Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka nipost nn kijana?it's obvious jamaa wako level zao...Hasa kuna nn ambacho hujui?jaribu compare China na wenzake wa Brics sio developed countries kama USA
Wacha ku imagine mzee 🤣🤣🤣 we imagination tu kumbe, nilikua Sijui
 
Shenzhen View attachment 2342492View attachment 2342493View attachment 2342494View attachment 2342496View attachment 2342497View attachment 2342498View attachment 2342499View attachment 2342500View attachment 2342501View attachment 2342502View attachment 2342503View attachment 2342504View attachment 2342505nilikwambia miji ya CHINA ni mizuri zaidi ya miji ya US . Sidhani kama New York inaweza toboa kwa uzuri wa Shenzhen. [emoji116]. Ndani ya US hakuna mji wowote kando ya New York unaoweza kuwa competitive hata kwa Shenzhen the 6th of China
Shenzhen ni poa ni wa ngap uko China?haya twende Miami
Nilijua utakimbilia skycrapers, mi nahama
5809389-miami_freeway-0.jpg
aerial-view-us-roads-highways-system-south-florida-aerial-view-us-roads-highways-system-south-...jpg
 
We kumbe una uwezo mdogo sana wa kufkiria [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa technology kubwa eti unataja magari na simu.? [emoji1787][emoji8], hizo technology hatuwezi sisi tu huku Africa kutengeneza, technology za mtandao.? [emoji1787][emoji1787] China wako na mitandao yao na technology zao.. hivyo sio vitu vikubwa so far dunani uko..
Kwa technology china hawapo at par na US. China mwenyewe anategemea sana technology kutoka nje kwa industries zake mfano Huawei wanaimport semiconductor s kutoka japan, korea na nchi zingine. Pia wanategemea pakubwa teknolojia ya US kwenye silaha zao na industries zingine nyingi. Mahali naona china anaweza kuwa amemshinda marekani maybe kwenye rail and road network. China kumshinda US kwa technology hapo umedanganya
 
Hujui chochote nyamaza
 
Wacha mchezo kijana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Miami haziwezani kabisa na Shenzhen, hiyo skyline ya Miami ni kama district moja tu in the city of Shenzhen.. kwahyo hapo nimekupiga ..
Sijakataa...shenzhen yaonekana ni mji mkubwa but miami ni mji mzuri
 
Back
Top Bottom