona leo, kuondoa tozo kabisa tutarudi nyuma tena na tutazikumbuka tena tozo.

Ila kuonyesha inaguswa na kuheshimu tozo, serikali ipunguze na iondoe matumizi ya Magari ya kifahari kwa baadhi ya watumishi wake kabisa labda wale wa mikopo kama wabunge.
Hakuna anayepinga tozo zisiwepo lakini hizi tozo zinamsaidia nani, pesa inayopelekwa kwenye miradi inatumika ipasavyo? Kabla ya tozo yule aliyetangulia mbona alifanya mambo makubwa yakaonekana bila hizi tozo?

Kama tutatozwa kwa ajili kuleta maendeleo na kukawepo unafuu wa maisha, bidhaa zikashuka, miradi ya maendeleo ikafanyika kwa ufanisi basi litakuwa jambo jema na hakuna atakayelalamika.

Kibanda cha mln 13,daraja la milion 353,watu wanaitwa na CAG hawataki kukaguliwa halafu tuseme tozo imefanya kazi kweli?
 
Sijajua design yake ikoje.. lkn hao bodaboda wanakosea kuwaweka karibu na jengo.. walitakiwa wawe mbali kidogo.. wawe na sehem yao special.. yan tuseme either wawe nje au ndan (mostly iwe ndan) ya mageti ya fence ya stendi ya bus
Hapo walipokaa boda boda ni nje ya stendi, mbele ya jengo, Ila ni ndani ya fence, nafkiri bodaboda wakae nje kabisa ya fence
 
Hapo walipokaa boda boda ni nje ya stendi, mbele ya jengo, Ila ni ndani ya fence, nafkiri bodaboda wakae nje kabisa ya fence
Sikuhiz wanataka kuongeza mapato kupitia kuruhusu bodaboda kuingia ndan na pia kuwaisaidia abira kufikisha mizigo yao ndan kbsa ya fence ya stend. Huwa wanatozwa 500 kuingia.. so wawe na sehem yao ndan ya fence
 
Mombasa inatakiwa ipewe taji la fukara mkuu ukanda huu 😂😂😂😂

Hata Goma haipo hivi aisee, Mombasa ni chafu, hovyo, umaskini upo mpaka kwenye sura na mavazi ya watu, shacks, dilapidated housings, slums, no sewage duh horrible 🤮🤮🤮🤮🤮

Tunapinga tu tozo, ukweli zinaumiza lakini impact yake inaonekana. Siku zote mpinzani wako hawezi kukusupport anapoona unaelekea kuzuri kusiginwa lazima tu.

Uwekezaji wa hizi tozo kwenye Elimu, Afya, Maji vijijini, na barabara kupitia TARURA. Unatoa nafasi kwa serikali kuweza kuongeza ajira rasmi na zisizo rasmi, uboreshaji wa usafirishaji mazao kutoka mashambani mpaka masokoni.

Ni sehemu nyingi sana vijijini watoto wanatembea zaidi ya km 10+ kwenda na kurudi kufuata elimu. Wazazi wanajifungulia njiani kutokana na vituo vya afya kuwa mbali, na miundo mbinu mibovu.

Serikali haiwezi kumaliza investments za social amenities kwa mwaka mmoja wakati sisi wenyewe kila siku tunaongezeka.

Naamini kabisa katika madarasa 15,000 yalijengwa kwenye mwaka wa kwanza wa SSH kuna ndugu, wadogo zetu walipata ajira, hivyo katika vituo vya afya vilivyojengwa kwenye mwaka wa kwanza wa SSH kuna watanzania wenzetu wamepata ajira za kudumu.

Maendeleo yoyote yana maumivu hatuwezi kuona leo, kuondoa tozo kabisa tutarudi nyuma tena na tutazikumbuka tena tozo.

Ila kuonyesha inaguswa na kuheshimu tozo, serikali ipunguze na iondoe matumizi ya Magari ya kifahari kwa baadhi ya watumishi wake kabisa labda wale wa mikopo kama wabunge.
Kwani hapo awali madarasa na vituo vya afya viliikuwa havijengeki?
 
Back
Top Bottom