Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Is a scam dogo ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Unajua maana ya neno dini. ?
Is a scam dogo ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Unajua maana ya neno dini. ?
Likijaga suala la dini watu wanasema zimeletwa na wazungu na Waarabu tunatakiwa tufuate asili zetu.Hata waarabu kabla ya ujio wa dini walikuwa na Mila na desturi zao za hovyo ambazo hazikubaliki, ustaarabu kwa waarabu ulitokana na aliekua nabii wakati huo (katika imani ya kiislamu), akastaarabisha watu wakee then ustaarabu huo ukaenezwa mpaka huku Africa
What are you? Are you religious or atheist?Hata Mimi ninashangaa kuona waafrika tena wasomi wakitetea dini za kigeni
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ubungo moja iyo [emoji8][emoji7][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90]
Hapa ni wapi mzee?
Nyuma yake kuna Kijazi interchange.Hapa ni wapi mzee?
Hapa ni wapi mzee?
Direction ya Morogoro inakanganya au chini ya flyover ukiingia outer Lane unapata kibao cha kwenda kulia?Ubungo, Hilo jengo ni lile lilolokua la Wizara ya Maji walilochukua Dawasa, Hapo ndio panapoanzia kupanda daraja la ubungo upande wa Sam Nujoma kuelekea upande wa pili Mandela Road.
Direction ya Morogoro maana yake anapita lane ya Chini na kukunja kulia kule mbele kuelekea Kimara๐Direction ya Morogoro inakanganya au chini ya flyover ukiingia outer Lane unapata kibao cha kwenda kulia?
Lazma kutakuwa na kibao (signare) nyingine la sivyo utaenda city center kama mgeni wa jiji!Direction ya Morogoro maana yake anapita lane ya Chini na kukunja kulia kule mbele kuelekea Kimara๐
Kazi tunayo, huyu akiachwa apite 2025 tutanunua unga kilo moja kwa shilingi elfu 10.View attachment 2342948Rais naye analalamika badala ya kuchukua hatua
Labda kwasababu umeuleta kwa mbali na Shenzhen unaonekana kwa ukaribu ila uki compare the two, Shenzhen inaonekana nzuri zaidi kwa Miami. Kama unaweza leta picha zaidi tuendelee kulinganisha.Sijakataa...shenzhen yaonekana ni mji mkubwa but miami ni mji mzuri
Afrika bado tuna safari ndefu sana. Sisi [emoji2211][emoji2211][emoji2210][emoji2210],wenzetu [emoji2089][emoji2089][emoji2088][emoji2088]Hangzhou [emoji116]View attachment 2342577View attachment 2342589View attachment 2342591View attachment 2342592View attachment 2342593View attachment 2342595View attachment 2342597View attachment 2342599View attachment 2342600View attachment 2342601hiyo miji ya marekani sijui Miami, level zake ni hizi ni pia haiwez toboa tuusan.
Miami ni namba 12 Uko USALabda kwasababu umeuleta kwa mbali na Shenzhen unaonekana kwa ukaribu ila uki compare the two, Shenzhen inaonekana nzuri zaidi kwa Miami. Kama unaweza leta picha zaidi tuendelee kulinganisha.
Umeona eeh [emoji2][emoji2][emoji1787]Afrika bado tuna safari ndefu sana. Sisi [emoji2211][emoji2211][emoji2210][emoji2210],wenzetu [emoji2089][emoji2089][emoji2088][emoji2088]
Aendelee kulialia atakuta watu wamemaliza kila kituView attachment 2342948Rais naye analalamika badala ya kuchukua hatua