joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
AfricanChristian, Islam, African or what? Please forgive my quiz, there's something I want to confirm.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
AfricanChristian, Islam, African or what? Please forgive my quiz, there's something I want to confirm.
Mwijaku anaufala sanaDuniani hamna hospitali mwananchi anatibiwa bure labda nchi za kisoshalisti kama Cuba na North Korea! Lazma matibabu kuchangiwa iwe kwa bima ama malipo ya moja kwa moja!
Alikua anachekelea sana walivyoongezewa mshahara sasa kiko wapi maishaa yanazidi kupaa tuu saivi wanakatwa mara mbili mbili kwenye huo mshahara hela inarudi kule kule kwa wajanja wanaoenda kununua gari la milioni 500Waliongezewa elfu 50 kumbe mamaao anaongeza 50 anachukua laki mbili.
Ndiyo kilichobaki, kuwa wanaafki ili wapate cheo, katafuta vijana wasiojitambua wawili watatu kawapa elfu 50 ili wakubali upumbavu wakati yeye kapewa milioni kadhaa na Mwigulu, Africa bhn njaa na ulafi vinatusumbua, tena niseme tu ni ulafi wala sio njaa.
u-DC unanukia!
Niliwahi kusema hapa kwamba tatizo la mama hana anachojua maskini ya Mungu.Alikua anachekelea sana walivyoongezewa mshahara sasa kiko wapi maishaa yanazidi kupaa tuu saivi wanakatwa mara mbili mbili kwenye huo mshahara hela inarudi kule kule kwa wajanja wanaoenda kununua gari la milioni 500
Jamaa inaonekana alikuwa mshamba sn.
Kwanza mm wala nilikuwa simjui, nmemjua juzi tu hapa, huwa sifatilii wasenge wasenge mm, wasenge wengi tu hapa bongo wala siwajui japo nawasikia sikia tu majina yao.Mwijaku anaufala sana
Hawa majamaa ni kufuruThe largest mall on earth so far [emoji116]View attachment 2342623View attachment 2342624View attachment 2342625View attachment 2342626View attachment 2342627View attachment 2342628View attachment 2342629View attachment 2342630dunia nzima inasafiri kwenda China kushangaa tuusan. We unaniambia kwamba wachina wakakimbilia US [emoji1787] Kwenda kuona no nini sasa.? Au kufanya nini.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nadhani aishie kwenye GDPNot to mention this.. Yo this city has many buildings with over 40 floors (150+ m) than New York+Chicago+Miami+Hoston [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yeah this is Hongkong 546 skyscrapers in One cityView attachment 2342650View attachment 2342651View attachment 2342652View attachment 2342653View attachment 2342654View attachment 2342655View attachment 2342656View attachment 2342659View attachment 2342660wachina wanaishi kwenye dunia yao bwana tuusan. Utaleta nini from US in comparison.?
Pitia ulichokiandika mwanzo kisha linganisha na ulichokiandika sasa kisha jicheke na ujidharauWivu, taarifa inasema Tzn ni Kati ya Nchi chache zenye teknolojia ya 5G hapa Afrika..
Wacha kukurupuka na kiherehere kama nyege mshindo.
Naona upo bze na Deo Kivevele.Pitia ulichokiandika mwanzo kisha linganisha na ulichokiandika sasa kisha jicheke na ujidharau
Mnasikitisha kwelikweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nadhani aishie kwenye GDP
Sahv roho yako nyeupeeAlikua anachekelea sana walivyoongezewa mshahara sasa kiko wapi maishaa yanazidi kupaa tuu saivi wanakatwa mara mbili mbili kwenye huo mshahara hela inarudi kule kule kwa wajanja wanaoenda kununua gari la milioni 500
Nilikua natoa darsa kidogo kwa vijana, we muda huo ulikua umeshkilia bibi ako ukijivinjari 🤣🤣Sheikh Sama boy.., 🙅., 😜😂
Boya tu huyoNaona upo bze na Deo Kivevele.
Kwa kweliMnasikitisha kwelikweli