Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
As in sexually abusing little boys?Nothing is perfect, and there is nothing wrong with doing what they have been doing over the years.
As in sexually abusing little boys?Nothing is perfect, and there is nothing wrong with doing what they have been doing over the years.
Unamjibu huyo.? Huyo ni anajua kila kitu 🤣🤣🤣Nothing is perfect, and there is nothing wrong with doing what they have been doing over the years.
Unajua maana ya neno dini. ?Dini sio academia. Wewe unasema kuna uwepo wa kuzimu lakini hakuna substantiated proof, lakini Mimi nasema kuna black holes in the universe na proof ninayo. Nikianzisha dini yangu leo hii yenye ideals zangu haitakuwa tofauti na dini nyingine unazozifahamu.
A commonly shared attitude by all Kenyans. Very stupid creatures!Unamjibu huyo.? Huyo ni anajua kila kitu 🤣🤣🤣
Yes, of course. Basis nzima ya dini ni kuamini uwepo wa supernatural force. Kwamba, maisha ya binadamu yanatawaliwa na nguvu isiyo na limits, mwanzo wala mwisho.Unajua maana ya neno dini. ?
Kwahyo kama huna dini, means huna muongozo wa maisha yako, wewe, mbuzi, mbwa na wanyama wengine wote mpo kwenye kundi mojaYes, of course. Basis nzima ya dini ni kuamini uwepo wa supernatural force. Kwamba, maisha ya binadamu yanatawaliwa na nguvu isiyo na limits, mwanzo wala mwisho.
Nikuulize maswali baadhi. Kabla ya waarabu wa Oman kuja Pwani ya Afrika Mashariki kutafuta watumwa, ancestors wako hawakufahamu Uislamu. Pia, kabla ya wakoloni kuja kutawala na kuiba, walileta Ukristo, ambao pia wahenga wako hawakuufahamu. Still, they had their own religious practices, because they believed In a Supernatural force. Kwanini leo Uislamu ai Ukristo utawale maisha yako wakati hata sio asili ya identity yako?Dini ni neno la kiarabu lililotoholewa na kuwekwa kwenye lugha ya kiswahili, likiwa na maana ya mwenendo mzima wa maisha ya mwanadamu ya kila siku, kwahyo wewe una dini ya kiislamu that means wewe unafuata mienendo ya maisha ya kibinadamu kwa mujibu wa maelekezo ya kiislamu, hivyo hivyo kwa wakristo
Kwahyo kama huna dini, means huna muongozo wa maisha yako, wewe, mbuzi, mbwa na wanyama wengine wote mpo kwenye kundi moja
Hizo zote hazikua dini Bali ni mila na desturi and after all baada ya ujuio wa watu weupe walileta ustaarabu (dini) tukaachana na kukeketana, kuabudu mibuyu, nyoka na miupuuzi mingine, tuliyokua tumeyapatia majina "MIUNGU".. so kwasasa tuna dini and if u ar against it wewe ni sawa a makenge, mijusi na wadudu wengineNikuulize maswali baadhi. Kabla ya waarabu wa Oman kuja Pwani ya Afrika Mashariki kutafuta watumwa, ancestors wako hawakufahamu Uislamu. Pia, kabla ya wakoloni kuja kutawala na kuiba, walileta Ukristo, ambao pia wahenga wako hawakuufahamu. Still, they had their own religious practices, because they believed In a Supernatural force. Kwanini leo Uislamu ai Ukristo utawale maisha yako wakati hata sio asili ya identity yako?
nani kakuamia hamna ukeketaji Uarabuni?Hizo zote hazikua dini Bali ni mila na desturi and after all baada ya ujuio wa watu weupe walileta ustaarabu (dini) tukaachana na kukeketana, kuabudu mibuyu, nyoka na miupuuzi mingine, tuliyokua tumeyapatia majina "MIUNGU".. so kwasasa tuna dini and if u ar against it wewe ni sawa a makenge, mijusi na wadudu wengine
Hata waarabu kabla ya ujio wa dini walikuwa na Mila na desturi zao za hovyo ambazo hazikubaliki, ustaarabu kwa waarabu ulitokana na aliekua nabii wakati huo (katika imani ya kiislamu), akastaarabisha watu wakee then ustaarabu huo ukaenezwa mpaka huku Africanani kakuamia hamna ukeketaji Uarabuni?
Mpaka leo ukeketaji upo na Uislam wake uliopo! Mpaka leo utumwa upo Urabuni na Uislam wake!Hata waarabu kabla ya ujio wa dini walikuwa na Mila na desturi zao za hovyo ambazo hazikubaliki, ustaarabu kwa waarabu ulitokana na aliekua nabii wakati huo (katika imani ya kiislamu), akastaarabisha watu wakee then ustaarabu huo ukaenezwa mpaka huku Africa
Bro it's not necessary watu wote wawe wanafuata kila walichofundishwa (kuna watkao pinga), but taratibu zipo kwa mwenye kutaka afuate, hiyo ndio tunaita dini, kuwa Mwarabu haimanishi kuwa muislamuMpaka leo ukeketaji upo na Uislam wake uliopo! Mpaka leo utumwa upo Urabuni na Uislam wake!
Dini ni tamaduni. Tamaduni ya Kikristo haitawali Mashariki ya Kati, tamaduni ya Kiislamu haitawali North America na Europe. India na Pakistan wana similarities nyingi lakini dini inategeneza utofauti wa tamaduni walizonazo.Hizo zote hazikua dini Bali ni mila na desturi and after all baada ya ujuio wa watu weupe walileta ustaarabu (dini) tukaachana na kukeketana, kuabudu mibuyu, nyoka na miupuuzi mingine, tuliyokua tumeyapatia majina "MIUNGU".. so kwasasa tuna dini and if u ar against it wewe ni sawa a makenge, mijusi na wadudu wengine
Huu ujinga ulioandika hapa inaonyesha wazi hujasoma dini kabisa na wala hujui history..Dini ni tamaduni. Tamaduni ya Kikristo haitawali Mashariki ya Kati, tamaduni ya Kiislamu haitawali North America na Europe. India na Pakistan wana similarities nyingi lakini dini inategeneza utofauti wa tamaduni walizonazo.
Unafikiri kwanini Uislamu ulienezwa Pwani ya Afrika Mashariki? Kwasababu Ndio utamaduni wa watawala. Wale wanaotawaliwa, ilibidi wasahau na kuachana na tamaduni zao ili kufuata amri. Wakoloni pia walitumia njia hii hii. Kwamba Afrika ilikuwa “bara la Giza” Sehemu ambayo haiko-civilized. Kwa hiyo Maana yao ya civilization ni kuwa na western traditions, including Christianity because it’s a western religion. Kutumia missionaries ku-brainwash watu ili kukubali colonial rule Ndio ilikuwa suluhusho.
Civilization sio characteristic ya western traditions. Western civilization started in Greece. Middle Eastern civilizations in Mesopotamia. But there are plenty of civilizations that started in Africa. It’s just that our side of the story is weaker because we’ve been brainwashed to believe that civilization and Africa are not compatible!
Nani alikuambia ukristo ni dini ya kimagharibi?... including Christianity because it’s a western religion...
Hajasoma chochote huyo, kama nilivyotangulia kusema awali, huyo ni mjinga mmoja mjuaji anaeishi ulaya 🤣Nani alikuambia ukristo ni dini ya kimagharibi?
You neglect to acknowledge the fact that none of the Abrahamic religions we’ve been talking would have gained footing in East Africa without Slavery and colonization.Huu ujinga ulioandika hapa inaonyesha wazi hujasoma dini kabisa na wala hujui history..
Dini sio tamaduni, na dini hazipo kwaajili ya watu wa ukanda flani..
Imani zote za kiislamu na kikristo zinaamini katika Ibrahim/Abraham
And the man was from today's Iraq, and he later migrated to today's Israel (in the land Palestine) yote hii ni middle East .
Hizo claims zako za civilization zimetokana na ukanda ulitoa wapi.! 🤣
Mambo za ukoloni ni kitu kingine kabisa, hizina uhusiano wowote na dini.. Waarabu walifika pwani ya Africa mashariki tangu karne ya 14
Ukristo Una roots za Mashariki ya Kati. Still, it’s very weak there.Nani alikuambia ukristo ni dini ya kimagharibi?
I never denied that Christianity is not an Abrahamic religion. However, the Christian population in the Middle East is extremely small. The Roman Empire adopted Christianity and began spreading it Westwards, which is where it gained more popularity - mostly because of the power of the empire itself!Huyu Ibrahim/Abraham, inamaanika pia ni katika kizazi chake, Isack and Ismail ndio walipopatikana Issa/Yesu (Kutokea kwa nasaba ya Isack) na Mohammed (WAS) (kutokea kwa nasaba ya Ismail).. wote hawa ni wenyeji wa middle East .. Israel-Saudi Arabia..
Hizo claims za ukristo ni western religion we umezitolea wapi.? Walker255